80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Safi labda wewe umechambua vizuri na umewaelewesha
Lakini walivyo matahira bado watajifanya hawakuelewi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri ni zaidi ya 80%, mi nasema ni 99% ya wanawake wa kibongo wako hivi. Mtu anaamka asubuhi anasubiri atongozwe aanze kumpa majukumu amtongozaye. Mimi mwanamke akianza tu sijuwi nasikia njaa ama nywele zangu sijuwi zikoje namkatia simu na kumblock haraka sana.
 
Watu wenye mentality kama yako hawana exposure wako huko vijijini wamekariri maisha na mahitaji yao ni chakula, malazi na mavazi. Hii ni dimension tofauti, tunaangalia familia na wajibu wa wanafamilia katika context kubwa. Siyo ya kuleta vitumbua asubuhi na kuwapikia ubwabwa jioni.
 
Unaemda nunua malaya polis anamuachia anakushika mnunuaji alfu uniambie Kuna kukomesha hapo au nikupoteza mdaa
 
Ninaunga mkono hoja.
 
Siamini kama hii Sledi imeanzishwa Leo asubuhi na inakimbia page ya 8

inaonekana mabaharia hili swala limetugusa Sana so sad,pole yetu sote

Imagine umemchangamkia msichana pahari na ukamwoneshea ka tabasamu ka kumtamanipo na ukajiongeza kuchukua mamba ya simu
Halooooo at the Beninging ooooh sorry at the Bi ni ngi ngi aaaaa noo at the Beginning of day yule Binti anapata matatizo mfululizo
(in Jacob Zuma voices)

1: Simu yake imeharibika anaomba Hela akatengeneze

2:Kodi yake imeisha baba mwenye nyumba anamsumbua hivyo anaomba msaada wa Ela 😁( Hela acording to their mother tongue)

3:Nywele zake zimefumuka anataka Ela akasuke

4:Kuna send off ya dada wa rafiki yake anahitaji Ela ya mchango maana ataumbukaaa

5:Hajala Toka Jana na Hana Ela ya chakula pulizi help to feed hungry stomach

6...................

My friends mabaharia Mimi nikishaona hivyo namwambia dada samahani naomba nikuache maana Nina mkosi kwako Ile kufahamiana na kupeana Namba TU umepata matatizo mfululizo inaonekana Nina nuksi kwako byeeeeeeee!

NB
Wanaume tutafute Ela narudia Ela, Ela, Ela,
(Hela acording to their mother tongue)

😁😁😁😁😁πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Nahisi kuna chuo kinafundisha hii kozi ya kuomba omba au wana vipaji tu vyakuzaliwa?
 
Lol ur funny my dear
wanawake unaowaita wa vijijini most ndo wanazibeba familia most ndo huficha kutowajibika kwa bab zetu hawa wapumzishe wapo shamba kwanza πŸ™πŸ½


The kind of love that is truly romantic is that love which is developed during the course of a life together with someone whom you have worked hard with toward the lasting life …..

Also a succesful relationship is a status that two people worked hard at building together na sio kulalana tu so naona weww na mtoa mada ni wale mnao date for funny if so hii mada ni meaningless!!
 
Mi sioni kama nna cha ku add hapa maana umeona the difference mwenyewe like huombi kila siku na ukiombwa unajua kweli leo mwenzangu kakamatika
Umekamatika ndio upige mzinga heavy?.Nature ya mwanamke ni mbinafsi upande wa hela yake na ndio maana ndani ya nyumba mke akiwa na 1milion, mume akiwa na laki tatu, hiyo nyumba jumla ina laki tatu.

Nina mifano mingi, ila huu mmoja wa juzi wa jamaa yangu dereva wa bajaj. Siku hiyo alichelewa kuamka sababu jana yake alifanya kazi nyingi, sasa asubuhi mkewe alienda gengeni. Jamaa kuamka alikuwa anaitafuta simu yake, katafuta wee baadae akawa anatafuta kwa kubahatisha, si akajaribu kuangalia upande wa kabati zinapokaa nguo za mkewe, pekua pekua akaziona milioni moja na laki nne. Jamaa mpaka alichoka, mkewe kurudi gengeni anamuomba mia tano ya Pampas, jamaa akamchana live kuhusu zile milioni 1.4,kumbe baba yao miezi miwili iliyopita aliuza eneo maeneo ya Kibaha baadae akaamua kuwapa watoto wake 1.5m na hapo hela ya matumizi kila kitu anaacha jamaa.

Sasa just imagine una 1.4m ila bado unamuomba 500 ya pampas mume wake ambaye kazi yake kuendesha bajaj tena ya mtoto aliye mzaa.

Mwanamke anaweza akawa ana hela mtoto anaumwa baada kumpeleka hospitalini, anampigia simu mme wake, mme wake anamwambia basi tumia akiba yako nikija nitalipa, bahati mbaya huko alipo enda mambo hayajawa vizuri. Sasa siku karudi mke anakumbushia kuhusu hela ya matibabu ya mtoto, mumewe anamwambia kwa sasa mambo si mazuri, utapewa mineno mixer kununiwa utazani labda mtoto ulizaa ww peke yako.

Bado kuna wale wanafunguliwa biashara na waume zao msingi ukikata mmewe anamuongezea, sasa siku au msimu hela kidogo inakuwa ngumu, mume anamwambia mkewe basi tumia faida yako kununua unga wa mwezi huu, mimi sasa hivi mambo hayapo vizuri,baada muda fulani lazima ataikumbushia hiyo na ataidai na hapo bado msingi ukikata anaomba umuongezee hela.

Dada nyinyi (95%) ni wabinafsi hajalishi mna kazi au hamna.Mimi katika maisha yangu siipigii hesabu hela ya mke wangu sababu ina masimango na maneno mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…