80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Kama unayo si unampa tu mjuba na kama huna unamwambia pia kuwa huna, najua huwezi kumwambia huna unaogopa utanyimwa na wewe [emoji23][emoji23][emoji23] stand to what your heart and feelings are right maana haikulazimu.. Ila kutaka kula mzigo unataka ila kuhudumia hutaki [emoji41][emoji41]
issue siyo decision kumpa au kumnyima, ni mizinga mingi, kila kona left and right. Imesemwa hapo juu, kuwa kwenye mahusiano siyo source of income
 
issue siyo decision kumpa au kumnyima, ni mizinga mingi, kila kona left and right. Imesemwa hapo juu, kuwa kwenye mahusiano siyo source of income
Ni namna ulivyomzoesha kama mlianza mahusiano na kutumia hela kumpata sasa iweje huje kumbadilikia mbeleni, maana aslimia kubwa vijana hutumia pesa kushawishi sasa zikikata hataki kuombwa tena anabaki kusema demu anapiga mizinga sana its your fault brother tangu awali
 
Ni namna ulivyomzoesha kama mlianza mahusiano na kutumia hela kumpata sasa iweje huje kumbadilikia mbeleni, maana aslimia kubwa vijana hutumia pesa kushawishi sasa zikikata hataki kuombwa tena anabaki kusema demu anapiga mizinga sana its your fault brother tangu awali
Mizinga ni kipaji, wamepewa wanawake wetu TZ
 
Wanawake wanawaomba wanaume sababu na wanaume wanawaomba wanawake. Ingekua sivyo wanaume wangeacha kutoa wanachoombwa ili kukomesha tabia ya kuomba

Siku hizi wote wanawake na wanaume wanadai haki sawa
Pesa ngumu..wanaume kulia Lia.. zogo mingi...

Hutaki kuombwa lakini Kuna unachotaka upewe bure... Hata hao wanawake Kuna kitu wanataka na hawapewi bure..

Hapo Ni kila mtu anaomba kwa aina yake...
 
Pesa ngumu..wanaume kulia Lia.. zogo mingi...

Hutaki kuombwa lakini Kuna unachotaka upewe bure... Hata hao wanawake Kuna kitu wanataka na hawapewi bure..

Hapo Ni kila mtu anaomba kwa aina yake...
Mkuu, ukikua utatuelewa
 
Money will not be enough... We muone azam anauza mpaka chapati pamoja na utajiri aliokua nao ndiyo uniambie hela inatosha kweli mkuu[emoji1787]
Daaah,haya bwana.

Mimi huwa najua anae mwambia mwenzie atafute pesa huwa anazo nyingi.Vipi ni Kuna ukweli hapo?
 
Tatizo ni mfumo wa kijamii unaofanya wanaume wengi kushindwa kumudu maisha ya kujitegemea na kushindwa kuoa hata mke mmoja, na pia unafiki wa kuiga mambo ya kimagharibi ya ndoa za mke mmoja na mambo ya usawa wa kijinsia.

Kimsingi wanawake wote wanatakiwa kuishi kwa kuwategemea wanaume, sasa wanaume wanapoanza kulialia ni kuonyesha udhaifu mkubwa maana mchawi ni wao wenyewe na siyo hao wanawake........
 
Haya yote ni matokeo ya familia zisizokuwa stable kwa kipato. Unakuta baba hana hela na hasapoti familia mama hana uwezo na anachangamoto za kimaisha matokeo yake sasa wanaoathirika ni watoto sababu ya kukosa matunzo.

Sasa baba anaona kabisa ana mabinti katika uzao wake. Anatakiwa mapema aanza kuchapa kazi na kutafuta pesa kwa nguvu sababu hawa mabinti wakishavunja ungo then mahitaji yao ya kimwili huanza kuongezeka

Mtoto anataka pedi, anataka mafuta mazuri, anataka kutengeneza nywele, anatakuwa kula vizuri ili aendelee kunawili. Baba upo upo tu umejua kuwaleta ila sio kuwatunza.

Na hata kama baba hayupo, ni jukumu la wajomba, mashangazi, baba wakubwa na baba wadogo kutoa mahitaji ya hawa mabinti ili wasiende huko nje kudanga wakitafuta mahitaji.

Hii kitu mimi nimeiona sasa. Unakuta unatoka na kabinti, kanakuwa na shida mfululizo hadi unajiuliza haka katoto hakana akili sawa sawa au ni kachawi. Yaani shida za ajabu ajabu kumbe yote hii ni kukosa sapoti.

Sasa shida sio sasa, bali shida ni huko mbeleni uzuri ukishafifia hawa mabinti huwa wanakuwa katika hali ngumu sana kiuchumi na kifamilia. Maana wanakuwa pia wanawatoto na hawana means ya kipato isipokuwa kudanga. Sasa miili ikichoka nini kinafuata.

So ushauri wangu kama mwanajamii, hili swala tuanze kurejea misingi ya familia maana watoto wa kike nje ya familia hawana kinga yoyote hata wakiwa na kipato bado wanakuwa nachangamoto mbali mbali.

Kuwalinda jamii ianze kusimamia upya misingi ya kuwa na familia imara na bora zilizosimama na kuweza kuwalinda watoto wetu wa kike.

Ila tukiendelea hivi hali itakuwa mbaya sana miaka si mingi. Maana watoto wa kike wanazaa hovyo, wanatoa ujauzito hovyo, wana tangatanga na Kila mwanaume anaewapatia chochote kitu, magonjwa ya zinaa yaani fujo tupu.
 
Mnafata pisi kali ambazo ni jobless na wadangaji halafu mnakuja kulalamika as if wanaombaga figo
Sio kweli, nilishakutana na pisi moja kwenye hotel moja walikuwa wanapiga muziki wa bendi yupo narafiki yake wanapiga kinywaji. Kadri kinywaji kilivyokolea nikawachokoza na tukakaa meza moja. Tulibadilishana namba na bill walilipa wenyewe. Kesho yake nilimtafuta akaniambia nipo kazini njoo, wapi? Bank. Nikaenda kwenye bank anayofanya kazi, nikamsalimia akanibembeleza kufungua acc, nikafungua nikamuomba jioni ukitoka tuonane.

Jioni alikuja tena kwangu, nilimgonga na shida zake akanieleza nikampa hela kidogo kama alivyoeleza shida zake nikamwambia nikipata nyingine takupa. Tena anamchumba wake yupo mkoa mwingine anafanya kazi. Nikawa najigongea huku nahudumia. Baadhi ya wanawake makazini wanajiuza, ila wao wanajiuza tofauti.
 
Tatizo ni mfumo wa kijamii unaofanya wanaume wengi kushindwa kumudu maisha ya kujitegemea na kushindwa kuoa hata mke mmoja, na pia unafiki wa kuiga mambo ya kimagharibi ya ndoa za mke mmoja na mambo ya usawa wa kijinsia. Kimsingi wanawake wote wanatakiwa kuishi kwa kuwategemea wanaume, sasa wanaume wanapoanza kulialia ni kuonyesha udhaifu mkubwa maana mchawi ni wao wenyewe na siyo hao wanawake........​
Walicho kosea ni kutaka 50/50 hicho ndo chanzo.Siyo kwamba wanaume wana shindwa kuwahudumia wanawake wao.
 
Back
Top Bottom