MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
- #441
Hiyo Ni Sindano, invoiceBebi nikuambie kitu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Ni Sindano, invoiceBebi nikuambie kitu?
Noma sanaHiyo Ni Sindano, invoice
Haya ni maisha ya wanawake wengi wa mjini aisee. Sisi tuliokulia kijijini hakuna kukaa home tu eti usubirie mume alete. Baba yangu alikuwa mwalimu na mama mfanyabiashara ya samaki. Weekend ilikuwa siku ya kwenda shamba.Hii dhana ya kumuhudumia mtu mzima mwenye akili na nguvu zake katika set up yoyote ile, iwe ndoa au mahusiano ndiyo aiingii akilini. Kwanini ahudumiwe, awe mke au mchepuko. Ndiyo mentality ya kuwa omba omba, mtegemezi na kupe. Mabepari hatutaki.
Hakika, haya ndio yalikuw maisha ya wazee wetu, mama zetu pamoja na kuwa walikuwa "mama wa nyumbani" lakini mchango wao katika familia ukikuwa mkubwa mno mno.Haya ni maisha ya wanawake wengi wa mjini aisee. Sisi tuliokulia kijijini hakuna kukaa home tu eti usubirie mume alete. Baba yangu alikuwa mwalimu na mama mfanyabiashara ya samaki. Weekend ilikuwa siku ya kwenda shamba. Baba anatangulia na watoto wa kiume, mama anakuja baadae na chakula cha kula watu shambani. Mnalima jioni home. Siku za kazi baba shule mama kwenye biashara , mshahara wa baba ni wa kununua nguo na matumizi makubwa ya nyumbani, mala akirudi sokoni anarudi na mboga ,matunda kwa hela yake ya biashara. Sijawahi kuona wanawake wamekaaa tu . Mpaka leo kila mmoja anacharika na ndoa zilidumu mpaka kifo. Tuwafunze watoto watu kuwajibika toka wakiwa wadogo, na waepuke kutumia sehemu zao zz siri kwa ajili ya kupewa kitu in return .
Mama yako ni mwanamke, dada zako ni wanawake... Wapo kwenye hii 80%.. ... Nadhani utafiti ulianzia hapo nyumbani !!!!Wasalaam wana JF
Naomba niwasilishe utafiti wangu uchwara kuhusu hawa watu. Ni reflection ya ukweli.
Katika jitihada za serikali kupunguza umasikini na kuondoa omba omba hili kundi haliangaliwi, yaani wanawake na akina dada.
Wana njaa kali na wanajitoa muhanga kwenye front zote. Wako wanaofanya ukahaba wa wazi mabarabarani, maofisini, na mitandaoni. Na wapo wengine wanafanya hivyo indirect kwenye mahusiano na mpaka kwenye ndoa zao pia. Yaani, exchange ya viungo vya uzazi na pesa. Na sehemu kubwa ni wale wanaopenda slope, yaani kimjini kitonga au udangaji.
Kimsingi, siyo rahisi kuwa na meaningful relationship hapa Tanzania. Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Wanawake wengi wanachukulia mahusiano kama chanzo cha mapato au relief from their financial responsibilities na mbaya zaidi kama wameshnda bingo (bahati nasibu).MBONA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ANAJIPAMBANIA NA SASA NI RAISI NA TUNAMUHESHIMU
Pengine, sisi kwa sisi, kibongo bongo tunaweza kuhimiliana, je wenzentu wa maitaifa mengine wataweza? Sasa bssi, ni aibu gani hawa dada zetu wanalipa hili taifa kwa wageni kutoka nje ya nchi? watawachukulia kama Gold digqģers.
Tunaomba serikali iwe na mkakati wa makusudi, pengine kuanzia shule za msingi kuwapa ujasiri wanawake. Ujasiri wa kujitegemea, kuwafundisha kuona aibu kuomba na kuwa wategemezi. Kuwa mwanamke siyo kuwa handicapped na siyo justification au leseni ya kuwa omba omba. Tusiruhusu kuwa na taifa lililojaa wanawake wadangaji na omba omba.
katika muktadha huu, kama nchi za wenzetu wameweza sisi kwanini tushindwe? Nchi za wenzetu katika mabara ya ulaya na america wanawake omba omba wapo kwa idadi ndogo sana.
Ikumbukwe, hakuna omba omba anaye heshimika, hizo ndizo harsh realitiies of capitalism.
Mwenye akili na aelewe.
REJEA:
Mithali 31:10-31
Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake kwa moyo wote. Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali. Tena huamka, kabla usiku haujaisha; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao. Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu. Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku. Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia. Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake. Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu. Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani. Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi. Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi. Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema iko katika ulimi wake. Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu. Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema, Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote. Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa. Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.
umenena yaliyo memaHaya ni maisha ya wanawake wengi wa mjini aisee. Sisi tuliokulia kijijini hakuna kukaa home tu eti usubirie mume alete. Baba yangu alikuwa mwalimu na mama mfanyabiashara ya samaki. Weekend ilikuwa siku ya kwenda shamba.
Baba anatangulia na watoto wa kiume, mama anakuja baadae na chakula cha kula watu shambani. Mnalima jioni home. Siku za kazi baba shule mama kwenye biashara , mshahara wa baba ni wa kununua nguo na matumizi makubwa ya nyumbani, mala akirudi sokoni anarudi na mboga ,matunda kwa hela yake ya biashara. Sijawahi kuona wanawake wamekaaa tu .
Mpaka leo kila mmoja anacharika na ndoa zilidumu mpaka kifo. Tuwafunze watoto watu kuwajibika toka wakiwa wadogo, na waepuke kutumia sehemu zao zz siri kwa ajili ya kupewa kitu in return .
Kama ni omba omba kwanini huu uzi usiwaguse?Mama yako ni mwanamke, dada zako ni wanawake... Wapo kwenye hii 80%.. ... Nadhani utafiti ulianzia hapo nyumbani !!!!
Omba ChezaKama ni omba omba kwanini huu uzi usiwaguse?
Jibu swali ewe mtafiti... Mtafiti haji na majibu ya jumla jumla !!Kama ni omba omba kwanini huu uzi usiwaguse?
Mkuu, unataka majibu ya watoto? Kua kidogoJibu swali ewe mtafiti... Mtafiti haji na majibu ya jumla jumla !!
Kwani ujaajiriwa?Kikoba hamtaki.
Kujiuza hamtaki
Kuombwa pia hamtaki.
Sasa tutaishije, siyo wote wenye kuweza kijiajiri
Acha ku-justify udangajimnhhhhhh.......its soo unfair kulinganisha 'wanawake' nchi zilizoendelea na Tanzania,do they face same challenges/struggle..???...ushasema nchi 'zilizoendelea meaning wanawake wa huko wana access to better education opportunities, hivyo better job prospects na tena their social welfare system is in place to support them in case things fall apart..sasa tuangalie upande wa pili; gender gap in education is real in Tanzania; low enrollment rates na high drop out rates in girls,no support from the government...what is the future for these girls??? bado unategemea wasiombe....kwani wanapenda???? Aloooooo
Not me,Kwani ujaajiriwa?
Halafu kuna watu wanawateteaNa imekuwa kero , yaani mdada anachowaza ni kuomba omba na kupiga vizinga