8th Sullivan Summit Arusha Tanzania

8th Sullivan Summit Arusha Tanzania

Mkandara, asante kwa kutueleza wazi mawazo yako. I hope only the best for you, usije ukawa disappointed na imani yako.
I would rather do some thinking because as the HolyScriptures say "do not put your faith in things of this earth [or people!], but in God alone" I cannot blindly believe in a person!
And FYI, EU na IMF are also institutions to approach with caution siyo kuwakaribisha blindly but it is different to deal with institutions and governments then with individuals and some foundation. And IPTL, Barrick, Richmond haikusababishwa na EU or IMF, but corrupt individuals just like AY na wenzake!
Your argument about Chadema is also not a good approach in my opinion because it is easy to be disappointed since you just want changes. But how can Chadema guarantee change? I also think that Chadema and Mbowe will be good for Tanzania but I have arguments why, not blind faith. FYI, nimesema zamaaani that Mungwana will be a weak president,(during CCM nominations) nikapigwa sana vita na ndugu, jamaa na marafiki. Na si kwa kuwa ni mtabiri but I meticulously collected information and there was nothing to show him a good leader in fact there were serious charcter flaws that showed he is a weak person.
That is why I ask questions and push and prod.

I respect your opinion and thank you for your input!
 
Susuviri,
I would rather do some thinking because as the HolyScriptures say "do not put your faith in things of this earth [or people!], but in God alone" I cannot blindly believe in a person!

The good thing is, I have my faith in God alone (spiritial life) - to believe I do listen, weigh then explore for possibilities otherwise I would never had faith. It's never been a question of blindly believing in anyone (person) but with special attention to the central role of the Sullivan foundation not the person - AY. Besides, you can't have faith in Holyscriptures without believing the messenger (a person). On the other hand you (Susuviri) are all human, I find it hard to blindly believe thy hype 'cause JF isn't any close to holyscript...
After all brother, decisive role of each person is unique and radically vary in receptivity. And that's what make us different!.
Thanks, was a great debate!
 
"Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimatiafa Mhe. Bernard Membe amesema mkutano wa nane wa Sullivan utatoa fursa za uwekezaji, biashara utalii na utajenga msingi wa ushirikiano wa utalaamu."

Mimi nina wasiwasi hawa jamaa wanakuja kutembea na kupumzika na kupiga picha baada ya hapo itakuwa historia.

Another taxpayer money lost
 
Unajua haya mambo ya kusema kitu fulani kitaleta watalii au kitaleta wawekezaji bila kuandaa takwim ni bogasi.

Kwa miaka mitatu tumesikia matangazo katika CCN kuhusu Tanzania, majina ya Tanzania kwenye shuttle za airport huko UK, na mengine mengi. Tusiyosikia ni implication za yote haya, jee ni kwa asilimia ngapi hizi advertise zimeongeza revenue kwenye sector hizo binafsi? Sasa wanasema mkutano wa Sulvian utasaidia kuboost revenue kwenye swala zima uwekezaji na utalii. Swala linakuja how can Mr. Membe prove that?

Last weekend nilihoji jee hizi advertise tunazofanya zimechangia kwa asilimia ngapi growth ya revenue relative na sunk in cost? Majibu niliyopewa ni kwamba mwaka huu tumekusanya fedha nyii kwenye sector ya utalii, nilipouliza jee tumechanell kwa percentage hao watalii wametoka kwenye sehemu tulizofanya advertise? Jee tumeweza kufanya takwim tukaona kama watalii hao wengi wamekuja kwa sababu ya kuona advertisement au? Majibu niliyopata yalikuwa labda au i am not sure.

Sasa ni aibu waziri mkuu anaposimama kwenye public akasema kwamba eti huu mkutano utaboost sector ya uwekezaji na utalii wakati hakuna kitengo kitakacho prove hayo. Madhara yake tutaendelea kupoteza pesa kwa kitu kisicho na return propotional na outlay.

Hili ndio tatizo la Tanzania, tunapenda sanya kufanya assumption zisinzo na kichwa wala miguu. We need to conduct study kabla hatujafanya maamuzi yanayogharimu million ya shilling.
 
I'm not well informed about a number of things. Kuna capitalism, Self-sufficiency, you name it.
DIRA yetu ni ipi?
What do we want?



The Reverend Dr. Leon Howard Sullivan (October 16, 1922 - April 24, 2001) was a Baptist minister, a civil rights leader and social activist focusing on the creation of job training opportunities for African-Americans, a longtime General Motors Board Member, and an anti-Apartheid activist. Sullivan died on April 24, 2001, of leukemia at a Scottsdale, Arizona hospital. He was 78.

Leon H. Sullivan Summit
Sullivan organized the first Summit in Abidjan, Côte d'Ivoire in 1991 as a result of a number of requests and conversations he had with African leaders seeking an honest dialog among and between leaders of African countries and government officials and leaders from developed countries. Since then, the biennial Leon H. Sullivan Summit has brought together the world’s political and business leaders, delegates representing national and international civil and multinational organizations, and members of academic institutions in order to focus attention and resources on Africa’s economic and social development. Their mission was inspired by Rev. Leon H. Sullivan’s belief that the development of Africa is a matter of global partnerships. It was particularly important to Rev. Sullivan that Africa’s Diaspora and Friends of Africa are active participants in Africa’s development. [11]

Sullivan realized that simply making jobs available was not enough. He said,
“ I found that we needed training. Integration without preparation is frustration. ”

SOURCE Leon Sullivan
 
Jamani this sullivan bs has been around for a while..wapi wamepeleka heavy investments...lets not be fooled by these 3rd class black american washed up politicians...kikwete umeeingizwa mkenge...zaidi ya oprah , black americans gani wengine wana hope with africa...huu uzushi tuu...i wont be surprised the only money that will be made off this thing is the tourism money during the conference..thats as far as it goes...kikwete watafute russian billionaires, chinese billionaires who want to launder their ill gotten wealth anywher lol kuliko hao wazushi wakina young...jus wikipedia them to know what they are about...wazushi tuu...
 
Karibuni wanachama wa JF, kwa wale waliojiunga na thread hii, najua kwamba labda ukurasa zote hizi zinatia uvivu lakini nawashauri msome uchunguzi tuliofanya hapo nyuma ili muweze kuona usanii wa Sullivan Summit. Angalieni mjue Carlton Masters, Andrew Young na wengine wanavyotutupia mchango wa macho na sisi tukiendelea kuimba wimbo wao.
Nimesoma kwamba tumepewa 700,000 USD + na Sullivan Foundation, (iliandikiwa mamilioni Tshs kwenye magazeti lakini in reality is nothing), sasa tujiulize serikali imepoteza how much money kwenye kuandaa this Summit?
Tukianza kuuliza haya maswali magumu hapatakalika! Utaona serikali itakavyoanza kulalamika eti tunawachafulia majina wawekezaji blahblah!
 
Huyu Andrew young si ndio huyo aliyempondea Obama ili kumfavor Clinton?

Kwanini hakuwa neutral hapo na wakati ni mmojawapo wa waliokuwa wasaidizi wa MLK?

Hawa ni vibaraka tu wa yale yale wanaotaka kuja Afrika kwa sura za weusi!

Huyu mtu alishawahi kutoa kauli ambazo nadhani anastahili kuomba msamaha!

Aliwahi kusema kuwa Bill Clinton ni mweusi zaidi ya Obama kwasababu eti alishawahi kuwa date wanawake weusi wengi zaidi ya Obama!

Kauli gani kama hizi zinazotoka kwa watu ambao tunawaheshimu na kuwaalika kwenye michango na mijadala ya Taifa letu na bara zima la Afrika kwa ujumla?

Watu ambao wanaona weusi kwao unapimwa kwa kuangalia kuwa ni wanawake wangapi weusi umeshawahi kulala nao!
Sasa huu si uhuni ni nini?

Sasa watu wenye kutoa kauli kama hizi za kibaguzi si wanatuchanganya?
Tutajuwa vipi kama ana nia nzuri na yeye si fisadi?

Maneno gani hayo aliyoyaelekeza kwa mgombea mwenye asili ya Afrika na bila hata kuomba msamaha!

Huyu analinda maslahi ya nani?

Kwani hatuoni kina Bush wananvyowatumia vibaya watu kama kina Condi Rice?

Tuamke tuichukue nchi yetu sisi wenyewe!
Na kama kuna mikataba itakayo sainiwa pia tuwe makini!

Na ndio maana tunataka ripoti ya kamati ya madini itoke as soon as possible ili tujue namna ya kumove forward badala ya kusubiri na kusema sheria zilikuwa bado kubadilishwa na hivyo kuendelea kuhalalisha ufisadi!
 
..maandalizi yenyewe ya mkutano yanasua sua ...sidhani kama kweli tumejiandaa vya kutosha..kuwakaribisha na pia kujiandaa kufaidika ...tusiishie kwenda kuonesha batiki tu!
 
Unajua haya mambo ya kusema kitu fulani kitaleta watalii au kitaleta wawekezaji bila kuandaa takwimu ni bogasi.

Kwa miaka mitatu tumesikia matangazo katika CCN kuhusu Tanzania, majina ya Tanzania kwenye shuttle za airport huko UK, na mengine mengi. Tusiyosikia ni implication za yote haya, jee ni kwa asilimia ngapi hizi advertise zimeongeza revenue kwenye sector hizo binafsi? Sasa wanasema mkutano wa Sulvian utasaidia kuboost revenue kwenye swala zima uwekezaji na utalii. Swala linakuja how can Mr. Membe prove that?

Last weekend nilihoji jee hizi advertise tunazofanya zimechangia kwa asilimia ngapi growth ya revenue relative na sunk in cost? Majibu niliyopewa ni kwamba mwaka huu tumekusanya fedha nyii kwenye sector ya utalii, nilipouliza jee tumechanell kwa percentage hao watalii wametoka kwenye sehemu tulizofanya advertise? Jee tumeweza kufanya takwim tukaona kama watalii hao wengi wamekuja kwa sababu ya kuona advertisement au? Majibu niliyopata yalikuwa labda au i am not sure.

Sasa ni aibu waziri mkuu anaposimama kwenye public akasema kwamba eti huu mkutano utaboost sector ya uwekezaji na utalii wakati hakuna kitengo kitakacho prove hayo. Madhara yake tutaendelea kupoteza pesa kwa kitu kisicho na return propotional na outlay.

Hili ndio tatizo la Tanzania, tunapenda sana kufanya assumption zisizo na kichwa wala miguu. We need to conduct study kabla hatujafanya maamuzi yanayogharimu million ya shilling.

..picture this,

..huo uwekezaji utawezekana vipi ilihali bandari iko hoi kwa wingi wa mizigo!

..umeme hovyo,maji kidogo na vyote havitoshi na haviaminiki! tunajidanganya kama watoto kwamba wanaotaka kuwekeza hawaoni haya.wanayaona,tena mchana kweupeee!,si ndio kazi yao!

..kwa mfano,jamaa anataka kwenda safisha mafuta ya kula kigoma. atapelekaje mashine? atasafirisha vipi mafuta? reli yenyewe hoi.

..tunachofanya ni kama bibi anayetafuta bwana,lakini hakuoga wala kujiremba au bwana anayetafuta bibi,lakini hana fedha wala status yeyote kwenye jamii......tunapoteza muda na nguvu zetu!
 
Hizi habari nzuri- tutaitangaza vema nchi yetu!
Je can we accomodate 3,000 delegates? Arusha (Simba Grill) inachukua tu 1,000 max , Dar wakati wa SADC tulifanyia Diamond!
I think it is a good thing to Tz!

Nimefanya utafiki kwa hotel zilizopo Arusha zote kwa ujumla hazifikishi vyumba hata 2,000 sasa hawa wageni 3,000 watafikia wapi???.
 
Wadanganyika jamani hata sielewi tunavyofikiria hata kidogo... Hivi mnapoandaa mikutano mikubwa kama hii mlitegemea kupewa nyie fedha za kugharamia maandalizi?.. Duh basi China wangeanza kufikiria dunia imewapa nini hata watumie mabillioni kujenga viwanja vya Olimpiki ingekuwa ngumu na kitu ambacho hakiwezekani..
Yaani tunachokiona hapa ni mawazo ya kizamani yale ya sisi kupewa tu, kusaidiwa kila kitu hata kulishwa mdomoni, lakini inapofikia sisi kujenga msingi wetu wenyewe inakuwa ngumu..
Mkutano huu ni mlango uliokuwa umefungwa na hufunguliwa na mwenyeji mgeni apate kuingia.. Lakini wabongo wanachotaka kuona kaingia na kitu gani mkononi wakati hii ni biashara sio maswala ya zawadi. Sii lazima hawa jamaa wa invest Tanzania inawezekana sisi ndio tuka invest nchini Marekani..Zipo option kibao hapa.
Kuna mataifa kibao yanayopenda kuwa mwenyeji wa mikutano kama hii, hata mikutano ya UN na wangeweza gharamia kila kitu leo Bongo tunajiuliza sisi tumepata ngapi wakati wa kupalilia shamba.. Maswala ya kile kinachotakiwa kupandwa sii Hoja kwa sababu kila siku maisha yetu tunamtegemea Mungu na baraka zake. Nina hakika wapo wanaojiuliza what if haikulipa...
Ama kweli umaskini huja na mengi!
 
Arusha180508.JPG


Mji wa Arusha umeanza kuwekwa vivutio mbalimbali ikiwa ni maandalizi ya mikutano mikubwa ya Utalii na Sullivan inayotaraji kuanza kuanzia kesho mjini hapa, pichani ni mzunguko wa Loloindoi ukiwa umepambwa na sanamu za wanyama na kuufanya mji wa huo kupendeza na kutangaza vivutio vilivyopo nchini.

SOURCE: HabariLeo
 
leteni updates za officiates ya sulivani pls hakuna pics?
 
naona balozi andrew young ndo anahutubia. tuone atsema nini cha maana, naona anazuga kuwa sijui aliitwa na nyerere aende zanzibar. si mnajua bila kumtaja nyerere huwa hakunogi
 
..huyo dada aliyekaribu naye,yale ndo mavazi gani?

..nilipomwona nikakumbuka night dress,au nasikia usingizi nini?
 
tena huyo dada ndo mtoto wa marehemu sulluvan, naona JK anmawangalia sana.
 
Mwanakijiji,
Kuna mshikaji wangu kaenda huko hakika kwa mdomo wake kasema Mkoani Arusha hawajawahi kuona kitu kama kile..Kifupi ni Historia kwa nchi yetu achana na mengine mengi ambayo yanazidi kujitokeza kila siku...
Tatizo moja kubwa alonambia ni kwamba baadhi ya makampuni yetu makubwa yaliyojiandaa vizuri zaidi hayamilikiwi na Watanzania wala hayapo ktk DSE na wala huwezi kusema ni local companies, hivyo uwezekano wa mapato kuwa yanakusanywa nje huko huko ni mkubwa zaidi.
Na kingine ni kutokuwa na viwanda nchini.. yaani kazungumza na baadhi ya wafanya biashara waliofika wakamuulizia baadhi ya viwanda ambavyo kweli hatuna, tulitakiwa kuwa navyo! na kibaya zaidi ni kwamba kuna mtu mmoja aliropoka na kusema Ahhh! vitu vyetu vingi vinatengezwa China!.. Duuuuuh!
Unaambiwa Alitaka kumpa ganja la uso pale pale!
 
Back
Top Bottom