Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Kwa Hilo tu Iko vizuri sanaKikubwa inapiga na kuingia JF.
Kwa Hilo tu Iko vizuri sanaKikubwa inapiga na kuingia JF.
Nakuja chapNjoo tuweke order kikuu 😹
Dah! Yaani mtu anaweza 'kujiuza' apate iPhone, ila hana nyumba.Mara Kodi imeisha kumbe uongo anataka Ku upgrade japo apate 16
Kwa mshahara, labda ukopee kupata hicho kiasi pindi toleo jipya linapotoka (Si Kuna top up ya mkopo🤪)Kwa ili life la kusubiri mshahara, dah parefu.
Yule punga alikuwa anaitwa Steve job
Ndo mwenye kampun ndo tajiri mwenyewe
Sema mwana aliaga dunia mwaka juzi nazan
Kwani mapunga hawazai, wapo mchicha mwiba wengi wanafirwa huku wana ndoa zao na watoto juu.Kwa taarifa yako ana watoto wa nne, mtoto wa kwanza kutoka katika ndia ya kwanza, wengine watatu ndoa ya pili
Kabla hujamuita mtu punga soma background bro
Kama hunaKununua simu kwa dola 2,000 ni upumbavu.
Steve Jobs alishakufa siku nyingi (2011) halafu hakuwa shogaYule punga alikuwa anaitwa Steve job
Ndo mwenye kampun ndo tajiri mwenyewe
Sema mwana aliaga dunia mwaka juzi nazan
Asante kwa masahihishoSteve Jobs alishakufa siku nyingi (2011) halafu hakuwa shoga
Unashindwa hata kutumia Google!
Milioni 6 simu ganiKwa mshahara, labda ukopee kupata hicho kiasi pindi toleo jipya linapotoka (Si Kuna top up ya mkopo🤪)
Milioni 6/7+ sio mchezo kuitumia kununua simu, labda iwe hela ya deal
Si ndiyo hizo iphone 17 Mkuu 😅Milioni 6 simu gani
Iphone 17 hata milioni 4 haifikiSi ndiyo hizo iphone 17 Mkuu 😅
Hujasoma bei ya hizo simu kwenye taarifa ya utangulizi ya mtoa madaIphone 17 hata milioni 4 haifiki
Simu ya mwaka jana iuzwe milioni 6?Hujasoma bei ya hizo simu kwenye taarifa ya utangulizi ya mtoa mada
Hizo za milioni 4 isije kuwa ni second hand phone