9 September 2026: Apple wazindua simu tatu, iPhone Duo, iPhone 18 Pro, iPhone 18 Pro Max na accessories nyingine!

9 September 2026: Apple wazindua simu tatu, iPhone Duo, iPhone 18 Pro, iPhone 18 Pro Max na accessories nyingine!

Tatizo kupata mpya bongo sahv amna, zipo za dubai
Za dubenga nilitumia nkaona bora nije kwenye a nisukume gurudum
Bongo watu wanapigwa sana asilimia kubwa ya wauzaji sio waaminifu simu used au refurbished zinavishwa mabox na kupigwa makaratasi mpaka stocker za warranty unaambiwa brand new na bei zake zinakuwa zimesimama kweli.
 
Yule yupo kwenye payroll ya Apple. Marques yeye kajitoa, siku hizi ata Products hawamtumii.
Marques ni big fan wa Android ila huwezi kumkuta akizikanyagia iPhone kwenye review.

Mrwhotheboss hajawahi kusema kitu fulani kizuri bila kusema execption. Utasikia "this features is good but"

Ndio maana alinyimwa mwaliko na Google
 
Instagram si unaona hata ukiwa na oppo ya laki mbili tena HD... Wao wanunue tu kwakweli milioni 5 bora ninunue computer iniingizie kipato
mara mia kabsa, kuliko bajet kubwa hivo afu ni sim tu na matumiz ni yaleyale tu kama sim ya laki mbili.

Kwanza milion 7 mkoan unajenga nyumba ya vyumba vitatu.
Unaipangisha hadi uzeeni unapokea kodi.

VIJANA WANAPELEKWA NA UPEPO, wanafanywa wajione wanapelea.
Hii itawafanya kujitutumua ili waendane na UPEPO uliopo mda huo.
bila kujua inawachelewesha na ni mtego wa kampun umeshawanasa wamekuwa addicted.
 
Back
Top Bottom