allow cp
JF-Expert Member
- Aug 15, 2026
- 1,134
- 3,467
😅😅 akili za kushikiwa na iPhone hazijali hiloMtu ananunua iPhone ya Mil 6 kwaajili ya Picha, na Instagram.
😅😅 akili za kushikiwa na iPhone hazijali hiloMtu ananunua iPhone ya Mil 6 kwaajili ya Picha, na Instagram.
Yule punga alikuwa anaitwa Steve job
Ndo mwenye kampun ndo tajiri mwenyewe
Sema mwana aliaga dunia mwaka juzi nazan
Dunia inakimbia aisee
😅😅😅 race ya flagship ni ya kushikiwa akili sana, aiseeeKuna akili moja, unanunua flagship ya miaka 4 nyuma. Mfano wanatoa iPhone 18 wewe ndio unatafuta iPhone 14.
Kuna akili moja, unanunua flagship ya miaka 4 nyuma. Mfano wanatoa iPhone 18 wewe ndio unatafuta iPhone 14.
Kuhusu Bei, kwa uelewa wangu, Apple Bei wanazozitaja "wao" ni bila kodi na kwa Marekani kodi inatofautiana kati ya Jimbo na jimbo.
Asa ikija Tanzania, Kuna kodi za international, usafiri, faida so inakuta inatika Mil nyingine
Maybe sijaeleweka or sijaelewa jibu lakoKuhusu Bei, kwa uelewa wangu, Apple Bei wanazozitaja "wao" ni bila kodi na kwa Marekani kodi inatofautiana kati ya Jimbo na jimbo.
Asa ikija Tanzania, Kuna kodi za international, usafiri, faida so inakuta inatika Mil nyingine inaongezeka.
Tim Cook ndio alimpokea Jobs. Ndio na yeye kapokelewa huu mwezi.
Hahahaha dah.Masikini tuna mbinu sana. Pia kuna "top up" mkuu. Kuna mdogo wangu mmoja bitozi sio kidogo, ndio michezo yake hii. Hapa kwa kuwa 18, imetoka yeye atasogea kwenye 17 hivi kupitia "top up".. 😊
Ooh nilidhani unaulizia Ile MSRP (manufacturer suggested retail price) na hii ya Dukani.Maybe sijaeleweka or sijaelewa jibu lako
Ngoja niulize tena,.
Kwenye soko la dunia iPhone ikizinduliwa bei yake inakua ndogo kulinganisha na Samsung(zote zikiwa flagship) but kwanini zikifika Tanzania iPhone inakua bei kubwa kuzidi Samsung??Wakati huko zinapotoka Samsung gharama kubwa kuzidi iPhone?
Nipo nasubiri A18 Samsung itoke nikanunue A17 😅Kuna akili moja, unanunua flagship ya miaka 4 nyuma. Mfano wanatoa iPhone 18 wewe ndio unatafuta iPhone 14.
Hahahaha dah.
Wenzetu izi topup unaenda kufanya kwenye stores za Apple kabisa, wanaita trade-in. Sasa sisi topup zetu kukomoana. Unaambiwa leta iPhone 17 Pro Max na Mil 2 tukupe iPhone 18 Pro Max.