Kwa ili life la kusubiri mshahara, dah parefu.Simu ni Kali inayoendana na wakati
Ukiwa mdau wa bidhaa za apple na kuwa mraibu nazo, utajikuta Kila mwaka unatakiwa utenge kiasi kisichopungua 6,000,000 kuweza kupata simu mpya za Kila toleo
Hiko kiasi utaweza kukifikia iwapo utakuwa na uwezo wa kutunza shilingi 500,000 tu kwa mwezi ambazo ni sawa na shilingi 16,700 Kila siku
Hapo umenena. Wengi wanadanganywa mpya. Ila ukibahatika Haina matatizo wengine ukijichanganya matatizo daily.Bongo watu wanapigwa sana asilimia kubwa ya wauzaji sio waaminifu simu used au refurbished zinavishwa mabox na kupigwa makaratasi mpaka stocker za warranty unaambiwa brand new na bei zake zinakuwa zimesimama kweli.
Hakuna kinachoongozeka maana hatuna namna ya kukithibisha, baaasi ty tunaamua kwenda na Trends tunafurahiWanatuchezea akili Hawa. Eti wameongeza efficiency kwa 40%, sisi tutaamini vipi?
Nitakununulia hiiHey siri, call Mad Max 😹
PIXEL sim kali afu bajet yakawaida tu.Me ndio nimejiweka humu sahivi, Pixel.
Bei gani hiiBora nikachukue pixel 10 pro yangu mie
Bei gani hii
Bado hujanishawishiJapo iPhone ina utamu wake Bwana, ukipata Orijino sio hizi za Kariakoo
Kwamba Steve job alikua punga? Una hakika na ulicho andika hapa? Tim Cook una mfahamu?Yule punga alikuwa anaitwa Steve job
Ndo mwenye kampun ndo tajiri mwenyewe
Sema mwana aliaga dunia mwaka juzi nazan
Nakungojea 😁Nitakununulia hii
Wambie wailete harakaNakungojea 😁
Njoo tuweke order kikuu 😹Wambie wailete haraka