lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Yes nafikiri pia hii ndio sababu au kwa vile Tanzania iPhone zishaonekana simu za matajiri so wauzaji wanaropoka bei wanavyojisikia,.mdogo wangu nimempa 15 kaenda ku top up,kidogo nimpige vibao..wanawake akili sijui huwa wanapeleka wapi,.nimepiga hesabu ni kama ile simu kaiuza 250k..Ooh nilidhani unaulizia Ile MSRP (manufacturer suggested retail price) na hii ya Dukani.
Me nadhani, wauzaji wanaongeza cha juu sana kwasababu wengi hawanunui kwa Apple Stores, ila wananunua kwa maduka tu.
Yaani imepita kwa wafanyabiashara wengi hadi ije ifike Makumbusho. Na kila mmoja anaongeza faida + kodi + usafiri.
Tofauti na Samsung wana dealers wengi Africa, kwahiyo inapita kwa wachache.
Maono yangu tu
Now mjinga mmoja ata top up 16 pro max kwa 18 pro,na milion 2 atatoa