9 September 2026: Apple wazindua simu tatu, iPhone Duo, iPhone 18 Pro, iPhone 18 Pro Max na accessories nyingine!

Kwa ili life la kusubiri mshahara, dah parefu.
Kwa mshahara, labda ukopee kupata hicho kiasi pindi toleo jipya linapotoka (Si Kuna top up ya mkopo🤪)

Milioni 6/7+ sio mchezo kuitumia kununua simu, labda iwe hela ya deal
 
Yule punga alikuwa anaitwa Steve job

Ndo mwenye kampun ndo tajiri mwenyewe

Sema mwana aliaga dunia mwaka juzi nazan

Kwa taarifa yako ana watoto wa nne, mtoto wa kwanza kutoka katika ndia ya kwanza, wengine watatu ndoa ya pili

Kabla hujamuita mtu punga soma background bro
 
It is high time for our sisters to save or shave for the new iPhones
 
Kwa taarifa yako ana watoto wa nne, mtoto wa kwanza kutoka katika ndia ya kwanza, wengine watatu ndoa ya pili

Kabla hujamuita mtu punga soma background bro
Kwani mapunga hawazai, wapo mchicha mwiba wengi wanafirwa huku wana ndoa zao na watoto juu.
 
Cha kushangaza simu zinaanza kuuzwa 18 September hata maduka ya apple ulaya bado hakuna ila kuna makanjanja bongo teyari wanazo
 
Yule punga alikuwa anaitwa Steve job

Ndo mwenye kampun ndo tajiri mwenyewe

Sema mwana aliaga dunia mwaka juzi nazan
Steve Jobs alishakufa siku nyingi (2011) halafu hakuwa shoga
Unashindwa hata kutumia Google!
 
Unashangaa iphone 18?
Huawei Mate XT 2 Ultimate US$ 3000 ndiyo bei yake ikiwa China
 
Hujasoma bei ya hizo simu kwenye taarifa ya utangulizi ya mtoa mada

Hizo za milioni 4 isije kuwa ni second hand phone
Simu ya mwaka jana iuzwe milioni 6?
Hata iphone 18 haitafika hiyo bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…