90% ya nyumba za Dar miaka ya 2010 rudi nyuma ni hizi, ramani moja tu

90% ya nyumba za Dar miaka ya 2010 rudi nyuma ni hizi, ramani moja tu

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,395
Reaction score
2,391
IMG_20230403_100201.jpg
images (1).jpeg
Nyumba hizi nyingi zipo Ilala miji ya zamani, Kigogo, Mburahati, Vingunguti, Mbagala, Keko n.k Utofauti unakuja kwenye kupaua na idadi ya vyumba tu ila ramani ni moja.
 
Sinza ilikuwepo ya tajiri yngu mmoja profesa wa mliman miaka 2019 ,ila juzi kati nimepita nimekutaa ilshabomolewaa na kuoteshwa gorofaa mojaa matata la hotel ....
 
Nyumba hizi nyingi zipo Ilala miji ya zamani, Kigogo, Mburahati, Vingunguti, Mbagala, Keko n.k Utofauti unakuja kwenye kupaua na idadi ya vyumba tu ila ramani ni moja.
Hizi ukiziita za 2010 utakuwa ulichelewa kuja mjini, mjengo wa msimbiji siyo nyumba za elfu 2010, hizo ziliambatana na radio Fulani hivi zilikuwa kama vigalon vya lita 5,
 
Bati bei mkuu mtu anawaza anatokaje hapo
 
ENEO NA BOMA LINAUZWA
KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC.YA SIMBANI .
ENEO LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO VYAKE TAYARI VINATUMIKA LINA TANK YA CHINI YA KUVUNIA MAJI LITA ELFU 3000.

UMEME NGUZO MBILI
MAJI NI MITA 500

km.1 kutoka main road

NATAKA ML. 18
 
Dom rangi za bati kimipango miji kila kata wanatakiwa kuwa na rangi zao eg Nzuguni rangi nyekundu, Ihumwa kijani etc
 
Back
Top Bottom