Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vunja zinachafua mjiNyumba hizi nyingi zipo Ilala miji ya zamani, Kigogo, Mburahati, Vingunguti, Mbagala, Keko n.k Utofauti unakuja kwenye kupaua na idadi ya vyumba tu ila ramani ni moja.
Hizi ukiziita za 2010 utakuwa ulichelewa kuja mjini, mjengo wa msimbiji siyo nyumba za elfu 2010, hizo ziliambatana na radio Fulani hivi zilikuwa kama vigalon vya lita 5,Nyumba hizi nyingi zipo Ilala miji ya zamani, Kigogo, Mburahati, Vingunguti, Mbagala, Keko n.k Utofauti unakuja kwenye kupaua na idadi ya vyumba tu ila ramani ni moja.
Mbona kama ni hizi hizi tu [emoji1787]View attachment 2576567
Huyo kibaraza kalazia nyuma tofauti na hizo zilikuwa zinatizamanaMbona kama ni hizi hizi tu [emoji1787]View attachment 2576567
Mwambie huyoHuyo kibaraza kalazia nyuma tofauti na hizo zilikuwa zinatizamana
Muda tuNazo zitapitwa na wakati
Umesahau kidogo. Ni Maputo Style.Tunaziita Msumbiji,ninadhani Msumbiji nyumba nyingi zipo hivi.