Tetesi: 90% ya Waandamanaji kutoka Mikoani wamewasili Dar es Salaam, Waliosalia ambao wengi wataingia Jumamosi wameombwa kutokuvaa sare za CHADEMA safarini

TUSAIDIE SERIKALI KUWE NA UTULIVU:-
1. Wanadai nini?
2. Wamewaomba mazungumzo hao wanao wadai wakakataliwa?
3. Kwanini tuingie kwenye maandamano wakati tuna mawaziri, wakuu wa mikoa, waziri mkuu na Rais ambaye anaweza kuombwa venue ya mdahalo na mambo yakawekwa sawa?

USHAURI:
Vyama vikae mezani, kuwe na muafaka wa kitaifa, tuendelee kutunza tunu yetu ya amani.

Mkae mzungumze nini wakati wamesema wanajiteka wenyewe.

Wameomba iundwe tume ili pande zote zipeleke ushahidi wao.

Mkuu wa nchi anafanya kazi kwa video clips zilizoharibiwa na kutoa hotuba kwa hasira wakati wetu wamepoteza ndugu zao .

Hivi wasipoandamana unajua madhara ya hotuba ile kiusalama wa mtu l
mmoja mmoja mmoja . Zile hotuba hua zinatolewa na madikteta sio kwenye nchi ya kidemokrasia kwa mujibu wa katiba na sheria .

Hajataja kifungu chochote cha sheria .
Eti kifo ni kifo tu.

Yaani anaona madraka yake ni bora kuliko uhai wa watu.
Kwa nini yeye analindwa kama hajali kufa ?
 
Hii ndio Taarifa iliyovuja kutoka kwa Waandaaji wa Maandamano hayo ya Amani, Imedaiwa kwamba ilitumika Akili kubwa ya Watu kusafiri mapema ili kuepuka hujuma za Polisi kwenye siku za mwisho mwisho.

Waandamanaji hao wa Maombolezo ya Waliotekwa, Kuuawa (kifo ni kifo tu) na kupotezwa wameombwa kutokubeba silaha zozote, kutokuvaa sare za CHADEMA, wala kutoweka vifaa vya CHADEMA kwenye Mabegi yao , hii ni kwa sababu Maandamano hayo ya Amani ni ya Kitaifa, yatahusisha wananchi wote.

Pia Waandamanaji kutoka Mikoa yote wameelekezwa kutokujadili siasa kwenye Mabasi waliyomo ili kuepuka mitego ya Mamluki.

Soma Pia:

Taarifa inaeleza kwamba Malundo ya Waandamaji walianza kuwasili tangu siku ya Maulid.

Mungu Ibariki Nchi yetu.
hamna kitu kama icho.
 
Niamini, nafasi ya mazungumzo ipo, kila kitu kinawezekana!
 
Unajua Azori Gwanda alitekwa na kuuawa kwa sababu gani ?
Kama hujui pls shut your mouth ..
Kwani alikua mhalifu ?
Kwani aliandamana?
Kwani alikua Chadema?
Kwani alimpinga mkuu wa nchi?
Kwani alikua mchochezi?
Tafakari!!

Kama kifo ni kifo kwa nini waogope kuandamana!!

Asante kwa taarifa hii, pili nashauri tuache sensesionalism kwenye serious issues kama hii, hayo malundo ya watu kutoka mikoani kuja tuu kushiriki maandamano, is a big news!, kwasababu inaonyesha ama ni Watanzania wamepata emancipation ya kujitambua kudai haki zao no matter what, na wako tayari kugharimia haki hizo hata kama gharama yake ni machozi, jasho na damu, wako tayari kulipia wako tayari kwa lolote!. Hii ni habari njema sana kwa ukombozi wa pili wa taifa letu.

Lakini pia inawezekana hayo makundi yakawa ni kipimo kizuri cha kiwango cha joblessness ya watu wake, ni mtu tuu asiye na shughuli ya kufanya akipewa nauli ya kwenda popote, atakwenda na yuko tayari kwa lolote, ndio ana muds huo kusafiri kuja kuandamana kwenye maandamano haramu, japo the cause is the right causes?, this being the case, this is very dangerous!.
Ushauri wangu wa kwanza, ni Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

Ila kama hao waandamaji ni Gen Z wetu, nawashauri Jeshi letu la Polisi litumie utaratibu huu kusambaratisha maandamano hayo Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa!
P
 
Mkae mzungumze nini wakati wamesema wanajiteka wenyewe.

Wameomba iundwe tume ili pande zote zipeleke ushahidi wao.

Mkuu wa nchi anafanya kazi kwa video clips zilizoharibiwa na kutoa hotuba kwa hasira wakati wetu wamepoteza ndugu zao .

Hivi wasipoandamana unajua madhara ya hotuba ile kiusalama wa mtu l
mmoja mmoja mmoja . Zile hotuba hua zinatolewa na madikteta sio kwenye nchi ya kidemokrasia kwa mujibu wa katiba na sheria .

Hajataja kifungu chochote cha sheria .
Eti kifo ni kifo tu.

Yaani anaona madraka yake ni bora kuliko uhai wa watu.
Kwa nini yeye analindwa kama hajali kufa ?
Mstari wako wa mwisho, "kifo ni kifo tu" dah , umeniliza, umeniliza! Namuwaza mjane wa Marehemu, nawaza sana!
 
Ilikua ni kauli ya kifedhuli sana .
Hata mnyama mbwa anapenda kuishi .
Uhai hauna spea .

Mtu anayethamini madaraka kuliko uhai wa watu hafai hata kuingia Jehanamu taratibu zaidi ya kutupwa Jehanamu ya Moto .

Uhai ni uhai tu .

tulinde uhai kwa nguvu zote.

Ile hotuba yake itawaua wetu kama 23 sept. haitafanikiwa kuingia barabarani kwa mamilioni ya wapenda haki na uhai wa watu.
Ile hotuba itaingia mpaka kwenye vyombo vya dola . Kila atakayedai haki yake atauawa na kuitwa Chadema , iwe ni polisi ,jeshi, daktari mwalimu TISS , raia wote wataumizwa na hotuba iliyoelekeza kuwatia wetu adabu wasiote mikia.
Yaani katiba haifuatwi tena bali mtu anavyojisikia na aalivyoamka kutoka nyumbani kwake . Hata akiamua kula nyama ya mtu basi mtu atachinkwaa na kupelekewa nyama .
Hakuna maana ya kua kiongozi wa watu kama uhai hauna maana.
 
pls shut your mouth ..
Heshima kitu cha bure, hinijui sikujui naomba tuheshimiane!, huwezi kunitukana shut up your mouth, kwasababu hunijui umri wangu, maneno hayo unaweza kumwambia baba yako wa kukuzaa?, kwa vile hunijui naweza kuwa umri wa baba yako!.
Jifunze kuwa na heshima kwa wote.
P
 
Hii ndio Taarifa iliyovuja kutoka kwa Waandaaji wa Maandamano hayo ya Amani, Imedaiwa kwamba ilitumika Akili kubwa ya Watu kusafiri mapema ili kuepuka hujuma za Polisi kwenye siku za mwisho mwisho.

Waandamanaji hao wa Maombolezo ya Waliotekwa, Kuuawa (kifo ni kifo tu) na kupotezwa wameombwa kutokubeba silaha zozote, kutokuvaa sare za CHADEMA, wala kutoweka vifaa vya CHADEMA kwenye Mabegi yao , hii ni kwa sababu Maandamano hayo ya Amani ni ya Kitaifa, yatahusisha wananchi wote.

Pia Waandamanaji kutoka Mikoa yote wameelekezwa kutokujadili siasa kwenye Mabasi waliyomo ili kuepuka mitego ya Mamluki.

Soma Pia:

Taarifa inaeleza kwamba Malundo ya Waandamaji walianza kuwasili tangu siku ya Maulid.

Mungu Ibariki Nchi yetu.
Wajee wajiandae kufanya usafi vizuri na jeshi letu
Asbh tutawagaiq mafagio

Kutakuwa na ambulance kwa watakaochoka usafi
 
Hata wapumbavu maoni yao tunayasoma na sometimes tunayajibu msije wakajiua kwa sonona
Ingekuwa ya wananchi ungeona mtwara mbeya singida kigoma na kwingineko yanafanyika ila kwa kuw ya wanasiasa wengine hawana tu habari kama kuna maandamano
 
Haya
Endelea kuwaza uwazavyo.
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=WH-3qniTLEk&pp=ygU6UG9saXNpIHdhdGFuZGEga3V6dWlhIG1hYW5kYW1hbm8ga2lwaW5kaSBjaGEgdWNoYWd1emkgMjAxNA%3D%3D

View: https://m.youtube.com/watch?v=__R1rETaCDA&pp=ygU6UG9saXNpIHdhdGFuZGEga3V6dWlhIG1hYW5kYW1hbm8ga2lwaW5kaSBjaGEgdWNoYWd1emkgMjAxNA%3D%3D

Nchi ilivyokuwa zama za Jakaya Kikwete, ndio akushauri kuongoza nchi.

Bila ya Magufuli kuwatuliza wapinzani hali ingekuwa mbaya zaidi.

Unaambiwa baki hapo hapo, hiyo kazi sio rahisi na lawama katika maamuzi magumu ayakwepeki. Anadhani anaweza furahisha kila mtu.

Kumbukizi nzuri 🤣🤣🤣
 
Asante kwa taarifa hii, pili nashauri tuache sensesionalism kwenye serious issues kama hii, hayo malundo ya watu kutoka mikoani kuja tuu kushiriki maandamano, is a big news!, kwasababu inaonyesha ama ni Watanzania wamepata emancipation ya kujitambua kudai haki zao no matter what, na wako tayari kugharimia haki hizo hata kama gharama yake ni machozi, jasho na damu, wako tayari kulipia wako tayari kwa lolote!. Hii ni habari njema sana kwa ukombozi wa pili wa taifa letu.

Lakini pia inawezekana hayo makundi yakawa ni kipimo kizuri cha kiwango cha joblessness ya watu wake, ni mtu tuu asiye na shughuli ya kufanya akipewa nauli ya kwenda popote, atakwenda na yuko tayari kwa lolote, ndio ana muds huo kusafiri kuja kuandamana kwenye maandamano haramu, japo the cause is the right causes?, this being the case, this is very dangerous!.
Ushauri wangu wa kwanza, ni Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

Ila kama hao waandamaji ni Gen Z wetu, nawashauri Jeshi letu la Polisi litumie utaratibu huu kusambaratisha maandamano hayo Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa!
P
Unaamini hizi habari ni za kweli????
 
Hii ndio Taarifa iliyovuja kutoka kwa Waandaaji wa Maandamano hayo ya Amani, Imedaiwa kwamba ilitumika Akili kubwa ya Watu kusafiri mapema ili kuepuka hujuma za Polisi kwenye siku za mwisho mwisho.

Waandamanaji hao wa Maombolezo ya Waliotekwa, Kuuawa (kifo ni kifo tu) na kupotezwa wameombwa kutokubeba silaha zozote, kutokuvaa sare za CHADEMA, wala kutoweka vifaa vya CHADEMA kwenye Mabegi yao , hii ni kwa sababu Maandamano hayo ya Amani ni ya Kitaifa, yatahusisha wananchi wote.

Pia Waandamanaji kutoka Mikoa yote wameelekezwa kutokujadili siasa kwenye Mabasi waliyomo ili kuepuka mitego ya Mamluki.

Soma Pia:

Taarifa inaeleza kwamba Malundo ya Waandamaji walianza kuwasili tangu siku ya Maulid.

Mungu Ibariki Nchi yetu.
Naona mnamjaza upepo Samia Suluhu Hassan na polisi wake balaaa...

Si ajabu polisi wakapangana barabarani na kuteka ila basi la abiria, treni na ndege wanaosafiri kuja DSM eti kuzuia maandamano....!

Very weak and stupid Tanzania Police Force, very weak empty, shallow minded president Samia Suluhu Hassan...!

Huyu mama, hakuna namna ya kumsaidia isipokuwa;

#SAMIA MUST GO..!!
 
TUSAIDIE SERIKALI KUWE NA UTULIVU:-
1. Wanadai nini?
2. Wamewaomba mazungumzo hao wanao wadai wakakataliwa?
3. Kwanini tuingie kwenye maandamano wakati tuna mawaziri, wakuu wa mikoa, waziri mkuu na Rais ambaye anaweza kuombwa venue ya mdahalo na mambo yakawekwa sawa?

USHAURI:
Vyama vikae mezani, kuwe na muafaka wa kitaifa, tuendelee kutunza tunu yetu ya amani.
TUSAIDIE SERIKALI KUWE NA UTULIVU:-
1. Wanadai nini?
2. Wamewaomba mazungumzo hao wanao wadai wakakataliwa?
3. Kwanini tuingie kwenye maandamano wakati tuna mawaziri, wakuu wa mikoa, waziri mkuu na Rais ambaye anaweza kuombwa venue ya mdahalo na mambo yakawekwa sawa?

USHAURI:
Vyama vikae mezani, kuwe na muafaka wa kitaifa, tuendelee kutunza tunu yetu ya amani.
Wewe mtoto wa kahaba , angekuwa ni baba yako kauawa na kutoboloewa macho baada ya kutekwa au angekuwa ni ndugu yako wa karibu katekwa na keplekwa kusulubiwa huko bila kujulikana alipo na pengine kuawa kabisa maporini huko baada ya kutekwa na kuteswa
Ungeandika huu useng£ wako hapa kama ulivoandika ?
Baba yako bora angepiga nyeto bafuni
 
Back
Top Bottom