A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

Lucas umeongea point nzuri(3) sio kweli kuwa waafrika hatukuwa na watumwa ila sisi tulitumia technolojia ya kuwachukua waafrika wenzetu kuwa misukule kulima usiku tofauti na wazungu wao uchawi walishavuka hiyo hatua wakawa wanaenda live bila chenga wakishirikiana na machifu na waarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
100% true

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kiteknolojia tulikuwa mbali kwanini waliweza kutuvamia? Kwanini tulikosa silaha na mbinu za kupambana nao?
Mkuu kuna njia nyingi za kuvamiwa. Kuna jia ya majeshi na kuna njia za vizazi.

Kabla ya kuchangia hoja inapaswa kwanza ujitathmini mwenye nini unakijua na nini hukijui. Nafikiri ni busara kufanya hivyo.

Ninavyo kuona mimi wewe unauliza swali ambalo jibu lake tayari unalijua ila unataka kunitega mimi. Huwezi niambia mimi kuwa wewe hujui njia tofauti za kuvamia Taifa au culture nyingine.

Nikupe mfano; wakristo walivamia Rom sio kwa mitutu na majeshi bali walitumia ideology. Na hiyo ideology ndiyo iliyo tuangamiza sisi mpaka leo. Paulus au kwa kiswahili Mtakatifu Paulo alipeleka Rom injili ya Yesu, kitu ambacho hakikuwepo Rom wakati ule wa Utawala wa kirumi.

Warumi walimsulubu kifungoni mpaka kufa. Lakini hata hivyo alikwisha kusambaza tentacles zake ambazo zilikuwa zina operate kimya kimya. Baada ya madaraka kushikwa na Emperor Constantine na kushinda vita dhidi ya maadui wake kwa ishara ya msalaba wa Yesu Kristo hapo ndipo wakatholics walianza kuwa free ma kuheshimika. Na hivyo ndivyo waktisto walivyo mamia Rom.

Na hivyo ndivyo waarabu walivyo vamia Misri na sehemu nyingine kwa Kivita, ideology ya dini ya kiislam na kwa njia ya kuzaliana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ufafanuzi wako
 
Iko hivi changamoto kwa wenzeti ni fursa lakini kwetu tunatafsiri tumelogwa . Mzingi kapitia mazingira magumu sanaa ndo mpaka leo hii ikifika kipindi cha badidi wengi huwa wanasepa kukimbilia afrika na arabuni hapo Sasa ndo akaamua kujiongeza kwa kutafuta maarifa zaidi .
Sisi bado tumelala mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes, he is obviously white. A white African, if that's what you want to hear.
 
Aisee ni point kubwa ever

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Ww muafrica atoe wapi hekima embu kuwa makini na unachoandika hapa.

Sent from my TECNO-J5 using Tapatalk
 
Nikikosea mtani sahihisha. Ninavyo fahamu hapo mwanzo hao weupe kutoka ulaya hawakua na nia ya kuchukua watumwa kutoka afrika walikua wanachukua watumwa kutoka amerika. Na walituma watu wao kwenda mashariki ya mbali kutafuta viungo, dhahabu nk.

Kutoka ulaya ilibidi waizunguke afrika kwa mashua na walikwenda huku wakiweka vituo baadhi ya maeneo ya pwani za afrika ikiwemo sauzi, msumbiji, tanganyika nk. ndio wakakuta watu wenye nguvu za kuweza kufanya kazi zaidi ya wale watumwa kutoka amerika hivyo wakaendelea na safari yao ya mashariki ya mbali lakini taarifa zili wafikia wakubwa huko ulaya kwamba kuna mahali kuna watumwa wanao tufaa na aridhi yenye mali zakutosha.

Hatukuweza kuwa wakwanza kwenda ulaya kwasababu hatukua na msukumo wa kufanya hivyo ukilinganisha na wao. Maeneo yao nikama vile yalikua hayatoshelezi, pia walikua mbele yetu kiteknolojia....mambo ni mengiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…