kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,965
Lucas umeongea point nzuri(3) sio kweli kuwa waafrika hatukuwa na watumwa ila sisi tulitumia technolojia ya kuwachukua waafrika wenzetu kuwa misukule kulima usiku tofauti na wazungu wao uchawi walishavuka hiyo hatua wakawa wanaenda live bila chenga wakishirikiana na machifu na waarabu1.Technology-mzungu na muafrica walikutana kwa mara ya kwanza mnamo karne ya 15 wakati huo mzungu yupo mbali kidogo katika teknolojia mfano silaha hivyo tusingeweza kuwateka kama tungeenda
2.Umasikini -Mzungu aliweza kufika huku kututeka kutokana na kwamba alikuwa na capital sasa kwa mfano mkwawa angeweza ku finance jeshi lake kwenda Ulaya ?
3.Kutokuwa na Wazo hilo- Mu Africa hakuwa na wazo la kumtawala mzungu kama mtumwa kwa sababu wazungu walimuitaji mtu mweusi kumfanya mtumwa kwenye mashamba ya Miwa nk lakini sisi tuliitajiana kufanyana misukule
4.SABABU ZA KIUTAWALA-Wazungu walikuwa na mfumo mzuri wa kiutawala kwa mfano Uingereza ilikuwa chini ya utawala wa kifalme pamoja na nchi zingine za Ulaya lakini huku kwetu tuliongoz kitemi kila kabila na mtemi wake hivo isingewezekana wote wakubaliane katika kwenda Ulaya na kuteka wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app