A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

Sidhani kama waafrika tuna akili tofauti na watu weupe au wazungu. Nachoona ni wenzetu waliwahi kustaarabika na kuendelea kabla yetu na waliweza kugundua vingi kabla yetu hivi hapo ndipo walipotuzidi.

Ila kama ubaguzi usipokuwepo kabisa duniani na mtoto wa kiafrika na kizungu akakuzwa katika mazingira sawa utakuta akili zao zinafanya kazi sawa. Mfano ni mashirika kama FBI ambapo kuna watu weupe na weusi na wote wanapiga mzigo sawa sema kutokana na ubaguzi mweupe atafanywa awe kiongozi wa mweusi
Sisi tulikuwa wastaarab kitambo Kabla wazungu kuja na sisi ni were u Sana kuliko WAP ndo mama mila kukicha WAP ni kutuhujumu Ru unadhani ni kwanini?wanatuogopa wakituacha huru tutawazidi kila kitu si ktk science,entertainment,nk sisi tuligundua moto,chuma,nk ata gari alietengeneza blueprint ni mweusi sio huyo ford yeye aligundua tairi tu ila sababu yule black alikuwa ni mwajiriwa basi ikatangazwa sir henry ford ndie mgunduz wa motokaa vitu vingi bro vilianzia africa hata ujenzi wa Majumba makubwa ulianzia kwetu nenda misri kaangalie piramid ndugu
 
Ford hakugundua gari wala hakuwa "Sir". Uwezo wa Ford ilikuwa kugawa kazi kwa hatua ndogo na kila mfanyakazi alipewa hii kazi ndogo tu. Hapa aliweza kutengeneza magari kwa idadi kubwa katika muda mfupi kwa gharama ndogo zaidi.

Wagunduzi wa motokaa walikuwa Wajerumani, Daimler angalia majina ya ijini "Otto" (kawaida yale ya petroli) na "Diesel", wote Wajerumani. Hawakuwa na wafanyakazi kutoka Afrika-

HAlafu matairi - angalia majina ya Dunlop na Michelin. Ujisomee kwanza kidogo kabla ya kutangaza mambo.
 
1.Technology-mzungu na muafrica walikutana kwa mara ya kwanza mnamo karne ya 15 wakati huo mzungu yupo mbali kidogo katika teknolojia mfano silaha hivyo tusingeweza kuwateka kama tungeenda

2.Umasikini -Mzungu aliweza kufika huku kututeka kutokana na kwamba alikuwa na capital sasa kwa mfano mkwawa angeweza ku finance jeshi lake kwenda Ulaya ?

3.Kutokuwa na Wazo hilo- Mu Africa hakuwa na wazo la kumtawala mzungu kama mtumwa kwa sababu wazungu walimuitaji mtu mweusi kumfanya mtumwa kwenye mashamba ya Miwa nk lakini sisi tuliitajiana kufanyana misukule

4.SABABU ZA KIUTAWALA-Wazungu walikuwa na mfumo mzuri wa kiutawala kwa mfano Uingereza ilikuwa chini ya utawala wa kifalme pamoja na nchi zingine za Ulaya lakini huku kwetu tuliongoz kitemi kila kabila na mtemi wake hivo isingewezekana wote wakubaliane katika kwenda Ulaya na kuteka wazungu
je kwan mansa Musa kani mbona alikuwa vizur financially mbona hakuwafata wazungu
 
Kwanini mzungu awe mbali kidogo? Huu ndio msingi wa swali langu. Ina maana wazungu wapo very intelligent tangia zamani sana na ndio maana wanatawala dunia mpaka sasa?
kiteknolojia mwafrika alikuwa vizur ila mzungu ndo akatushusha chink kiteknolojia kwa kufanya uzalishaji mali nchi kwao
 
Kitu kimoja tuu,alituwahi kwa kutengeneza silaha bora kuliko zetu na akazitumia .
 
je kwan mansa Musa kani mbona alikuwa vizur financially mbona hakuwafata wazungu
Mansa Musa alitawala maeneo penye dhahabu iliyopelekwa nje hadi Misri Uarabuni na Ulaya. Kwa muda fulani sehemu kubwa ya dhahabu iliyotumiwa katika sarafu za Ulaya ilitoka kwake (hii inaweza kupimwa hadi leo). Ila hakuanzisha ufundi, elimu kwa watu wengi n.k. jinsi iivyokuwa kwa Waislamu wa Kaskazini na Ulaya. Angalau aliwekeza katika vyuo mbalimbali, lakini vilevile alitumia dhahabu na mapato yake kama mali yake ya binafsi. Hivyo huwezi kujenga uchumi wa kitaifa, utafanana tu na hao maraisi na wafalme wenye mafuta ya petroli nchini kwao (oil sheikhs) lakini wanashindwa kujenga uchumi wa maana (Nigeria, Kuwaitm, Saudia..)
Wakati Mansa Musa aliposafiri Makka alibeba dhahabu kiasi kikubwa na kuimwaga kote akasababisha kushuka kwa thamani ya pesa ya dhahabu katika Mashariki ya Kati na Ulaya kwa miaka kadhaa. Hii ni njia ya kuonyesha wewe ni mtu mkubwa, lakini huwezi kujenga uchumi na maendeleo.
 
Mansa Musa alitawala maeneo penye dhahabu iliyopelekwa nje hadi Misri Uarabuni na Ulaya. Kwa muda fulani sehemu kubwa ya dhahabu iliyotumiwa katika sarafu za Ulaya ilitoka kwake (hii inaweza kupimwa hadi leo). Ila hakuanzisha ufundi, elimu kwa watu wengi n.k. jinsi iivyokuwa kwa Waislamu wa Kaskazini na Ulaya. Angalau aliwekeza katika vyuo mbalimbali, lakini vilevile alitumia dhahabu na mapato yake kama mali yake ya binafsi. Hivyo huwezi kujenga uchumi wa kitaifa, utafanana tu na hao maraisi na wafalme wenye mafuta ya petroli nchini kwao (oil sheikhs) lakini wanashindwa kujenga uchumi wa maana (Nigeria, Kuwaitm, Saudia..)
Wakati Mansa Musa aliposafiri Makka alibeba dhahabu kiasi kikubwa na kuimwaga kote akasababisha kushuka kwa thamani ya pesa ya dhahabu katika Mashariki ya Kati na Ulaya kwa miaka kadhaa.
Upo vizuri sana katika kufafanua chief@
 
Kiroho ni kuwa tulikwenda kinyume na matarajio ya Mungu kama taifa teule. tulivunja agano la Damu na Mungu wetu. Biblia imeongelea sana utumwa Duniani, na watumwa walio dhalilishwa sana ni waafrica.

Kisiasa kijamii - Utumwa ulianzishwa na waafrika wenyewe kwa wenyewe, utumwa ule ulikuwa wa kiistaraabu, kufikia hata mtumwa kuongoza majeshi ya ugenini kwa uaminifu, kupewa hata mke na kuwa sehemu ya familia au ukoo! mfano nchi ya ETHIOPIA , Madagascar, Mali ilikuwa na watumwa wengi mpaka hapa juzi juzi tu.

Mzungu hasa Portuguese, British, Spanish wakaona fursa ya kukamata mijitu yenye nguvu km waafrica ajili ya mashamba yao makubwa waliyokuwa wameyaanzisha ajili ya biashara.

Jamiii za kihindi na kizungu ndiyo walifanywa watumwa wa awali lkn sasa walikuwa wanakufa kama nzi kwa kukaa kushinda juani tu, na laini mno kufanya kazi za suluba kuliko waafrica. hivo wazungu walianza kuwanunua kidogo kidogo mpaka soko lilipo kuwa kubwa Duniani.

Jamii tajiri za mwanzo za Kiafrica waliwadharau wazungu sababu waliwaona km walemavu wa ngozi albinism, nyoronyoro hawawezi kuhimili vishindo vya vita, nza kazi ngumu waliwatenga kumbe kule kuwatenga wenzao walienda wakajiimarisha, kwa kila hali.

Na wanajua Mwafrica akichomoka hakamatiki, ndo maana wanatudhiti na kutudhoofisha kikanda km Libya, Somalia. Nigeria, Zimbabwe nk ili kutudhoofisha tuendelee kukimbia kimbia ukimbizini tusizalishe mali, Jirani yako akipigana vita vya ndani lazima aje akuibie wewe ili watoto wake wale, uhifadhi wakimbizi mfano Somalia imefanya EAC isifuge ng' ombe, kilimo chenye tija nk,
 
First I'd like to refute the notion that seems to be communicated, that enslaving and demeaning a person makes one to be smart. "Economics without conscience is destruction". I'd like to prove this by setting forth am example of the Moors(africans) who conquered Europe and civilized it from 711AD to 1490's years before the whites came to Africa. Whites came to africa after mid 15thC

When Black Men Ruled the World: 8 Things the Moors Brought to Europe

We flourished with our civilizations and great riches and technology.
Why do you think they hoard African artefacts in their museums?

And we have to admit the fact that the demeaning acts of slavery, colonialism, neo colonialism, rewriting of African history by the whites has so much ingrained in an African inferiority complexes. WE HAVE TO BELIEVE IN OURSELVES. History has great examples speaking to us.
Today an average african worships the whiteman.
I think the most suitable question to ask ourselves is how can we deliver ourselves and shake off the stigma within us that we may thrive as we should.
The stigma out there isn't a factor if you've delivered yourself on the inside

You are making a good point that smartness is not genetic and hence not specifically prevalent on any particular ethnic group. But unfortunately you are not then explaining how the tables were turned and we became the weak ones.

If it's not a smartness issue, what other weakness allowed the foreigners to have an advantage over us?
 
Waafrika hawakua na shida na mtu yeyote walijitosheleza ila wazungu walihitaji malighafi za kulisha viwanda vyao!!! Anyway nashukuru walikuja Africa
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;

Kwanini watu weusi walishindwa kuwa wa kwanza kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

Kwanini wazungu/waarabu waliweza kuwa wa kwanza kuwaza kuja kuwazoa babu zetu na kuwafanya bidhaa?

Waafrika tulikosa nyenzo gani za kutufanya kuwa wa kwanza kwenda Ughaibuni kisha kuwazoa wazungu kuja kufanya kazi za kitumwa katika mashamba yatu?

Je, hii inadhihirisha ya kuwa wazungu/waarabu wana kitu cha ziada kwenye akili/bongo zao (highly intelligent) tangia zama za kale mpaka wakawaza kuja Afrika kwa mara ya kwanza?

HILI SWALI WADAU WENGI WANALIKWEPA
Je, kuna umuhimu wowote wa watu wa bara la Afrika kuendelea kulialia na kulalamikia biashara ya utumwa kama ni janga lililowarudisha nyuma kimaendeleo mpaka sasa?

NINAOMBA KUWASILISHA MADA HII FIKIRISHI. KARIBUNI SANA KWA MICHANGO YENU NDUGU ZANGU

Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher - JamiiForums

KUMBUKA: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO.
Umesoma historia ya wana wa Israel (weupe) dhidi ya Farao (mweusi)?
 
Umesoma historia ya wana wa Israel (weupe) dhidi ya Farao (mweusi)?
Life style yao mwanzoni ilikuwa ni kwa nguvu utake usitake au ufe! hata majina ilikuwa ni kwa nguvu! polepole vizazi tukazoea lengo ni ili wapte masoko ya bidhaa zao za viwandani km dawa, mabati, misumari, nguo nk lkn Masai, Mzuru, Khoisan, babaig walikataa mpaka leo.

Kiukweli sisi siyo maskini ila wao wanatuua kisaikolojia ili tujione wanyonge omba omba cha kupewa, bado lengo ni lile lile tununue vya kwao! wanatulinganisha na wao! angalia tuna maeneo makubwa hata tukijenga nyumba za udongo tutaishi tutakula vizuri, wao wanajibana ukiwa kwenye vigorofa km viota vya ndege! tunakula vya leoleo. wao vya kusindika,

wakiacha kutufuatafuata miaka 50 tu bila kutusababishia vita hapa patakuwa zaidi ya ulaya kwa mtazamo na mwelekeo tofauti
Mbona sasa tunaishi lifestyle yao? Mbona wao ni matajiri kuzidi sisi?@
 
Point..

Hata wasipotufuata fuata tutapigana tu shida yetu kubwa tuna tamaa sana na roho mbaya tutamalizana wenyewe kwa wenyewe
 
1.Technology-mzungu na muafrica walikutana kwa mara ya kwanza mnamo karne ya 15 wakati huo mzungu yupo mbali kidogo katika teknolojia mfano silaha hivyo tusingeweza kuwateka kama tungeenda

2.Umasikini -Mzungu aliweza kufika huku kututeka kutokana na kwamba alikuwa na capital sasa kwa mfano mkwawa angeweza ku finance jeshi lake kwenda Ulaya ?

3.Kutokuwa na Wazo hilo- Mu Africa hakuwa na wazo la kumtawala mzungu kama mtumwa kwa sababu wazungu walimuitaji mtu mweusi kumfanya mtumwa kwenye mashamba ya Miwa nk lakini sisi tuliitajiana kufanyana misukule

4.SABABU ZA KIUTAWALA-Wazungu walikuwa na mfumo mzuri wa kiutawala kwa mfano Uingereza ilikuwa chini ya utawala wa kifalme pamoja na nchi zingine za Ulaya lakini huku kwetu tuliongoz kitemi kila kabila na mtemi wake hivo isingewezekana wote wakubaliane katika kwenda Ulaya na kuteka wazungu
Perfect insight [emoji457].
 
Back
Top Bottom