G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Hiki ulichoweka hapa wala hakina uhusiano wowote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ulichoweka hapa wala hakina uhusiano wowote
Hicho kitu wameshindwa NEC, inasemekana nec wameamua kuwaambia ccm wawatumie wakurugenzi Kule kwenye majumuisho ya matokeo.Tatizo mmoja wao hapo hatoboikwenye uteuzi wa mwisho wa NEC na wenyewe wameshajua. Bahati nzuri wamejipanga kwa competent substitute
naona washakurudishia mchongo pesa,kula baba
Total inakua 130%Lissu na jpm, lissu nampa 90%, jpm 40%
Kukabidhi Ikulu!? Sio mwaka huu mkuuMsianze haya mambo. Mnasema sema hivi ili mkimuwekea pingamizi ionekane Chadema walipanga wenyewe! Ili baadae hapa uje ufufue uzi wako kuwa ulisema! Lissu ndio mgombea kwa upinzani.. na mjiandae kukabidhi Ikulu kwa Mh TL.
Inawezekana, asilimia kuna wakati zinafika zaidi ya 100.Total inakua 130%
Ikitokea mgombea wa CHADEMA akakwamishwa na technicalities za kisheria kutokana na madai lukuki dhidi yake yawe halali au la CHADEMA watajikuta wanalazimika kutoa support kwa mgombea mwingine mwenye nguvu kutokea upinzani. Hakuna mwinginw zaidi ya MembeChadema wakilikubali hilo watakuwa wamejizika wenyewe na jpm atakwenda kulala
Yes, ukichukua polis jumlisha natume ambayo sio huru zinaweza fika 700%Inawezekana, asilimia kuna wakati zinafika zaidi ya 100.
Hill halitawezekana, NEC wamegoma of a toka ccm, wameambiwa waongee na wakurugenzi kwenye majumuisho.tunza comment hii.Ikitokea mgombea wa CHADEMA akakwamishwa na technicalities za kisheria kutokana na madai lukuki dhidi yake yawe halali au la CHADEMA watajikuta wanalazimika kutoa support kwa mgombea mwingine mwenye nguvu kutokea upinzani. Hakuna mwinginw zaidi ya Membe
Hakuna grand coalition ya wapinzani, hakuna makubaliano rasmi kwa maana ya MOU kwa sababu sheria na kanuni mpya za uchaguzi zimeshawapiga stop kua wamechelewa
Lakini kuna Gentlemens' Agreement miongoni mwa vyama vikuu viwili vikubwa vya upinzani. Haisemwi, haiandikwi, haiwekwi wazi lakini ndio itakavyokua huku ikionekana kama ni sudfa tu (coincidence)
Tundu Lissu kashapitishwa na CHADEMA kuwania Urais kwa tiketi yao, Bernard Membe hatimaye atapitishwa na ACT Wazalendo. Na hapo ndio mchezo unaanza
Kwa vikwazo atakavyowekewa Lissu, viwe vya halali au kinyume chake, hatoboi!!! Vinaonekana ni viunzi vyepesi kisheria lakini wenye maamuzi wakishasema ndio ishatoka hiyo tena! Dhana ya kwamba ni calculated move inajionyesha hata kwenye kauli za hivi karibuni za Bwana Tindu Lissu mwenyewe
Ameanza kutumia lugha za ku provoke mamlaka! Kutamka uwezekano wa kuingiza watu barabarani au hata hilo la ku temper na wimbo wa taifa. Yote hayo ni katika kuwapatia sababu wenye mamlaka ya kuteuwa wagombea wa vyama wafanye maamuzi dhidi yake kisha lawama ziwaangukie wao hali ya kua kiuhalisia upinzani ulishakubaliana Membe ndio mpeperusha bendera. Kimya kimya na ili isionekane kua Chadema wali compromise kwenye hilo. Kwa hali hiyo tutaendelea kusikia kauli tata na kuwachokaza wahusika kutoka kwa Lisu ili asipitishwe kugombea iwe kwa kuwekewa pingamizi au kwa kuadhibiwa na msajili au NEC au hata mahakama
Muda ni muamuzi mzuri, basi na tusubiri kuyaona haya katika kipindi kifupi kijacho. Yetu macho hasa sisi tusio na vyama
Wamapenzi au?Lissu hana mvuto
Tumekusikia. Pengine hili liwe angalizo kwa Mhe. LISSU. Aache sasa kuongea kwa jazba na kutumia maneno makali kwenye maeneo nyeti. Ukimya nao ni busara si unyonge.
Kwa yaliyotokea kwa Lowasa ni vigumu mno mtu kutoka CCM kupeperusha bendera ya upinzani katika uchaguzi mkuu.Hakuna grand coalition ya wapinzani, hakuna makubaliano rasmi kwa maana ya MOU kwa sababu sheria na kanuni mpya za uchaguzi zimeshawapiga stop kua wamechelewa
Lakini kuna Gentlemens' Agreement miongoni mwa vyama vikuu viwili vikubwa vya upinzani. Haisemwi, haiandikwi, haiwekwi wazi lakini ndio itakavyokua huku ikionekana kama ni sudfa tu (coincidence)
Tundu Lissu kashapitishwa na CHADEMA kuwania Urais kwa tiketi yao, Bernard Membe hatimaye atapitishwa na ACT Wazalendo. Na hapo ndio mchezo unaanza
Kwa vikwazo atakavyowekewa Lissu, viwe vya halali au kinyume chake, hatoboi!!! Vinaonekana ni viunzi vyepesi kisheria lakini wenye maamuzi wakishasema ndio ishatoka hiyo tena! Dhana ya kwamba ni calculated move inajionyesha hata kwenye kauli za hivi karibuni za Bwana Tindu Lissu mwenyewe
Ameanza kutumia lugha za ku provoke mamlaka! Kutamka uwezekano wa kuingiza watu barabarani au hata hilo la ku temper na wimbo wa taifa. Yote hayo ni katika kuwapatia sababu wenye mamlaka ya kuteuwa wagombea wa vyama wafanye maamuzi dhidi yake kisha lawama ziwaangukie wao hali ya kua kiuhalisia upinzani ulishakubaliana Membe ndio mpeperusha bendera. Kimya kimya na ili isionekane kua Chadema wali compromise kwenye hilo. Kwa hali hiyo tutaendelea kusikia kauli tata na kuwachokaza wahusika kutoka kwa Lisu ili asipitishwe kugombea iwe kwa kuwekewa pingamizi au kwa kuadhibiwa na msajili au NEC au hata mahakama
Muda ni muamuzi mzuri, basi na tusubiri kuyaona haya katika kipindi kifupi kijacho. Yetu macho hasa sisi tusio na vyama
Nimekusoma mkuu. Naihifadhi comment yako kwa matumizi ya baadaeHill halitawezekana, NEC wamegoma of a toka ccm, wameambiwa waongee na wakurugenzi kwenye majumuisho.tunza comment hii.
Wakimuengua TAL tunaenda kugawana ofisi za NEC tunachoma na kushusha kama ilivyoshuka WTC.Hakuna grand coalition ya wapinzani, hakuna makubaliano rasmi kwa maana ya MOU kwa sababu sheria na kanuni mpya za uchaguzi zimeshawapiga stop kua wamechelewa
Lakini kuna Gentlemens' Agreement miongoni mwa vyama vikuu viwili vikubwa vya upinzani. Haisemwi, haiandikwi, haiwekwi wazi lakini ndio itakavyokua huku ikionekana kama ni sudfa tu (coincidence)
Tundu Lissu kashapitishwa na CHADEMA kuwania Urais kwa tiketi yao, Bernard Membe hatimaye atapitishwa na ACT Wazalendo. Na hapo ndio mchezo unaanza
Kwa vikwazo atakavyowekewa Lissu, viwe vya halali au kinyume chake, hatoboi!!! Vinaonekana ni viunzi vyepesi kisheria lakini wenye maamuzi wakishasema ndio ishatoka hiyo tena! Dhana ya kwamba ni calculated move inajionyesha hata kwenye kauli za hivi karibuni za Bwana Tindu Lissu mwenyewe
Ameanza kutumia lugha za ku provoke mamlaka! Kutamka uwezekano wa kuingiza watu barabarani au hata hilo la ku temper na wimbo wa taifa. Yote hayo ni katika kuwapatia sababu wenye mamlaka ya kuteuwa wagombea wa vyama wafanye maamuzi dhidi yake kisha lawama ziwaangukie wao hali ya kua kiuhalisia upinzani ulishakubaliana Membe ndio mpeperusha bendera. Kimya kimya na ili isionekane kua Chadema wali compromise kwenye hilo. Kwa hali hiyo tutaendelea kusikia kauli tata na kuwachokaza wahusika kutoka kwa Lisu ili asipitishwe kugombea iwe kwa kuwekewa pingamizi au kwa kuadhibiwa na msajili au NEC au hata mahakama
Muda ni muamuzi mzuri, basi na tusubiri kuyaona haya katika kipindi kifupi kijacho. Yetu macho hasa sisi tusio na vyama
I concur with you chief, kama vile ambavyo tulimshauri Hussein Mwinyi kwa upande wa kinyang'anyiro cha uraisi wa Zanzibar azingatie itifaki na kuepuka kuingia mtego wa kujibishana na vyombo vya habari, hali kadhalika mpeperusha bendera wa nafasi ya uraisi kwa upande wa CDM anapaswa kuzingatia itifaki hizo.Hakuna grand coalition ya wapinzani, hakuna makubaliano rasmi kwa maana ya MOU kwa sababu sheria na kanuni mpya za uchaguzi zimeshawapiga stop kua wamechelewa
Lakini kuna Gentlemens' Agreement miongoni mwa vyama vikuu viwili vikubwa vya upinzani. Haisemwi, haiandikwi, haiwekwi wazi lakini ndio itakavyokua huku ikionekana kama ni sudfa tu (coincidence)
Tundu Lissu kashapitishwa na CHADEMA kuwania Urais kwa tiketi yao, Bernard Membe hatimaye atapitishwa na ACT Wazalendo. Na hapo ndio mchezo unaanza
Kwa vikwazo atakavyowekewa Lissu, viwe vya halali au kinyume chake, hatoboi!!! Vinaonekana ni viunzi vyepesi kisheria lakini wenye maamuzi wakishasema ndio ishatoka hiyo tena! Dhana ya kwamba ni calculated move inajionyesha hata kwenye kauli za hivi karibuni za Bwana Tindu Lissu mwenyewe
Ameanza kutumia lugha za ku provoke mamlaka! Kutamka uwezekano wa kuingiza watu barabarani au hata hilo la ku temper na wimbo wa taifa. Yote hayo ni katika kuwapatia sababu wenye mamlaka ya kuteuwa wagombea wa vyama wafanye maamuzi dhidi yake kisha lawama ziwaangukie wao hali ya kua kiuhalisia upinzani ulishakubaliana Membe ndio mpeperusha bendera. Kimya kimya na ili isionekane kua Chadema wali compromise kwenye hilo. Kwa hali hiyo tutaendelea kusikia kauli tata na kuwachokaza wahusika kutoka kwa Lisu ili asipitishwe kugombea iwe kwa kuwekewa pingamizi au kwa kuadhibiwa na msajili au NEC au hata mahakama
Muda ni muamuzi mzuri, basi na tusubiri kuyaona haya katika kipindi kifupi kijacho. Yetu macho hasa sisi tusio na vyama
Kwa maneno niliyoyasikia kwenye hotuba ya shukrani ya Membe baada ya kutangazwa kupeperusha bendera ya ACT kweli mgombea wa CCM ajiandae kisaikolojia kua na ngozi ngumu. Nakubaliana nawe kua mgombea wao hajazoea na havumilii maneno "magumu"Kwa yaliyotokea kwa Lowasa ni vigumu mno mtu kutoka CCM kupeperusha bendera ya upinzani katika uchaguzi mkuu.
Kuhusu Lissu huyu ni game changer hataweza kumuangusha JPM lakini ana uwezo wa kuita koleo "Koleo" kitu ambacho JPM hakukizoea katika miaka hii mitano iliyopita.
Bernard Membe hana ujasiri kama wa Lissu na mvuto lakini kama taamua ku support campaign kwa kuwa mwanamkakati inaweza kusaidia.
Kauli za kuudhi ni za wanasiasa wote lakini kwa uoga uliotuingia kwa miaka hii mitano kauli hizi zinatoka kwa wapinzani tu (Ni bahati mbaya sana)