Uchaguzi 2020 A coincidence or a highly calculated move? Bernard Membe kupeperusha bendera ya upinzani kwenye uchaguzi

Uchaguzi 2020 A coincidence or a highly calculated move? Bernard Membe kupeperusha bendera ya upinzani kwenye uchaguzi

Believe that crap and you'll believe anything in this world!
Mkuu, umekua mtata siku hizi (jokes).
===
Nadhani kuna mahali mtu, hata kama ana haki, basi analazimika kupunguza 'unnecessary provocations' (serious).
Provocation tactics, kuna mahali zina hitajika. Lakini, kuna mahali hazifui dafu. Kwa Tanzania, nadhani 'provocation will not pay off' kisiasa.
 
Lengo la provocation ni kumfanya opponent wako "to lose self - control" kisha ajikute anafanya tendo la ajabu pengine la kijinga for your advantage...
Je. kama mpinzani wako akishtukia mtego huo na akauruka, nani sasa ataonekana kafanya jambo la kijinga!
 
Back
Top Bottom