Uchaguzi 2020 A coincidence or a highly calculated move? Bernard Membe kupeperusha bendera ya upinzani kwenye uchaguzi

Upo sahihi kabisa mkuu
 
Then you should have fled yourself first. Unazungumzia ukoloni wa kifikra huku unatumia lugha ambayo ni ya kikoloni na bahati mbaya nayo huifahamu...kumbe ni bwege sana😂😂😂😂 why dont you just use kiswahili? Unalazimisha kiingereza chenyewe cha ugoko.

It's the content that matters. Free yourself from mental slavery
 
Kama Kuna ka ukweli flani kwa mbaali....kwa kauli zile wenye upeo tumeanza kustuka.Ila ikiwa hivyo hatutakuwa tayari kumsapoti membe.....na sisi tutamwaga ugali.

Hakuna lolote...

Tunaishi katika mazoea ya siasa za woga, hofu na kutojiamini tu...

Tundu Lissu kaja ktk sura nyingine, watu wanashangaa na pengine hawaamini kwa kuwa kilichokuwa kinaonekana "taboo" ktk siasa za Tanzania, kinatupiliwa mbali...

"Provocation" anayoisema mleta hoja, ni very common in politics. Hakuna sheria inayovunjwa kwa mtu kutumia "provocative language"....

Lengo la provocation ni kumfanya opponent wako "to lose self - control" kisha ajikute anafanya tendo la ajabu pengine la kijinga for your advantage...
 
Tundu Lissu na Bernard Membe wanapaswa kuanzia sasa wanapaswa kuwa na meneja wa kampeni zao wenye kuzingatia ulinzi mahususi kwao na mahusiano yenye kuzingatia itifaki kwa hadhi ya ofisi ya Rais. Hapaswi tena kuishi na kuenenda kama wao binafsi bali viongozi watarajiwa wa taasisi nyeti ya uraisi.
 
Ndivyo itakavyokuwa,ingawa kumbe sivyo.
Lolote lawezekana chini ya Jua ama kwa kutengenezwa au kutokea tu ili mradi maisha yaendelee, kikubwa ni utulivu, upendo, hofu ya Mungu na kutosheka katika nafsi.
 
Upo sahihi kabisa na nakubaliana na hoja yako. Zaidi ya hapo kwa taaluma yake TL ni Master wa provocative language.

Tatizo hapa ni kwamba hilo ndio litakalomponza. Unadhani uwanja wa kuchezea upo level and fair kwa wote? Tena kuanzia mwanzo kabisa kwenye uteuzi wa wagombea?
 
Lissu anatakiwa atoke kwenye uanaharakati na aingie katika kuwa presidential material.Kama ningekuwa na uwezo ningemshauri asikilize wimbo wa Kenny Rogers "gambler" anaposema "wakati wa kucheza kamari usihesabu pesa zako mezani kwani kuna muda wa kutosha whenthe deal is done"Lissu atulie,achukue fomu,NEC wampitishe then kwenye kampeni amwage mambo.
 
Ndivyo itakavyokuwa,ingawa inaonekana kama ndivyo kumbe sio.
Lolote lawezekana chini ya Jua ama kwa kutengenezwa au kutokea tu ili mradi maisha yaendelee, kikubwa ni utulivu, upendo, hofu ya Mungu na kutosheka katika nafsi.
Kweli umeusoma mchezo vizuri na upo tayari kisailolojia kwa lolote litakalokuja/litakaloletwa
 
Tumekusikia. Pengine hili liwe angalizo kwa Mhe. LISSU. Aache sasa kuongea kwa jazba na kutumia maneno makali kwenye maeneo nyeti. Ukimya nao ni busara si unyonge.
nimependa ulivyo malizia...ukimya nao ni busara si unyonge
 
Acha kuzunguka, be straight kwamba CCM you prefer Membe kuliko Lissu.

Yaani mnaona kauafadhali kwa Membe kuliko kujibu hoja za Lissu.

Wengi tulikuwa hatujui kwamba wimbo wetu wa taifa kumbe hatunao hati miliki yake!!
 

Well said mkuu
 
Kweli umeusoma mchezo vizuri na upo tayari kisailolojia kwa lolote litakalokuja/litakaloletwa
Saikologia yangu inaniambia kuwa wote hawa ni ndugu wamoja, kinachofanyika ni kugawana majukumu kwa ajili ya Ujenzi wa Taifa.
 
Kwa sasa Gharama za kumzuia lissu kutogombea ni kubwa na kunaweza kusababisha mambo yakawa tofauti na unavyodhania,hata CCM na serikali wanajua kumzuia lissu italeta matatizo.only stupid people can do that.
 
Wala siyo maamuzi ya wenye mamlaka tu,hata sisi wananchi wa kawaiada tumeanza kuona hatari kubwa iliyopo mbele yetu kwanza ya kuunajisi wimbo wa taifa kwa kibri,jeuri na kebehi ya hali ya juu lakini la pili ni tangazo la kuingiza wananchi barabarani.Kwa mnasaba huu,tuna hatari inayotunyemelea.Hili la wimbo wa taifa limezinyanyasa sana nafsi zetu na huwezi jua si ajabu hata wameshaongezea rangi kwenye bendera yetu ya taifa kwa matakwa ya Lissu.Tusiboziba ufa sasa ,yatatugharimu.Basi angalau Bw. Membe na wegine katika upinzani wao wasiangukie huko ili angalau kuwepo na tumaini kwa upande wa upinzani ili tukiwapa kura zetu tuamini kuwa nchi yetu itabaki salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…