Mkuu, umekua mtata siku hizi (jokes).
===
Nadhani kuna mahali mtu, hata kama ana haki, basi analazimika kupunguza 'unnecessary provocations' (serious).
Provocation tactics, kuna mahali zina hitajika. Lakini, kuna mahali hazifui dafu. Kwa Tanzania, nadhani 'provocation will not pay off' kisiasa.