Yeah namfahamu vema.. Yuko Dubai kwasasa.. Kwenye harusi yake nilikuwa best man wakeBabu M shana Jr, nikuulize kama unamfahamu Eric alikuwa anakaa Upanga, mlikuwa nae pamoja, na yeye aliiingia Budhist hiyo miaka ya tisini akapelekwa South mpaka China
Shukran sana, aah Eric rafiki yangu sana, tokea utotoni upanga mpaka shule Jitegemee, basketball kwa sana, mara ya mwisho walihamia Morroco K'ndoni, una contact zake, nitashukuru sanaYeah namfahamu vema.. Yuko Dubai kwasasa.. Kwenye harusi yake nilikuwa best man wake
Nitashukuru sana, ni PM hata email sawa, Shurkrani sanaNgoja nizitafute takutumia
Mbona kabla hajakujibu Swali Umeshaconclude kuwa chuo ni fake? Nadhani hajaweka kila kitu humuIna maana levitation hamkufundishwa? Levitation ni uwezo wa kutawala gravitational forces na kuelea juu ya maji nahisi chuo chenu kilikuwa fake pole sana
Mkuu, sasa ulikuwa unajifunzaje hiyo kitu...ilihali ulikuwa unajua mbeleni kuna kuwekwa vidoti na kuwekwa muhuli???Sent using Jamii Forums mobile app
Ya mbeleni sikuyafahanu kablaMkuu, sasa ulikuwa unajifunzaje hiyo kitu...ilihali ulikuwa unajua mbeleni kuna kuwekwa vidoti na kuwekwa muhuli???
Yaani ulikuwa una practise lakini steps za mbeleni ulikuwa huzitaki???
By the way; thank you kwa kutuongezea maarifa.
Mkuu naomba uni tag uzi wako wa utofaut kati ya shetani na Lucifa . Nimeutafuta jukwaa lakini sijauonaa... mshana
Hapa ndio chuo nilipoanzia kujifunza mambo ya Buddhism, meditation, chanting nk. Hii ni picha ya mwaka 1997, na hiyo ni sehemu ya wanachuo.
Hiki kilikuwa ni chuo kugumu na chenye sheria kali kuliko jeshi, tulikuwa wanachuo 21 toka Tanzania lakini tulifanikiwa kumaliza chuo tulikuwa kumi tu na mwishoni watano.
Tulipewa kila kitu bure lakini vinavyofanana kuanzia nguo mpaka dawa ya mswaki. Tuliishi maisha ya useja(total celibacy) huku tukiziadhibu hisia kwa kiwango cha juu mno.!
Tulikuwa kwenye self cultivation (bringing back the scattered mind)Na hii ndio ilikuwa ratiba ya siku moja inayojirudia mara sita kwa wiki.
05:40 kuamka kutandika vitanda na kupiga mswaki/kuiga
05:50 parade/rollcall
06:00-0650 chanting/meditation
06:50-07:00 parade/rollcall na kwenda dining hall kimya na kwa mistari bila kuangalia kulia wala kushoto
07:20 chanting n giving offerings kwa milefo,na hungry ghost kisha breakfast
07:20-07:50 usafi
07:50-8:00 parade/roll call na kuingia darasani
Vipindi vilikuwa ni dk 50 mapumziko dk 10 kuanzia saa mbili mpaka saa tano na dk 50
11:50-12:00 parade/ roll call na kumatch kwa mistari iliyonyooka kwenda dining
-Kuchant kutoa offerings kwa Milefo(future buddha?), hungry ghosts na kisha kula
12:00-13:50-lunch, walking meditation na kupumzika
13:50-14:00 parade roll call na darasani mpaka saa 15:50
15:50-16:00 parade roll call na kubadili nguo
16:00-16:50 martial arts, kung fu karate tai chi nk
16:50-17:50 free time hapa ndio sasa mnaweza kupiga soga na kuendelea na martia arts gym library etc
17:50-18:00 parade rollcall na kumatch kwenda dining
18:00-18:50 chanting offerings kwa Buddha na hungry ghost na kupata dinner
18:50-19:00 parade roll call
19:00-20:50 darasani
20:50-21:50 meditation/chanting
21:50-20:00 kurudi vyumbani kwa kumatch kwenye mistari tena kimya, kuingia vyumbani kuzima taa na kulala
Ukionekana nje baada ya hapo ni majanga
Chuo kiliongozwa na sheria kwenye kila kitu, sheria ya kutumia Maji, kutembea, kuongea kukaa kula kugeuka kulala, kutandika kuvaa etc kila kitu kilikuwa ni sheria na ndio maana wengi sana walishindwa maisha yale
Hii picha ni jinsi tulivyokuwa tunakaa mstarini kila mtu na nafasi yake kwahiyo hata kama haupo nafasi yako inabaki wazi.
View attachment 274159
Asante kwenye haya makanisa unakutana na wawakilishi wa Lucifer tuu... Ni kama walivyo viongozi wengine wa kiroho kwenye imani zingineMkuu Mshana Jr , ndio nimemaliza kusoma huu uzi mwanzo mwisho...huu uzi ni hatari, ni kama game of thrones fulani.. Nina maswali mengi if you dont mind...ningeomba kama unaweza ungeongezea nyama nyama pale kwenye kanisa la shetani....kwa uelewa wako, ni kweli kwamba kwenye hizo secret society huwa wanaonana uso kwa uso na lucifer mwenyewe? Je kwenye Buddhism pia mnaonana/mnawasiliana na lucifer...
... Pia ningependa kujua kuna connection gani kati ya hilo kanisa la shetani na Buddhist?....
...pili, ulizimia kwa takribani muda gani, na je baada ya kuzinduka kuna vitu gani vingine viliendelea?... Tatu, did they keep contacting you tena baada ya ile siku ya ibada?... Nne, je uli escape vp kwenye huo mtego wa kuwa agent wao?