A day in the Buddhist college

Unawezaje kugundua nguvu zako zipoje?
Nataka niwe na teleporting abilities.

Nilikuwa nina uwezo wa kutabiri hatari Neema au chochote, lakini pia niliporudi Tanzania kuna siku nilienda kanisani na wakati naenda kukaa siti za mbele nilikuwa na kitu kama vibration wakati nawapita watu
Lakini pia nimeshasimulia sana hapa JF matukio mengi ya kuibiwa nk na waliofanya hivyo ikala kwao
 

Sio wewe tu ukishaanza kujifunza Buddhism unaanza kuona vitu katika mwanga tofauti na hivyo kukuvutia zaidi na zaidi kuendelea kujifunza
Binafsi baada ya Buddhism nilisoma conficious, Taoism Krishna consciousness na kidogo satanism
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa ufafanuzi wa kina mose
 
Last edited by a moderator:
Kama maswali yameisha nitaendelea na sehemu ya pili

A NIGHT INSIDE BUDDHIST COLLEGE
Binadamu ni mtu anayependa uhuru na ukimchunga atatafuta mbinu ya kuwa huru
Ndani ya kile chuo tulichungwa sana na kama ikitokea umekamatwa umetoroka adhabu yake ilikuwa ni kufukuzwa chuo moja kwa moja
Hatukurusiwa kuvaa nguo zetu za nyumbani kila kitu kilikabidhiwa na kufungiwa store siku tulipowasili na tukapewa hayo manguo ambayo ndio ilikuwa 24/7 tunayavaa popote tulipokuwa (tulikuwa na pair mbili)
Chuo kilikuwa kilometer moja kufika mjini na nusu kilometer kufika barabara kuu
Chuo kilizungushiwa ukuta wa matofali na fence ya umeme na security lights lakini pia mijibwa mikali yenye roho mbaya sana
Wanachuo walilala floor ya chini na ya pili na mamaster floor ya tatu kwahiyo kama ungetaka kutoroka usiku ilibidi ufanye yafuatayo
- utaimu mijibwa ikiwa haiko upande wa mabweninini
- mtu akusaidie kuzima umeme kwenye fence
- ufanikiwe kuruka ukuta wa mita tatu bila kishindo na bila kuyastua makubwa huko yaliko
-ufanikiwe kuvuka security lights bila kuonekana na mamaster ghorofa ya tatu
-kisha utambae kwenye majani umbali wa nusu km mpaka kufika barabara kuu ndio unakuwa salama
Ukikaribia barabara kuu unavua manguo ya kibuddha ndani una T-shirt na jeans na kapelo na raba (nguo hizi zilikuwa zinafichwa mbali sana)
Unaingia mjini unafanya yako halafu wakati wa kurejea hali ni ileile, yani ilikuwa ukirudi bwenini salama unamshukuru Mungu na kujiapiza kuwa hutotoroka tena
 
Mshaha Kama nataka kufanya chi peke yake is it possible mzee???
 

Nadhani hujajua jinsi ya kutumia kipaji chako vizuri.
Ningeshakuwa milionea fulani hivi.
 
Sio wewe tu ukishaanza kujifunza Buddhism unaanza kuona vitu katika mwanga tofauti na hivyo kukuvutia zaidi na zaidi kuendelea kujifunza
Binafsi baada ya Buddhism nilisoma conficious, Taoism Krishna consciousness na kidogo satanism

Duh! mshana jr unatisha your full of knowledge endelea kutujuza binafsi navutiwa sana, confucius niliwahi kuipitia kdg napenda hekima iliyoko huko
 
Last edited by a moderator:
Unaposema Vital power, ni nini hasa???
Ni kozi ya muda gani???
Mbimbinho chi gong ni nguvu inayotoka tumboni/ kitovuni, wale waimbaji wazuri hutumia koo na tumbo kutoa sauti zao na zina tofauti
Kuna connection kubwa sana kati ya mind na chi gong, ukijifunza tai chi movement zake ni za taratibu mno lakini lakini zilizobeba uzito mkubwa
Angalia mapigo mawili ya tai chi na karate/kung fu/judo
Ukipanga tofali 3 ukampa mtu wa karate/judo au kung fu azivunje atavunja zote tatu lakini ukimpa mtu wa tai chi avunje atakuuliza unataka avunje ipi au ngapi na atafanya hivyo
 
Last edited by a moderator:
Nadhani hujajua jinsi ya kutumia kipaji chako vizuri.
Ningeshakuwa milionea fulani hivi.

Hapana umilionea ni sort of craving....! Nautaka sana lakini si kwa njia hii
 
Ukimaanisha?
I mean, using your super powers kujua fursa, raising capital, getting customers etc

Yeah ni sahihi but kwa Tanzania yetu hii, unaishia kuitwa mwanga mchawi Freemason n the like japo mwisho wa siku uamuzi ni wako binafsi
Lakini kimsingi nanufaika sana na niliyojifunza
 
Mkuu mshana jr nadhani tutakuwa marafiki wazuri!!!,

Unaweza kunipa msaada wa namna ya kujitunza na kuishi kwenye chi!!,

Nayo inasaidia kuamsha zile sense 3 ambazo ziko dormant!!?

Je kuna side effects??!.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mshana jr nadhani tutakuwa marafiki wazuri!!!,

Unaweza kunipa msaada wa namna ya kujitunza na kuishi kwenye chi!!,

Nayo inasaidia kuamsha zile sense 3 ambazo ziko dormant!!?

Je kuna side effects??!.
neo1 niwe tu mkweli, chi hata mimi mwenyewe sijatosheka nayo ni unique thing ambayo inapatikana sehemu ndogo ya dunia Nakushauri usiache kuingia Google lakini pia hebu tafuta CD za mwanamama Enya na zingine zote za Tai chi utakapokwama mahali nicheki 24/7

Kuhusu hizo senses nyingine ni ishu ya meditation na kujisomea, lakini changamoto tuliyo nayo kwenye meditation ni kukosa muda wa ku practice na kuwa wasemaji sana
Tunaandika mambo so deep mpaka tunawachanganya watu
Ni lazima kuwe na Essex za meditation na kustick katika hizo kabla ya kwenda mbele zaidi
Hii ishu haina side effects kwakuwa haidhuru mwili wala kuharibu akili
 
Last edited by a moderator:

Una point sana mkuu
 
Watu wanaabudu sanamu (China,India) lakin bado Mungu wetu amewabariki wao kuliko sisi ngozi nyeusi tunaojifanya tunaijua sana dini (kuna wanaomlilia Mungu na wanaojitoa mhanga kwa ajili ya Mungu)! Mambo ya dini wakati mwingine ni kizungumkuti.

Ni wewe tu hujui kuzifata protocol za Mungu, wao wanazifata kweli kwa kuitolea ibada na sadaka, mbona mi nimebarikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…