A day in the Buddhist college

A day in the Buddhist college

Mshana jr

Unaamini kuwa ukifa unarejea tena duniani katika umbo nyengine na unaa mini katika kuzaliwa tena .??
 
kwan ni haramu hadi usiitaje, c ndo marketing/wateja zaid au?

Sio maana yake kwakuwa kazi yangu ya sasa haihusiani kabisa na haya mambo, hizi ni ishu za partime tuu, ni hobby zisizohitaji marketing kwakuwa sio biashara
 
Nakushukuru sana Mshana Jr kwa darasa, yawezekana leo ulikuwa mawazoni mwangu kuweka hii thread!
 
Rakims naona amepoa ghafla na ametuacha wanafunzi wake tukiwa na kiu ya kufahamu mengi.
 
Ni wewe tu hujui kuzifata protocol za Mungu, wao wanazifata kweli kwa kuitolea ibada na sadaka, mbona mi nimebarikiwa
Hoja yangu imeegemea ktk imani kwamba Mungu ni mmoja tu kwa ulimwengu mzima anayepaswa kuabudiwa.
Mi ninachojua kwa mjibu wa Biblia, Mungu aliwacharaza mara kibao waliokuwa wanaabudu sanamu, tena katika moja ya amri zake amesema aabudiwe yeye tu na si mwingine. Pia, naelewa kwamba kama jamii au taifa linafanya yanayompendeza Mungu, basi taifa hilo hulibariki. Je sisi tunafanya mabaya kuliko wazungu na waasia? Wazungu wako busy na ushoga, waasia wako busy kuabudu sanamu na Ng'ombe. Sisi tumeacha kuabudu milima, miti na mizimu yetu lakini bado hatutoki.
Kuhusu wewe kubarikiwa, ikiwa kweli wewe ni mtenda mema na mcha Mungu, Mungu angeweza kutubariki kwa ajili yako kama alivyombariki Ibrahimu na uzao wake (Israel?).
 
Rakims naona amepoa ghafla na ametuacha wanafunzi wake tukiwa na kiu ya kufahamu mengi.

We are living in the world of impermanence Mkempia..
Nothing last forever...a strange phenomenon
 
Last edited by a moderator:
Mbimbinho chi gong ni nguvu inayotoka tumboni/ kitovuni, wale waimbaji wazuri hutumia koo na tumbo kutoa sauti zao na zina tofauti
Kuna connection kubwa sana kati ya mind na chi gong, ukijifunza tai chi movement zake ni za taratibu mno lakini lakini zilizobeba uzito mkubwa
Angalia mapigo mawili ya tai chi na karate/kung fu/judo
Ukipanga tofali 3 ukampa mtu wa karate/judo au kung fu azivunje atavunja zote tatu lakini ukimpa mtu wa tai chi avunje atakuuliza unataka avunje ipi au ngapi na atafanya hivyo

Mkuu unataka kuniaminisha kuwa yale ambayo niliyaona kwenye movies za kichina kuhusu hiyo style ya Tai chi ni kweli?? Kama ni kweli then huyo mtu si anakuwa na external unseen power ambayo ndo inafanya yote hayo through him?? maana kuhalisia huwezi sema navunja la katikati afu la juu au la chini likabaki salama.
Total confused.
 
Yale ni kweli lakini yamekuwa exaggerated kunogesha story ishu ya kuvunja tofali la kati huku la juu na chini kubaki salama ni kweli kabisa ma majasusi wengi sana kipindi cha nyuma walitumia sana hiyo style kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali
Unapigwa kofi nje hakuvimbi wala kuacha alama lakini ndani kunavujika vibaya kabisa hiyo style ni lethal weapon na hata Bruce Lee myth zinasema yule aliyemuua alikuwa bingwa kwenye Tai chi
 
Kuruka hewani ni kweli?
 
Mkuu kama hutojali toa darasa dogo kuhusu meditation,maana walimu wamekuwa wengi mpaka tumechanganyikiwa.

Mbaya walimu wenyewe ni wa theory tu,hawajasomea wala kupractice sana.
 
Mkuu kama hutojali toa darasa dogo kuhusu meditation,maana walimu wamekuwa wengi mpaka tumechanganyikiwa.

Mbaya walimu wenyewe ni wa theory tu,hawajasomea wala kupractice sana.

Aisee kama ukiweza tafuta post yangu moja inayoitwa 'zimebaki story' au kama kuna mwenye kuweza kutoa msaada katika hili tafadhali
Au ngoja niutafute kisha nikutag
 
Kumbe ndo maana kila siku mapepo mapepo kumbe mwenyewe unayo.
 
Back
Top Bottom