Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Mkuu unacomplicate sana, huyo Mungu ndie kaleta dini na vitabu vitakatifu? Nikisema hawezi kusema uongo au anasema kweli simanishi alifunga mike akaongea. bali maelezo hayo ameyaeleza kupitia kitabu cha dini husika.
Unashindwa kueleza vizuri unachokikusudia,kama nilivyosema kwamba uliyoyaeleza ni sifa za Mungu na ni kweli hizo sifa zimetajwa kwenye vitabu vya dini. Sasa bado haujaweka vizuri maelezo yako ili tuweze kujua ni nini hasa unachotaka.