Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
Kwa nini wakatoliki huwa wanamumbea mtu aliye kufa kuwa atolewe tohalani?
Ok,
Nimeshaifahamu nia yako ya kutaka kujua mimi ni dhehebu gani.
Sasa tufanye hivi.., Sikotayari kujibu maswali yako kwa sasa kwa maana umeshajiandaa kubisha na kubisha mpaka mwisho, unaonekana hauko tayari kueleweshwa ama kuelewa, Swali lako linaonesha kilicho ndani yako ni ugumu wa kiimani na kushuku imani za wengine.
Jiweke tayari kuamini (kama utataka kuamini) ndipo nitaweza kujibu maswali yako.
Tofauti na hapo utanitafsiri vingine.MWENYEZI MUNGU akutangulie.