A God can be a mere theory, nothing more

Kwa nini wakatoliki huwa wanamumbea mtu aliye kufa kuwa atolewe tohalani?

Ok,

Nimeshaifahamu nia yako ya kutaka kujua mimi ni dhehebu gani.

Sasa tufanye hivi.., Sikotayari kujibu maswali yako kwa sasa kwa maana umeshajiandaa kubisha na kubisha mpaka mwisho, unaonekana hauko tayari kueleweshwa ama kuelewa, Swali lako linaonesha kilicho ndani yako ni ugumu wa kiimani na kushuku imani za wengine.

Jiweke tayari kuamini (kama utataka kuamini) ndipo nitaweza kujibu maswali yako.

Tofauti na hapo utanitafsiri vingine.MWENYEZI MUNGU akutangulie.

Point sio kumzidi yeye point ni kwamba anaakili kuliko watu wote duniani. Huu ni ujinga uliopitiliza

Simple fact juu ya hilo,

Mkuu naamini wewe umesoma Primary au hata Secondary..., Kuna kijana Pale shuleni kwenu ni alikuwa hot kwenye masomo. Yaani yeye anaakili kuzidi wengine darasani kwenu. Kama utakataa kwangu imenitokea, Kama utabisha na kwangu basi chunguza hata kwa mtoto wako shuleni.

Fact nyingine juu ya hilo ni kuhusu ndoa, Mkuu Ivi haujapata kuona ndoa flani au familia flani yaani wao kazi yao ni kusuluisha migogoro ya familia/wanandoa wengine wao hata hamwaoni wakienda kusuluishwa kwenye familia nyingine yaani wanauwezo wa kujitawala na kutatua migogoro yao ndani kwa ndani (chumbani) yaani hata sebleni haufiki. Huo ni uwezo mdogo tu na ni mfano mdogo tu.

Ni kwamba Ukweli usiopingika Mfalme Suleimani alikuwa na akili zilizotokana na Hekima alizopewa na MWENYEZI MUNGU muweza wa Yote. Alikuwa na uwezo mkubwa wa kutazama mbeleni na kuamua kesi ngumu zilizoletwa mbele yake.
 
Ok,

Nimeshaifahamu nia yako ya kutaka kujua mimi ni dhehebu gani.

Sasa tufanye hivi.., Sikotayari kujibu maswali yako kwa sasa kwa maana umeshajiandaa kubisha na kubisha mpaka mwisho, unaonekana hauko tayari kueleweshwa ama kuelewa, Swali lako linaonesha kilicho ndani yako ni ugumu wa kiimani na kushuku imani za wengine.

Jiweke tayari kuamini (kama utataka kuamini) ndipo nitaweza kujibu maswali yako.

Tofauti na hapo utanitafsiri vingine.MWENYEZI MUNGU akutangulie.
Kwa mantiki hiyo Nilichogundua hata wewe mwenyewe huna uhakika na imani yako unafikiria anapouliza Annael ni yeye peke yake atakaye soma comment yako. Bila kujua kwamba kunawatu wengi huenda wangejifunza kutokana na comment yako.

Kwa maana hiyo unamwamini mungu asiye julikana.
 
Simple fact juu ya hilo,

Mkuu naamini wewe umesoma Primary au hata Secondary..., Kuna kijana Pale shuleni kwenu ni alikuwa hot kwenye masomo. Yaani yeye anaakili kuzidi wengine darasani kwenu. Kama utakataa kwangu imenitokea, Kama utabisha na kwangu basi chunguza hata kwa mtoto wako shuleni.

Fact nyingine juu ya hilo ni kuhusu ndoa, Mkuu Ivi haujapata kuona ndoa flani au familia flani yaani wao kazi yao ni kusuluisha migogoro ya familia/wanandoa wengine wao hata hamwaoni wakienda kusuluishwa kwenye familia nyingine yaani wanauwezo wa kujitawala na kutatua migogoro yao ndani kwa ndani (chumbani) yaani hata sebleni haufiki. Huo ni uwezo mdogo tu na ni mfano mdogo tu.

Ni kwamba Ukweli usiopingika Mfalme Suleimani alikuwa na akili zilizotokana na Hekima alizopewa na MWENYEZI MUNGU muweza wa Yote. Alikuwa na uwezo mkubwa wa kutazama mbeleni na kuamua kesi ngumu zilizoletwa mbele yake.

Kuwa na akili darasani ni tofauti na kuwa na akili dunia nzima hata kama wakati huo dunia ilikuwa na watu 100,000,000 huoni kuwa ni uongo huo? mtu awe na akili kuliko watu wote duniani!!? kigezo gani walichotumia!!!? halafu sikia unaweza kuwa na uwezo wa kusuluhisha ndoa na ndoa kijijini au mtaani lakini ukawa huna uwezo wa kuendesha ndege.

Kuwa na akili kuliko wote duniani acha mchezo kabisa.
 
Qur'an haikuwa bali ni Kitabu kinakupa mwangaza wa mambo ....hoja kuwa nje ya middle east hakuna mjumbe aliyepelekwq ingekuwa na nguvu kama hata aya ya kusema KILA MAHALI WALIPELEKEWA MKUMBUSHAJI isingekuwapo

So kwa kuwa iko too general haimaanishi kuwa Hawakupelekwa unatakiwa ujue kuwa Qur'an cannot go into every detail mpaka utafute kwa kina tasfir za kina za aya hizo katika Hadith....umewahi fanya?

Mkuu hata ktk hadithi sijaona. kama unayo hadithi inayoelezea hivyo itaje tu nitaitafuta.
 
Unaongeleaje kuhusu mungu wa wachaga aliyevunjwa. je huyo mungu wa wachaga na mungu wa waisrael anatofauti gani? au yule mungu wa ibrahimu na mungu huyu wa wachaga anatofauti gani?

Au mwanamalundi na yesu wanautofauti gani?

Sasa Mungu wa wachaga ameingiaje tena hapa?
 
Kwa mantiki hiyo Nilichogundua hata wewe mwenyewe huna uhakika na imani yako unafikiria anapouliza Annael ni yeye peke yake atakaye soma comment yako. Bila kujua kwamba kunawatu wengi huenda wangejifunza kutokana na comment yako.

Kwa maana hiyo unamwamini mungu asiye julikana.

wewe umesema kwa mtazamo wako.

na ndio maana nikakwambia hauko tayari kuelewa.

I'm sorry kama nitakuwa nimekukwaza kwa kutojibu swali lako mkuu.
 
Sasa hapa tutakuwa hatumalizi. Hebu nakuomba tu unipe maelezo Yule mungu wa waisrael na mungu wa wachaga aliyevunjwa tofauti yake ni nini?

Mungu wa wachaga simjui nasikia tu kuwa kuna mungu wa wachaga,na huyo mungu wa Israel nae ndiyo yupi?
 
Kuwa na akili darasani ni tofauti na kuwa na akili dunia nzima hata kama wakati huo dunia ilikuwa na watu 100,000,000 huoni kuwa ni uongo huo? mtu awe na akili kuliko watu wote duniani!!? kigezo gani walichotumia!!!? halafu sikia unaweza kuwa na uwezo wa kusuluhisha ndoa na ndoa kijijini au mtaani lakini ukawa huna uwezo wa kuendesha ndege.

Kuwa na akili kuliko wote duniani acha mchezo kabisa.

Ahaaa nimesha kuelewa tatizo liko wapi..., kwenye uelewa!

Wewe sio msomaji wa maandishi especially maandiko yote iwe Msaafu au Biblia na kama ni msomaji basi wa kuibia ibia .

Tasnia ya Mfalme Suleiman ilikuwa UONGOZI na kwa mujibu wa Biblia Mfalme alimwomba MWENYEZI MUNGU uwezo wa kuwaongoza watu wake ndipo MWENYEZI MUNGU akampa HEKIMA.

Hekima hii aliweza kuitumia kwenye tasnia yake ya kiuongozi na mambo mengine, Kwa mfano kujenga mahekalu ya kuabudia yeye ndio alikuwa na say ya Mwisho kwamba Hekalu lijengwe wapi na Lijengwe vipi (Kumbuka hekima ndio ilikuwa inamsaidia).

Sasa ukisema mtu anaweza kusuluisha ndoa na alafu akashindwa kuendesha Ndege inaonesha ni jinsi gani ulivyo na ufinyu wa kimtazamo kwa Mfalme Suleimani na swala zima la kuwa na akili.
 
kama ulifundishwa kuwa si kila kitu mwenyezi mungu anapanga definetely ni ufahamu wa Tariqa ya Qadiriyyah na may be ndo umekulia au ndo ulikozaliwa

je kuna ushahidi wowote kuwa Kila kitu Mwenyezi mungu hapangi? unaweza kuuleta?
Aisee! Sasa mkuu ikiwa Mungu ana/mepanga kila kitu kwani unasema Atheist wameniweza? Na ikiwa amepanga kila kitu basi yeye si hakimu muadilifu kama anavyodai. kwanini wengine wapangiwe kuongoka na wengine kupotoka? kwanini wengine wapangiwe kwenda motoni na wengine peponi? Ivi ni kweli Allah (sw) anaupendeleo?
another thing unadai kuwa Hakuna mungu ni stori za kuzua..

ipi purpose ya maisha? na ipi origin ya maisha haya....

yaani kwanini tuko hapa duniani?

Mungu anaweza kuwepo lakini si anaeongelewa na wakiristo na waislam.

Kila mtu anamtazamo wake kuhusu kuwepo hapa duniani.
 
Ahaaa nimesha kuelewa tatizo liko wapi..., kwenye uelewa!

Wewe sio msomaji wa maandishi especially maandiko yote iwe Msaafu au Biblia na kama ni msomaji basi wa kuibia ibia .

Tasnia ya Mfalme Suleiman ilikuwa UONGOZI na kwa mujibu wa Biblia Mfalme alimwomba MWENYEZI MUNGU uwezo wa kuwaongoza watu wake ndipo MWENYEZI MUNGU akampa HEKIMA.

Hekima hii aliweza kuitumia kwenye tasnia yake ya kiuongozi na mambo mengine, Kwa mfano kujenga mahekalu ya kuabudia yeye ndio alikuwa na say ya Mwisho kwamba Hekalu lijengwe wapi na Lijengwe vipi (Kumbuka hekima ndio ilikuwa inamsaidia).

Sasa ukisema mtu anaweza kusuluisha ndoa na alafu akashindwa kuendesha Ndege inaonesha ni jinsi gani ulivyo na ufinyu wa kimtazamo kwa Mfalme Suleimani na swala zima la kuwa na akili.

Kwanini sasa huyo mtu unayemwita alikuwa na akili suleman hivi kweli ni yeye tu katika history alikuwa na uwezo? Je hujawahi kusoma Suleimani alijiita mungu? au vipi kuhusu Kanye West aliyeanzisha biblia yake na yeye ndiye mungu?
 
Mkuu sio mda mrefu tu nilikuwa ninachat na mchungaji mmoja wa kinaijeria. Nikamuuliza swali moja kuhusu jinsi biblia inavyo contradict. Ndugu yaaani kaniita eti nimeingiliwa na shetani ninatakiwa ni rudi zizini. Jibu sikupata zaidi ya kuanza kupewa maneno meeeengi ambayo hayaendani na ninachouliza.

Kuhusu hili swala la kuelimisha jamii nitaanza na matamasha mbalimbali kisha nitaitisha midaharo ya watu wanaoweza kujibu na sio wenye hasira ili tujue ukweli.

Baada ya hapo nitaenda zaidi kuita makundi mbali mbali Mfano: Wanasayansi, Watu wa dini, Wasio na dini nk

Ok mkuu nipata nakala za hiyo mijadala itakua poa.
 
Mkuu,

Kama utaendelea kuutafuta ukweli kwa kutumia akili zako (akili ndogo na finyu)ambazo wewe unaziamini hautoweza kumjua MWENYEZI MUNGU hata chembe maisha yako yote.

Yaani hata mtoto mdogo wa miaka miwili mitatu anaweza kumjua na kumfahamu MWENYEZI MUNGU kuliko wewe. MWENYEZI MUNGU hujidhiirisha kwa watu ambao wamejitoa kumjua na kumfahamu, innocent one na wanaoonekana ni wadogo au wenye uwezo mdogo kuliko wote wanaomzunguka.
 
Sasa unadhani ukweli unatafutwa kwanjia gani. Halafu kwanini unasema akili ndogo na finyu? sijakuelewa hebu fafanua
 
Kwanini sasa huyo mtu unayemwita alikuwa na akili suleman hivi kweli ni yeye tu katika history alikuwa na uwezo? Je hujawahi kusoma Suleimani alijiita mungu? au vipi kuhusu Kanye West aliyeanzisha biblia yake na yeye ndiye mungu?

Kuhusu Suleiman Kujiita mungu ni wewe na tafsiri zako vile unavyolichukulia jambo lenyewe na kulitafsiri.

Kuhusu Kanye West kuanzisha Biblia yake ni kama nilivyo sema mwanzo Uhuru ni wako wa kuchagua njia ipi uifate na kama utataka kumjua MWENYEZI MUNGU ALIEUMBA MBINGU NA ULIMWENGU MZIMA NGUVU NA UTUKUFU NI VYA KWAKE MILELE NA HAKUNA WA KUFANANA NAE njia ipo wazi wewe tuu kuamua kama Kanye alivyo amua ndani ya moyo wake kutengeneza kitabu chake (maana mimi siiti wala siifananishi BIBLIA TAKATIFU) kadri Imani yake ilivyomtuma.

Mkuu kwa kukusaidia tu swala moja,

Chimbuko la imani gani uiamini ni MOYO wako jinsi unavyoutunza. Moyo wa binadamu (nazungumzia moyo unaoleta fikra na matokeo ya nje kimatendo na si Moyo ulioundwa kwa Damu na nyama) ulivyo unatabia ya kuwa affected na mapokeo kutoka nje kwa kupitia milango ya fahamu yaani Kama kuona,kusikia,kuonja na kadhalika.

Jinsi utakavyojiweka ndivyo jinsi Moyo wako unavyokuwa, Ukijihusisha na tabia za kimaadili ambazo MWENYEZI MUNGU ametuasa tufanye basi MOYO wako utakuwa katika hali nzuri ya kuwa karibu na ukuu wa kiMUNGU na kama utakubali kupokea mambo machafu ambayo yanaharibu au kukinzana na yale ambayo MWENYEZI MUNGU ametuasa tuyafate basi na MOYO wako utakuwa hauko karibu na Ukuu na uwepo wa KiMUNGU.
 
Sasa unadhani ukweli unatafutwa kwanjia gani. Halafu kwanini unasema akili ndogo na finyu? sijakuelewa hebu fafanua

Naweza nikaziita akili zako ni finyu kwa sababu nyingi tuu, chache kati ya hizo..

1. Una limitation ya kimawazo kama upeo wa macho yako unapotazama bahari na kuishia mita chache mbeleni, Kwa kudhani ulilowaza au kuskia ni sahihi kutokana na vikwazo ulivyojiwekea mwenyewe ndani ya akili yako.

2. Haujatembea Ulimwenguni na kujionea, Hilo nna uhakika nalo kwa asilimia kubwa. Kwa laiti kama ungetembelea walau nchi 6 za Uarabuni (mashariki ya kati), Nchi kadhaa za ulaya na Bara la America ya Kusini na Canada na kuona watu mamia kwa maElfu wanavyokusanyika na kufanya Ibada katika Imani zao hakika msimamo wako na comments zako zisingekuwa hivi.

3. Alafu unaonekana ni mzito kama si mvivu wa kufatilia maandishi vyote (kusoma na kuandika) nikiwa na maana ya ume-Base kwenye mapokeo ya kusikiliza sana yanayopendekezwa na watu. Comments zako zinathibitisha hili kwamba ni fupi na hauhitaji kujichosha kuandika (inajidhihirisha pia na kwenye kusoma ni the same) sidhani kama utakuwa na ufatiliaji mzuri wa maandiko ya kiimani.

Yaani zipo nyingi nyingi sana
 
Aisee ktk dini watu wanadanganywa sana, wengi huingia uoga wakiambiwa habari za motoni na shtory za watu walioangamizwa.

Laiti ungekuja na ukweli (huo unaoamini umesimama nao ili kupreach na kuwapa wanadamu tumaini jipya ambalo halikupata kutukia takribani kwa miaka 2000) ingekuwa jambo la busara.Naamini Mungu yupo! Ndio 100% percent naamini uwepo wake, haijalishi kilichoandikwa kwenye kitabu chake kinaonekana kweli au la. We mtu jua kuwa kila binadamu amezaliwa kawaida lakini taratibu (hata pasipo maelekezo systematic) hujikuta ana asili ya kuabudu ndani yake!! Hii iko hata kwako pamoja na hoja zako zote hizo ,bado kuna sehemu (siri yako ) wewe hupeleka Ibada, kafara ama sadaka na matambiko yako, na hata kama unatega kupeleka bado nafsi inajisikia kufanya na siku zote inakusukuma kuabudu.
Mababu zetu na hata jamii yoyote, zikiwemo zile ziishizo kwenye misitu minene pasipo kuwa na contact na jamii zilizoendelea still huwa wanaabudu something, huu msukumo hauji artificially, ni inbuilt program within a human soul, nani aliye install hii program ndani ya binadam.?? Lazima yeye ndiye Master Wao, ndio maana unakuta wana struggle kupeleka sad aka, ibada na makafara( kama ufanyavyo wewe huko unakokujua na kupaamini)
Labda tuambie basi ni jamii ngapi, primitive kabisa au jamii yoyote uliyoikuta haina utaratibu wa kukomunikate na mungu wao? Je, unadhani kuwa jamii zote hizo zilipelekewa hizo imani na wageni fulani?
 
Naweza nikaziita akili zako ni finyu kwa sababu nyingi tuu, chache kati ya hizo..

1. Una limitation ya kimawazo kama upeo wa macho yako unapotazama bahari na kuishia mita chache mbeleni, Kwa kudhani ulilowaza au kuskia ni sahihi kutokana na vikwazo ulivyojiwekea mwenyewe ndani ya akili yako.

2. Haujatembea Ulimwenguni na kujionea, Hilo nna uhakika nalo kwa asilimia kubwa. Kwa laiti kama ungetembelea walau nchi 6 za Uarabuni (mashariki ya kati), Nchi kadhaa za ulaya na Bara la America ya Kusini na Canada na kuona watu mamia kwa maElfu wanavyokusanyika na kufanya Ibada katika Imani zao hakika msimamo wako na comments zako zisingekuwa hivi.

3. Alafu unaonekana ni mzito kama si mvivu wa kufatilia maandishi vyote (kusoma na kuandika) nikiwa na maana ya ume-Base kwenye mapokeo ya kusikiliza sana yanayopendekezwa na watu. Comments zako zinathibitisha hili kwamba ni fupi na hauhitaji kujichosha kuandika (inajidhihirisha pia na kwenye kusoma ni the same) sidhani kama utakuwa na ufatiliaji mzuri wa maandiko ya kiimani.

Yaani zipo nyingi nyingi sana

Nadhani hujui unachokiongea. Halafu kwa ujinga wako unadhani dini duniani ni hizo tu za kuamini mungu mmoja!!.

Ninadiliki kusema kwamba wewe hujui chochote. Hujui metaphysics, hujui mathematics, hujui cosmology, hujui geography, hujui biology hujui dark energy na hujui Einstein speed formula.

Ninasema kwa uhakika hujui hata Mendelbord set. Kwa hiyo hujafanya research yoyote. Wewe unaenda nchi za watu na kubeba mabox hufanyi hata research utajulia wapi hizi elimu za kuhusu the truth?

Hujui meditation, hujui source of life. Ninakupa homework hebu fanya utafiti kwa hayo niliyo kuambia nakupa mwaka mmoja utakuja na topic tofauti.
 
Back
Top Bottom