"Nimefanya research juu ya ukweli wa dini na uwepo wa Mungu hasa Mungu anaeongelewa na wakiristo na waislamu."
Mkuu
Mashaxizo mie nina mashaka na hayo maelezo yako hapo juu. Uliposema kwamba umefanya research nikadhani kwamba utakuwa umezama ktk mafundisho ya hizo dini na kuja na mambo mapya, hivyo nikawa na hamu ya kuona ulichokipata kwenye hiyo research,lakini aina ya maswali uliyokuja kuuliza hayana tofauti na ambao hawajadai kufanya research.
Hebu kwanza tuambie hiyo research yako uliifanya vp? kwa sababu kama kweli ungekuwa umefanya research basi usingekuja kuuliza maswali kama hayo. Swali lako la kwanza tu linaonesha haujafanya research.