Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,346
- Thread starter
- #441
Kwa vile Mungu ni uweza wa yote anaweza akaandika kitabu. Lakini jee vitabu vyote vinavyodaiwa kuandikwa na Mungu ni kweli vimetoka kwa Mungu?Mashaxizo nimekua nafatilia huu mjadala lkn nashindwa nichangie nini na kipi niache maana naona mnaenda tu na namna moja mada km iko upande Fulani!
Nilishauri hapo nyuma kwamba rudia kufanya utafiti wako upya maana hichi ulicho leta ni kipunje kiduchu ktk mambo ya Mungu! Samahai kwa kusema hivyo lkn Mimi ndio hali halisi ilivyo!
Nimekata hiyo hoja ya kwanza ili tuweze kuijadili mpk tupate muafaka then tutakwenda ktk hoja ya pili!
Kwanza kabisa kabla ya kuangalia hayo mambo ya dini nyingi Mimi ningependa kuuliza maswali machache!
Wanadamu wanapotengeneza vitu km Gari , sim TV or whatever huchapisha na vijitabu kwa (manual book) kwa ajili ya kumsaidia mtumia Wa hicho kitu kusoma na kuelewa kutumia hicho kitu! Sasa km wanadami wanafanya hivi, wewe unafikiri Mungu Baba hana uelewa Wa kutupatia manual book ya hii planet earth ili wanadamu tuweze kufaidi kuelewa matumizi na kufahamu yote yaliyomo ktk hii dunia?
Maswali mazuri, na hapo ndipo niliposema haiwezekani dini zote kuwa sahihi ila inawezekana zote zikawa za uongo. na hiyo inatokana na mushkeli mwingi unaopatikana kwa kila kitabu or dini fulani yenye kudai imeletwa na Mungu.Hiyo manul book ya hii planet earth inaweza kua kitabu gani? Biblia au Quran? Na ili kujua kua manual book yako ni sahii njia nzuri ya kuprove ni unabii! Nabii zilizomo ktk hizo manual book mbili zimetimia? Je zinalingana na history ya dunia hii?
Nijibu kwanza hayo ili tupate kujua ni manual book IPI tutumia ktk swala la hii hoja yako ya kwanza inayohusu Dini!
Karibu!
Last edited by a moderator:
