Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo tuko pamoja linabaki suala la kua pia si muandishi wa vitabu na wala hana pirika za kutaka wati wake waende makanisani na miskitini.
Hahahahaaaaa! tuko pamoja kwa maelezo yote hapo juu. sjui tunatofautiana wapi wallah!!!
Hahahahahaaaa!
Hapa umequote kwenye kitabu. ningependa uniambie unaichkuliaje biblia.
Mi nahisi sometimes anacheka sana akiona waja wake wanajitoa muhanga kwa jina lake na wengine wakimpigia kelele mchana kutwa kwa makanisa.
Hapo kwenye mwezi naweza kukubaliana nawe (coz nilidadisi baharia kuhusu hilo) nnachopinga ni kudermine mda per day like a sun.
Huko juu nimekuuliza kuhusu biblia.
Ni mambo gani hay mkuu? Ikiwa ni Spernatural power tuko pamoja but Mungu ni Mungu alieandika vitabu ningependa uthibishe.
Tukirudi kwenye imani nilitaka kukuambia anaepinga uwepo wa Mungu hana Imani unless aabudu kitu kingine.
Huwezi kusema anaimani coz always we peoof something that is exist. Mtu hawezi kuproof non existence. always anaedai something is exist the burden to proof lies to him.
Labda nikuulize; How could i proof something which doent exist?
Yap, hapo nimekusoma.
Jee unaliongeleaje suala biblia kusema or kumanisha Jua linatembea kutoka sehem moja kwenda sehem nyengine kama ilivyoelezwa ktk Joshua 10: 13?
Cc: Kizzy Wizzy
Kwanza niweke uwazi wangu naamini Biblia ni maneno ya Mungu, Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi, Mungu hakuandika Biblia, Biblia iliandikwa na wanadamu ambao walipata uvuvio wa kuandika(mwe sijui naeleweka hapa)....... Ndiyo maana katika Biblia za kiingereza yale yaliyosemwa na Mungu moja kwa moja huwa yana alama fulani na yale ya wanadamu yako kawaida.
Katika Biblia yapo yaliyosemwa na Mungu moja kwa moja pia yapo yaliyoandikwa na mtazamo wa Mwanadamu kulingana na ufunuo waliopokea kutoka kwa Mungu,shortly katika lugha ya sasa ni walijiongeza katika yale Waliyoyapokea kutoka kwake.
Hakuna jambo kwenye dunia hii halipo kwenye Biblia,na Biblia haijichanganyi bali sisi tuisomao ndo tunajichanganya sana.
Unajua inakuwa vipi..?? Ukiamua kuisoma BIBLIA takatifu huku ukiwa na Miadi Moyoni mwako ya kutaka kumpinga na Kuupinga ukweli wa MWENYEZI MUNGU hakika utafanikiwa kuudanganya MOYO WAKO.
Ivi kwa mfano mimi nikisemea Jua limesimama ntakuwa namaanisha nini?? (Kwa hali ya kawaida ni hakutokuwa na kukucha wala kukuchwa na ndicho kilicho maanishwa pale).
Mtu utamfananishaje na Mungu? Sadly siasa hizi zinatumiwa hata na Muslim.Uki
Elewa maudhui yaliyomaanishwa pale na sio kujenga hoja zisizokuwa na ukweli.
Kwani kwamfano mtu akikwambia ''siku zinaenda'' wewe huwa unamwelewa vipi?? Kwamba siku zina-move on like cars or??
Hatishwi mtu mkuu! mlinitisha sana but for now. MIMACHO YANGU IMEFUNGUKA VIZURI.Take care Broh GOD ALMIGHTY is something UNIQUE, sio kitu/mtu or anything else to play with.
Ni vigezo vile vile vinavyotumika kutambua uwepo wa kitu.
Sasa kwa nini ishindikane kuthibitisha?
Hivi inakuaje uamini mungu halafu upingane na dini?
Hahahahaaaaaa! Hata waislamu wanasema hivyo hivyo.
Mi nahisi waumini msingekua na madhehebu coz mnatumia kitabu kimoja na kilichokamilika.
Ok nimekusoma.
Haya maswala watu wamekorogwa na mapokeo ya watu weupe.
Huenda mungu aliyeandikwa kwenye vitabu hivyo alishaga kufa zamani au utawala wake ulishaanguka. Maana hapasui tena bahari ya shamu.
Hahahaha!!! Hiyo sentensi ya mwisho imenifurahisha...... Mungu yupo bado anatenda ila kutembea naye kwa wanadamu wa leo ndo kazi, kuna gharama yake pia lazima mwanadamu aingie hasa katika swala la muda.
Hivi unamuongelea mungu aliyeandikwa kwenye biblia na kruani?
Yesu mwemyewe alitembea juu ya maji hata mwanamalundi naye alitembea juu ya maji. Je tofauti ya mwanamalundi na yesu ni nini?
Mimi nimekujibu kutokana na lile uliloandika, mmmh!!! Sizijui habar za mwanamalundi siwezi ongelea lolote.
A: kunanyoka pangoni.
B: Hakuna nyoka pangoni.
Hapo wakuthibitisha madai hayo atakua A or B?
Bila shaka ni A coz B hana hiyo burden. Sio kwa sababu A kapendelewa bali non existance haiwezi kuthibitishwa.
Hivyo basi ithibati ya B dhidi ya nyoka itategemea na proof ya A.
So mashahidi and/or A wakienda pangoni na kushindwa kumuona nyoka ni kwamba kashindwa kuthibitisha. baada ya hapo huwezi kumtaka B athibitishe ikiwa nyoka hayupo pangoni.
Therefore njia alizotumia A kuthibitisha uwepo wa nyoka ndio njia hizo hizo za kuthibitiaha nyoka hayupo.
Naomba uelewe vizuri hapo kwamba A amedai na B amedai. A amekuwa ndio mtu wa kuthibisha kutokana na nature ya madai yake.
Ok. wewe unaamini Mungu na pia unaamini dini. Unakubali Mungu ni mmoja pia unakubali dini si moja.
Sasa niambie Mungu ana dini ngapi?
Then unapouliza inakuaje mtu aamini Mungu then akatae dini. Mpaka hapo inamaanisha Mungu wako ana dini na pia unamaana yako ya Mungu.
Mungu kwa maana ya Super natural power hana dini wala si Muandishi.
Usilazimishe maana yako ya Mungu kuwa the best one.