Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
Mashaxizo nafikiri tatizo kubwa ni wewe na uwezo wako wa kutafakari kuliko dini kuwa ndiyo tatizo.I was Muslim. Sasa siamini dini yeyote. 1-9 ktk mada ni vitu nilivyoviona ktk dini. Just nilijiuliza kwanini sisi Muslim tunajiona ndio wa dini ya haki? Then nikaobserve kila imami inajihisi hivyo. nikaamua kutafiti (sio rasmi sana).
Kwa vile naweza kuwa wrong. nimeweka hapa hiyo 1-9. kwa mjadala nijue ipi inaukweli na kwa kiasi gani.
Kuna pahala tulikuwa tunajibizana uliuliza vitu ambavyo kimsingi ni very elementary kwa JF member ambaye anajinasibu kuwa alifanya utafiti , ulipojibiwa si tu kwamba huku kubali majibu yake Bali hata kuyakubali na kukiri kuelewa hukufanya.
Kilicho nishangaza wakati natafakari na kuamini kwamba utakuwa umeelewa labda bado unatafakari nikaona ukinukuu maandishi ya wengine unauliza maswali Yale Yale ambayo uliniuliza nikakujibu. Nikagundua kuwa wewe hupo hapa kuelewa upo Ku show off na unayo default position no matter what
Sasa umeweka kwamba 1-9 ndiyo vitu vilivyokufanya uache kuamini dini yoyote na kujihami unaandika ulifanya utafiti usio rasmi.
Kwamba ulikaa somewhere ukawa Una day dream then ukajiaminisha umejua kila kitu na kuamua mungu uwepo wake ni questionable .
Naamini ungefanya utafiti japo kidogo ungegundua kuwa kuna very great mind kama kina C.S.Lewis na Anthony Flew to mention but a few walifanya tafiti za kweli mwishoni wakatumia bahati nasibu na kuamua kuwa Atheist lakini waliendelea Ku question na kujigundua madhaifu yao wakakiri pasipo kumung'unya maneno kuwa Ulimwengu na vilivyomo ni matokeo ya intelligent ya hali ya juu mno na haiwezekani iwe imetokea kwa ajali tu.
Kilichofuatia ni kutafita ni imani IPI inazungumzia ukweli wa Mungu
Last edited by a moderator: