Unaona matatizo yako Ntuzu? Wewe uliitwa uje utoe ufafanuzi or uje uulize maswali?
Kwanini unapenda kuuliza wewe tu?
Ikiwa wewe umesoma hicho kitabu kitakatifu na kukielewa si umtaje huyo mtume alieshushwa nje na hapo?
Unaleta habari za ukomo kana kwamba nimesema matabu yenu yamesema utume basi!!!! Iknow kwa waislamu utume basi pia najua wakiristo wanaendeleza huo mfumo.
Baada ya biblia ndio kunaibuka mitume kupitia sehem tofauti. embu jiulize kwani mitume isambae baada ya kusambaa biblia? Jee mitume yoote kabla ya biblia kwanini wote watokee pale middle east? yaani nashindwa kukuelewa ikiwa hujaelewa swali langu or umeelewa vizuri ila unaleta zile siasa zenu.
Labla nikufikirishe kidogo.
Mitume kabla ya biblia ilikuwa ni mitume ya dini gani ?1
2 Walizaliwa na wazazi wa dini gani or walipewa mafunzo ya dini gani na nani?
Then niambie mitume wenu wa sasa wamezaliwa na mitume wa dini gani or walipewa mafunzo gani na nani kabla ya utume wao?
Jaribu kuwa mkweli
Ntunzu usiwe na katabia ka kutaka ujibiwe wewe tu tena kwa njia unayotaka wewe!!
Barikiwa pia.