Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,346
- Thread starter
- #481
Hahahaha!! Mashaxizo ni ngumu aiseee sababu mwanadamu toka mwanzo ni mbinafsi, kila mmoja anataka lake liwe sahihi, Biblia naweza kusema ni nzuri sana na ni mbaya sana iwapo utakosa kuielewa na inaweza kukufanya ukawa kichaa kabisaa.
Mfano kuna baadhi ya mistari hufanya watu wachanganyikiwe na kuwa vituko mfano hii mtakula sumu wala haitawadhuru, mtakanyaga nge na nyoka wala hawatawadhuru mtu anatoka moja kwa moja anachukua sumu anasema tumeambiwa Sumu haitatudhuru....
Au kuna mwingine unasema msinyimane mmepewa kupatana kwa muda basi wee full watu kugegedana ati wasinyimane...... Lol.
Ukiwa na mahusiano mazuri na Mungu utaongozwa kupata maana halisi ya neno, utaongozwa kwa lile ulilolisikia kutoka kwa Mungu linaendana vipi na neno, na je hilo lipo kwenye neno?
Kuna article fulani (philosophy of religion) moja ya part yake inaongelea "Language of religion" nimeona sana utata kama huo na huo utata kwa vitabu vyote vya dini. Wanadini wenyewe wanatetea na kusema kwamba watu wanatafsiri 'sisisi' vitabu vyao. naweza kukubali kwa upande mmoja but upande mwengine napinga coz Mungu hakueka wazi hapa ni sisisi na hapa ni context, i wonder how the text of God contain many ambiguity, wakati amaelewa watu wanauwelewa tofauti.
Labda nikuulize everlenk. Hivi unalichukuliaje suala la Mungu kutoa utume kwa watu wa Middle East TU? yaani from Adam - Ibrahim to Yesu. in fact to Muhammad but nimemuacha coz humuamini.
Last edited by a moderator: