A God can be a mere theory, nothing more

Kwa vile Mungu ni uweza wa yote anaweza akaandika kitabu. Lakini jee vitabu vyote vinavyodaiwa kuandikwa na Mungu ni kweli vimetoka kwa Mungu?
Hiyo manul book ya hii planet earth inaweza kua kitabu gani? Biblia au Quran? Na ili kujua kua manual book yako ni sahii njia nzuri ya kuprove ni unabii! Nabii zilizomo ktk hizo manual book mbili zimetimia? Je zinalingana na history ya dunia hii?
Maswali mazuri, na hapo ndipo niliposema haiwezekani dini zote kuwa sahihi ila inawezekana zote zikawa za uongo. na hiyo inatokana na mushkeli mwingi unaopatikana kwa kila kitabu or dini fulani yenye kudai imeletwa na Mungu.
Nijibu kwanza hayo ili tupate kujua ni manual book IPI tutumia ktk swala la hii hoja yako ya kwanza inayohusu Dini!

Karibu!
 
Last edited by a moderator:
Mashaxizo umesema sawa kwamba anaweza kuandika manual book lkn umeraise swali hapo kwamba je vitabu hivyo ni kweli vimetoka kwa Mungu? Hoja yako ya pili juu ya dini tuiache kwanza maana hiyo tutaifata baada ya kupata muafaka juu ya manual book ya hii sayari dunia!

Naam, bibilia inasemaje juu ya maandiko au mafunuo kwamba yametoka wapi?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Mkuu ingekua poa tungekubaliana namna ya kujadili. Si unaona swali uliloniuliza hapo?
Hilo swali ulitakiwa ujibu wewe coz wewe ndie unaetetea biblia.

Mimi nimeweka hoja tisa, kati ya hoja hizo baadhi nimeambatanisha na maswali, unaweza kunijibu and/or kuniuliza kuhusiana na hayo.

Kwa mfano; unasema mimi sikubaliani na hoja no: 1 then unatoa sababu pia unaweza kuniuliza. nahisi mtindo huo utatufanya tustick na nilichokiandika bila kuingia mijadala mengine.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa kifupi Imani ni mambo anayoyakubali mtu kuwa ni ya kweli;itikadi. Maana ya pili ni maoni ya moyo yanayomfanya mtu awe na mkabala fulani juu ya jambo.

Jee mtu akiwa na uhakika kuhusu jambo fulani na akaweza kuthibitisha, Jee maana yako ya imani itajumuisha na mtu huyo kwamba anaamini ingawa anaushahidi wa kutosha juu ya jambo hilo?
 

Mi nadhani ni kumkosea Mungu adabu kama tu tunaona alichokifanya binadamu basi Mungu pia angeweza kutumia staili hiyohiyo. Binadamu tunajiandikia manual kwa kuwa hatuna nguvu ya kufanya vinginevyo. Mungu mwenye uwezo wote hakuwa na sababu ya kuandika wakati ana uwezo mkubwa zaidi wa kuiweka manual kwenye bongo zetu.

Hizi manual tunazosema Mungu katupa, kaziandika yeye mwenyewe??? Kama zimeandikwa na binadamu tuna uhakika gani kama mengine kajiwekea kwa matakwa yake??
 
Last edited by a moderator:
Asprin nimefurahishwa sn na hoja yako hii Mkuu! Ata Mimi naungana na wewe km ulivyosema ni bora kukubali kua Mungu yupo kulikoni ukaja kwenda ukamkuta anagonga virobo na fegi na banana ukashindwa ata kugongea pafu moja. Hahahaaa natania tu Mkuu wangu!


Post yako Umetoa hoja muhumu sn Mkuu ubarikiwe sn!
 
Last edited by a moderator:

Kiukweli kiongozi mi naamini uwepo wa Mungu. Lakini si mungu huyu ambaye tunalazimishwa na ngozi nyeupe kumwamini. Mwarabu katuletea Mungu wake na kutuaminisha ye ndo bora kuliko miungu wengine. Same applies to wazungu. Wale miungu wa mababu zetu waliokuwa wakiwaamini ngozi nyeupe imetuaminisha kuwa si Mungu bali ibilisi sheitwain...

Mungu wa kibaguzi namna hii nani anamtaka?? Miafrika huku inatukanana kwasababu ya miungu ya waarabu na wazungu.

Shwain....
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaaa!! kumbe Mkuu ulikua unataka tu kuleta ugumu wa kazi! Thanks Asprin kwa kunisaidia hapo.
 
Last edited by a moderator:
Jee mtu akiwa na uhakika kuhusu jambo fulani na akaweza kuthibitisha, Jee maana yako ya imani itajumuisha na mtu huyo kwamba anaamini ingawa anaushahidi wa kutosha juu ya jambo hilo?

Kama jambo gani sasa? Hebu toa mfano
 

Mashaxizo rafiki yangu nakumbuka post yangu ya kwanza kabisa ktk Uzi huu wako niliandika kwa uchache sn kwamba urudi ukafanye utafiti wako tena! Na Leo nimekuambia kua ulicholeta hapa ni kijichembe kidogo cha punje cha maswala ya Mungu juu ya utafiti wako. Sasa km unashindwa kuleta jibu la maandiko kwamba biblia yenyewe inasemaje kua mafunuo Yake au hilo neno lake limetoka wapi? Utaweza vipi kuipinga kua yaliyoandikwa humo hayajatoka kwa Mungu wakati hilo swali moja tu umeshindwa kujibu?

Mkuu umeweka hoja 9 kweli na zote ni dhaifu na Mimi nimechukua moja kwanza tuijadili mpk tuone muafaka uko wapi then tunakwenda ktk hoja ingine kwasababu hatuna haraka sote tupo ktk Nyumba hii hivyo basi tutalijadili hili sn tu! Vile vile nimeona kuchukua hoja zote na kutembea nazo naweza sn lkn hutoweza kunielewa kwasababu kuna mambo mengi sn ambayo yanapinga huo utafiti wako. Kwahiyo ni vema kwenda kidogo kidogo huku ukiniewa vzr maana Mungu wangu Mimi kafunua kila kitu kupitia maandiko Yake.

Ningependa sn kuona jibu lako juu ya nini biblia inasema kua hayo mafunuo yametoka wapi, ukifanya hivyo tutakwenda sawa na huo utafiti wako maana nijuavyo Mimi maandiko au Mungu hashindwi kujitetea mwenyewe mpk sisi binadamu tumsaidie.

Asante sn Mkuu!

Karibu.
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaaaa! Ungekua na dada ningemuoa mkuu!
 

Okay Mkuu nimekupata uzuri sn mkuu. Lkn hilo swala la miugu Wa watu weupe sitaki kuliongelea sasaivi kwasababu liko mbele ya hoja ya Mashaxizo na kuna kitu nataka tujadiliane Nae kwanza kisha tutafika huko.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa!! kumbe Mkuu ulikua unataka tu kuleta ugumu wa kazi! Thanks Asprin kwa kunisaidia hapo.

Hahahahaaaaa! Ungekua na dada ningemuoa mkuu!

Mungu sio mbaguzi. Mungu sio Wa matabaka. Shetani ndio mbaguzi ndio muasisi Wa mataba. Hiyo hoja ya Asprin nimeiona lkn haina maana km Mungu ni chanzo cha uovu! Alienzisha uovu ndio chanzo cha ubaguzi
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ntuzu sijui ni wapi hatuelewani.

Ikiwa umesoma mada vizuri nimesema vitabu vyenu vinamchanganyiko wa ukweli uongo na many unreasonable teachings, hapo hujagusia contradiction. the nimeona umemjibu Asprin kwa kukubali hoja yake pale. na issue kubwa ni kwamba Mungu hana pirika za uandishi. sasa hapa nashindwa kuelelewa nini hasa unaulizia.

Ikiwa ni historia ya uumbaji wa dunia ktk bible yameelezewa sura ya mwanzo. na chaka kubwa sana ikiwa utafikiri sawa sawa. coz baada ya dunia Mungu hajui sijui niseme hakuumba!! Sayari nyengine na Galaxies pia Ameeleza sijui kulikua na maji sjui nini ilimradi uongo uongo mkuu.

Naomba uweke swali lako vizuri na uniambie ni kutoka point gani kati ya hizo tisa.
 
Last edited by a moderator:

Labda wewe hujamuelewa Asprin ktk post Yake rudi ukamsome tena kuanzia mwanzo utaona anachozungumzia ni nini hasa kati ya Mungu muweza na mwanadamu!

Ngoja nimalizie kz zangu ntarudi tuendelee na niweke sawa hilo swali langu
 
Last edited by a moderator:
Kama ulimuona nyoka akiingia basi haitakuwa imani,na suala la kusema kuna mungu kuwa ni imani ni kwa sababu tu haonekani huyo mungu lakini yapo yenye kuthibitisha kuwa yupo.

Ni mambo gani hay mkuu? Ikiwa ni Spernatural power tuko pamoja but Mungu ni Mungu alieandika vitabu ningependa uthibishe.

Tukirudi kwenye imani nilitaka kukuambia anaepinga uwepo wa Mungu hana Imani unless aabudu kitu kingine.

Huwezi kusema anaimani coz always we peoof something that is exist. Mtu hawezi kuproof non existence. always anaedai something is exist the burden to proof lies to him.
Labda nikuulize; How could i proof something which doent exist?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…