Hahahahhah!!! Kwa hiyo wa misikitini,waliofanya kafara za ng'ombe na kuku makaburini, milimani watakuwa hawajaliwa eeeh?
My dear kwenda mbinguni is just a bonus unatakiwa hapa hapa uanze kula mema ya nchi kwa kumuona huyo Mungu.
Duh!! Sasa hapa best yangu Mashaxizo umefanya mzaha,wala hata usipaniki tupo kuelimishana taratibu pasipo ngumi wala konde...... Sijajua hasa lengo ni mabishano ya dini au Mungu? Tunataka kujifunza au kubishana? Kama ni kubishana kwa kweli mimi huko simo kabisaa endeleeni kubishana na wala huyo Mungu hamtampata aliye sahihi kulingana na vigezo vyenu.
Ndugu yangu. Hebu jaribu kufukiria zaidi ya hapo
Unaona matatizo yako Ntuzu? Wewe uliitwa uje utoe ufafanuzi or uje uulize maswali?
Kwanini unapenda kuuliza wewe tu?
Ikiwa wewe umesoma hicho kitabu kitakatifu na kukielewa si umtaje huyo mtume alieshushwa nje na hapo?
Unaleta habari za ukomo kana kwamba nimesema matabu yenu yamesema utume basi!!!! Iknow kwa waislamu utume basi pia najua wakiristo wanaendeleza huo mfumo.
Baada ya biblia ndio kunaibuka mitume kupitia sehem tofauti. embu jiulize kwani mitume isambae baada ya kusambaa biblia? Jee mitume yoote kabla ya biblia kwanini wote watokee pale middle east? yaani nashindwa kukuelewa ikiwa hujaelewa swali langu or umeelewa vizuri ila unaleta zile siasa zenu.
Labla nikufikirishe kidogo.
Mitume kabla ya biblia ilikuwa ni mitume ya dini gani ?1
2 Walizaliwa na wazazi wa dini gani or walipewa mafunzo ya dini gani na nani?
Then niambie mitume wenu wa sasa wamezaliwa na mitume wa dini gani or walipewa mafunzo gani na nani kabla ya utume wao?
Jaribu kuwa mkweli Ntunzu usiwe na katabia ka kutaka ujibiwe wewe tu tena kwa njia unayotaka wewe!!
Barikiwa pia.
Hahahahaaaa! Best everlenk hata usijali. sometimes ni heri kuua mjadala kuliko kukubali kutukanana na kuonana wapuuzi.
Hii mada inapost zisizopungua 500, za kwangu ni zaiti ya 130 na most of them najibu and/or kuuliza wanaopinga rather than wanaosapoti but huwezi kukuta post namwita mtu mpu.uuzi, sijui hajielewi, sijui akili zake zinamatatizo etc.
Sasa naona post zinazoendelea hajijadili issue, yaani ni personal attack na kwenda mbele. Yanini yote hayo best?
Si bora nikubali tu.
Annael naomba kuelimishwa juu ya Mungu ambaye sharti ujue kusoma ndiyo umjue. Mimi nafahamu kwamba watu/ binadamu kajua uwrpo wa Mungu na walimwabudu kabla ya hata herufi hazijavumbuliwa !Ndugu yangu Mashaxizo utasumbuka sana na hawa watu maana wanajitoa ufahamu wenyewe. Lakini kwa faida ya watu wengine wanaopitia huu uzi ngoja tuendelee kuelimisha jamii. Nimeleta maelezo hapa namna gani hivyo vitabu vinavyodanganya na jinsi gani vilivyoandikwa kuwa ni kulingana na jamii za wakati ule.
Watu hawajiulizi hivi kweli mtu ambaye hajui kusoma inamaana hatamfahamu mungu?
What kind of this god mpaka watu waende chuo wakamsomee ili wafundishe wengine? mungu gani huyu wa kusomea na kufanya mitihani?
Hahahahhah!!! Kwa hiyo wa misikitini,waliofanya kafara za ng'ombe na kuku makaburini, milimani watakuwa hawajaliwa eeeh?
My dear kwenda mbinguni is just a bonus unatakiwa hapa hapa uanze kula mema ya nchi kwa kumuona huyo Mungu.
mungu hayupo ila jua lipo.
Jua limefanya nini? Na wewe unajuaje kuwa jua lipo?
Hahahahaaaa! everlenk sijamanisha Uislamu uko sahihi. ingawa nimetokea huko.
Short and clear sifungamani na dini yoyote.
Sasa nakula vyakula vyote unless nigundue vinamadhara KWANGU. kwa maana nyengine naweza nisile vyakula mnavyoita Halali ikiwa vinamadhara kwangu. Siamini tena haramu wala halali. siamini ukiristo wala uislamu. Na ramadhani itanikoma, sifungi ata moja! teh teh teh.
Jioni njoo tule ile kitu iliyokatazwa kwa walawi na Isaya na qurani. Hahahahahaaaaaa! raha sana! Yaani dini wameharamisha pombe mpaka wine. Wangejua faida za wine hasa unapokunywa kwa kiasi wangefuta yale maandishi yao kwenye matabu!!! Hahahahahaaaaaa! kuwa huru raha sana! Babu Asprin asione hapa.
Jua ninaliona na practically linafanya kazi. Mungu hayupo theoretically or practically.
Mungu kama super natural being hilo sikatai ila huyu jamaa wa kwenye bible na quran ni fix tupu.Annael naomba kuelimishwa juu ya Mungu ambaye sharti ujue kusoma ndiyo umjue. Mimi nafahamu kwamba watu/ binadamu kajua uwrpo wa Mungu na walimwabudu kabla ya hata herufi hazijavumbuliwa !
Mungu kama super natural being hilo sikatai ila huyu jamaa wa kwenye bible na quran ni fix tupu.
Hahahahaaaa! everlenk sijamanisha Uislamu uko sahihi. ingawa nimetokea huko.
Short and clear sifungamani na dini yoyote.
Sasa nakula vyakula vyote unless nigundue vinamadhara KWANGU. kwa maana nyengine naweza nisile vyakula mnavyoita Halali ikiwa vinamadhara kwangu. Siamini tena haramu wala halali. siamini ukiristo wala uislamu. Na ramadhani itanikoma, sifungi ata moja! teh teh teh.
Jioni njoo tule ile kitu iliyokatazwa kwa walawi na Isaya na qurani. Hahahahahaaaaaa! raha sana! Yaani dini wameharamisha pombe mpaka wine. Wangejua faida za wine hasa unapokunywa kwa kiasi wangefuta yale maandishi yao kwenye matabu!!! Hahahahahaaaaaa! kuwa huru raha sana! Babu Asprin asione hapa.
Hakyamama mi nimeona hapo tu baaasi!
Huyu Mungu wa kwenye vitabu ana masharti Mugabe anasingiziwa.
Wengine wamepewa AMRI KUMI ZA MUNGU.... Lakini pamoja na amri hizo, wakatokea sijui ndo mitume na manabii.... sijui wameonana wapi na Mungu akawatuma viamri vingine vya kibweeeeege... Basi shida tupu. Ndo kama hivi sasa Amri za Mungu mkuu hakuna sehemu aliposema usipige ulabu... sijui wakatokea wapi watu waleeeee.... sijui wanakula maharage ya wapi waleeeee.... Basi tu wakaamua kutuambia Mungu kawaambia Kilauri ni dhambi... Nyambaf zao na robo... huyo Mungu walimwona wapi mpaka akawapa maagizo mapya? Alishindwaje kuyatoa wakati anatoa amri zake? Alisahau?.... Mungu ni msahaulifu?
Damnnnnnnnnnnnnn!!
Hapo Mwanzo Mungu aliumba Mbingu na Nchi.
Mwanzo 1:1
Huyo ndiye Mungu anayeongelewa na Wakristo labda unifundishe vigezo sahihi vya huyo Supernatural being wako.
Potelea mbali. Kwani K kitu gani bhana.... Mbuzi mwenyewe kaiweka hadharani na kimkia juu:A S 100::A S 100::A S 100: beberu aiangalie anavyotaka, akitaka ajisevie hata hadharani Hahahahahaha LOLKiruuuuuuuuuuuuuuuu!!!! Siku hizi sikuelewi !!!...........wewe endeleza tu mwakani naenda zangu kenyaaaaa!!!! lol
Hahaahahhah!! Mama yangu nimecheka mpaka machozi!!!! Sasa umekuja nilipopataka,hapa ndo penyewe zooote zile mbwembwe tu hiki ndo kiini cha mada hiii!!
Mwana wewe Naona unataka uiue kabisa dhamiri yako ushachoka na masharti kibao ya dini unataka uwe like a free molecule ule dunia kwa raha zako hutaki kusikia kitu Mungu maana kinakunyima mambo fulani ya kuinjoi dunia hasa ukikumbuka kuna moto, unatamani usingewahi kusikia kabisa hizo inshu......Lol.
Best yangu hii hali wengi tulishaipitia,na wengine wanaipitia bado, yaani hutamani kabisa kusikia hizo do na don't za kidini na unafikia na conclusion no God at all,kama yupo basi angefanya hili na lile ,na angekuwa hivi na vile,asingefanya hili na lile,yaani ni criticize kwa kwenda mbele, Nakumbuka hiyo hali ilivyonitesa sana.
Kama unahitaji kujifunza na kuujua ukweli inabidi ufike mahali uamue mwenyewe kujifunza wewe kama wewe tulia chini tumia muda wako mwingi katika hilo,na lililo kubwa kuliko yote ni kuuondoa kwanza ubinafsi wa kibinadamu, usitake mambo yawe kama utakavyo au yawe kama uliyoyasikia kwa wengine ,be Neutral student kadri unavyoendelea na hilo darasa lako utafika mahali utaanza kuona jinsi gani yalivyosadifu huu ulimwengu na ukweli uko wapi,na katika akili ya kibinadamu yako relevant kias gani, majibu ya maswali yako yote yaliyokutatiza yatapata ufumbuzi.
Potelea mbali. Kwani K kitu gani bhana.... Mbuzi mwenyewe kaiweka hadharani na kimkia juu:A S 100::A S 100::A S 100: beberu aiangalie anavyotaka, akitaka ajisevie hata hadharani Hahahahahaha LOL
Kuna mtu kahack account yangu hakyamama.
Hapo Mwanzo Mungu aliumba Mbingu na Nchi.
Mwanzo 1:1
Huyo ndiye Mungu anayeongelewa na Wakristo labda unifundishe vigezo sahihi vya huyo Supernatural being wako.