A God can be a mere theory, nothing more

Sasa hapo ndio umeandika nini?

Mbona bible hiyo inakubali Mungu ni mpu.mbavu?

Ivi ni nani hasa mpum.bavu kati ya Yule anaeadhibu mtoto kwa kosa la babu yake na yule na yule aliesema Mungu wa hivyo hayupo?

Kosa nini ? Na kuadhibu ni nini ? Sinker wewe
 

Ndugu katika utafiti wako umeanza kwa kujiweka kwenye Box.
Toka kwanza kwenye Box la Mungu wa dini Fulani uje nje umwangalie Mungu na broad picture ya Uumbaji.
Huwezi kutaja watu ili kupata ukweli wa Mungu kuwepo au kutokuwepo
Tunaoamini Mungu kutuumba tunaamini alituwekea hekima na uwezo ili kujitafakari na kutafakari.
Wewe umeamua kuzima kitengo chako cha hekima na kutafakari na kujitafakari umeamua ktafuta Mungu kwa kuangalia watu wengine na maeneo yao ya Kijiografia.
Pole...
 

Wewe dini yako imetokana na nini ?
 
Na wewe unawaza hivi...?

Sitaki kuamini.

Basi wewe nithibitishie haya:
  • , Mungu yuko wapi?????
  • Ni jinsia gani???
  • Ni mfano wa nani, mzungu , mwafrika, muhindi , mchina, mwarabu??????
  • Kwanini aumbe dunia tu, hizo sayari nyingine zilikujaje??????
  • Biblia iliandikwa na nani?????
  • Mtu akifa anaenda wapi????? ni vizazi vingapi vimepita hadi sasa mbona havifufuki??????
Nijibu kwanza hayo ili mimi nibadili mtazamo.
 

Ongeza fikra kidogo na upange upya andishi lako laweza kuwa na funzo hata kwako mkuu.
Umewaambia wasifanye ( na madhara yake umewaambia ) watoto wakakengeuka na kufanya (madhara ni haki kwao )
Kiroja ni swali lako sasa.
Kama wamekengeuka na kufanya "hoja ya kuwaacha wafanye inatoka wapi ?
We sinker vipi ?
"Does it logically "
 
Well Apologise lady, watu wamefungwa na nidhamu ya uoga, wanashindwa kutrace hata historia ya imani yao, wanashindwa hata kusoma matabu yao matakatifu na kuona walivyochanganyiwa pilau na mrenda. fikra zao zimefungwa.

Simama mwenyewe ndugu. Unayaamini unayoyaandika kwamba ni zao la fikra pevu ?
Mimi imani yangu haitokani na woga hata chembe na wengi ndivyo walivyo
 
Last edited by a moderator:
Well Apologise lady, watu wamefungwa na nidhamu ya uoga, wanashindwa kutrace hata historia ya imani yao, wanashindwa hata kusoma matabu yao matakatifu na kuona walivyochanganyiwa pilau na mrenda. fikra zao zimefungwa.

Hahahahaha!!!!!!!! Nidhamu ya woga waliishapandikizwa tangu hapo na inatembea kizazi hadi kizazi. wanaacha kuthibitisha uwepo wa Mungu wanabaki kuquote vifungu vya kwenye biblia, Biblia nikitabu tu kama kitabu kingine maana kimeandikwa na binadamu kama sisi, kwa kweli watoe uthibitisho ili tuwaelewe.
 
Ni kweli kabisa mtoa mada ametumwa name shetani Mungu wetu tunayemuabudu yupo milele amen
 

Ninawezakuyajibu hayo maswali.

Ila kwa namna tu ulivyoyauliza, ninahofia nitaingia katika malumbano na wewe.

Niseme ninachokiamini binafsi ndicho nitakujibu, and hereby, I quote your signature of which speak volumes thus

summarizes all what I could say, " Speak only when you feel that your words are better than your silence."

I for now, I rest my case.

NB. Sikulazimishi kubadili mtazamo wako, ila, amini usiamini: sijaamini kama na wewe unawezakuwa na mtazamo wa

namna hiyo.
 
We unaamini hii dunia na vilivyomo vimetokea wapi?
Na unaamini Ulimwengu (Universe) umetokea wapi?

Katika ule moto wa mwisho wako watu ambao Watakua ndio KUNI ya wengine, yaani bottom of lile shimo ndio wataanza wao, ambao wewe ni mmoja wao.

Then kule juu mwisho mwisho kwenye Moshi unapoishia ishia ndio tutakaa sisi believers ikitokea tukaingia kule kwa bahati mbaya (Mungu apishie mbali).
 

Vizuri umeanza kwamba Nachokiamini wewe.

Kila mtu huamini apendacho vile vile huwezi kuniambia vyote viaminiwavyo ni kweli/sahihi. kwa mantiki hiyo huna uhakika unachokiamini wewe ni sahihi or nnachokiamini mimi sio sahihi. Mimi nimewekq fact kwamba hicho mnachokiamini wakiristo na waislamu sio sahihi.

Once again vizuri ulivyorest your case ila hiyo ni mbaya kwa lishe ya ubongo wako.
 

We jamaa sifuri kabisa mukichwa " wanachokiamini Wakristo na waislam " sio sahihi ?
Umefanya utafiti kuhusu imani ukaja na fact ?
 

Jee unaamini dunia ni flat? Unaamini dunia imesimama na jua hutembea kutoka mashariki kwenda magharibi?

Kwanini wewe ni mkiristo? Jee unawajua walioleta ukiristo?
 

Wewe hujaelewa. hapo namanisha ukiristo unahizo tafsiri na uislamu hizo tafsiri. Jee ukiristo na uislamu kwa pamoja viko sahihi? Ivi huoni hizo ni siasa za kukufanya ushikilie imani hiyo hiyo?
 

Kwaiyo wewe unaamini wazungu na waarabu walileta dini na kutufanya maskini kama malipo kututawala?
 

Ivi mkuu ulitaka niseme biblia na quran zipo sahihi kwa pamoja? Nilichokiona mchanganyiko wa ukweli, uongo and many unreasonable teachings.

Kitabu cha Mungu kitasemaje uongo?
 
Last edited by a moderator:
Kwani hapo pa kuactivate hiyo power ya kufanya miujiza umesema ni kusali sana swali unasali vipi kama Mungu hayupo hata Yesu alisali kwa Mungu

Yesu alisali kwa Mungu yupi ikiwa naye ni Mungu? Kunamiungu mingapi? Au unapingana na biblia iliposema Yesu ni Mungu?
 

Nipo kwenye box gani? mbona hoja zako hazieleweki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…