Mashaxizo sijui Kama uislam wako ni UPI ambao unaruhusu kufikiri, uislam ninaousema kwamba unakataza kufukiri ni ule ambao unatoa hukumu ya kifo kwa anayeacha dini... Japo nasikia kuna uislam ambao hakuna kulazimishana kwenye dini.
Wewe na Mimi Tu mashahidi wa BINTI aliyenusurika kifo hivi karibuni kwa kuukana Uislam.
Sasa Mimi siwakatazi ninyi na uislam wenu ambao unaruhusu kuhoji.
Kwangu dini au imani yoyote inayokataza Uhuru wa kufikiri na kutoa maoni kwa mafundisho ambayo mnasema ni divine kwangu ni unreasonable na Uislam kwa kiasi kikubwa unaangukia humo.
Mimi naamini mzinifu anamkosea Mungu hanikosei Mimi ninachoweza kumfundisha Kama Mkristo ni mwenendo mwema, siwezi nyenyua jiwe kumuua. Hilo sio fundisho katika Uislam ambapo mzinifu mwanamke anauawa kwa kupigwa mawe. Sasa wewe usawa wa imani uno wapi kwenye jambo kubwa Kama hilo ?
Unapolinganisha linganisha mambo yanayohusu 3rd party na namna anavyohukumiwa kisheria za dini ndipo utajua ninaposema sio reasonable namaanisha nini
Wewe sio mjuzi hata wa Imani ya Kikristo nakumbuka uliandika similarities na differences za mafundisho kuhusu Yesu Kristo. Kwa akili na ujuzi wako ukaona mambo mengi ni sawa tofauti ukasema ni ndogo.
Nikakukmbusha ni MTU wa ajabu nayeamini tofauti kwenye msingi wa imani kuwa ni ndogo.
Yesu Kufa na kufufuka ndio msingi wa Imani ya Kikristo.
Waislam wanasema hakufa wala hakufufuka; tofauti hiyo kwako unaiona ndogo sasa ujuzi wako uko wapi ?
Kwa hilo nililokuonyesha ni uthibitisho tosha kwamba huujui Ukristo na Kama huamini huwezi kujifunza kamwe.
Mimi niliye Mkristo kwa imani kwamba Yesu Kristo alikufa na kufufuka. Kama hakufufuka Mimi siwezi kuwa Mkristo, muulize Mkristo yoyote kama kufa na kufufuka kwa Yesu kristo ni jambo Dogo.
Yesu Kristo kuwa Mungu au si Mungu Kama mnavyodai hakuathiri Ukristo wangu lakini kufa na kufufuka ndimo mwake.
Christian inaitwa faith with reason kwa sababu ya Historical Jesus wewe mbwembwe zako sio mpaya no mambo am bayo contemporary atheist hawahangaiki nayo kwa kuwa yanawashushia hadhi katika thinking arena.
Kwa taarifa yako nitakujibu chochote ulichonashaka nacho katika imani yangu ya Kikristo nawajibika kwa hilo. Natakiwa kujibu lolote kuhusu tumaini langu nami Niko tayari.