A God can be a mere theory, nothing more

Dah! Afadhali nawe umeliona hilo. Huyu Mkwesa mtu yeyote mwenye mawazo tofauti na yeye, kwake ni mpuu.zi tu.

Usichoelewa na ndilo tatizo lako na Atheist wenzako ni kujismini kuwa ninyi ndiye wenye hati miliki ya critical thinking na kufikiri kuwa wanaoamini Mungu ni watu wasio fikiri.
Hoja zenu xinathibitisha kinyume na majigambo yenu zaidi Sana zinawakilisha ulimbukeni wa kiwango cha juu mno.
Mkekuwa mnauliza maswali ili mjibiwe kwa maana ya kuuliza kweli na si kukejeli mgepata mjadala wa maana. Lakini mkileta ulimbukeni mtajibiwa inavyotakiwa.
Biblia imetoa meongozo;
Mithali 26:4-5
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

5 Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.

Japo wapumbavu wanaona contradiction hapo.
 
Dah! Afadhali nawe umeliona hilo. Huyu Mkwesa mtu yeyote mwenye mawazo tofauti na yeye, kwake ni mpuu.zi tu.


Hana lolote huyo mpuuzi tu mmoja linajifanya linajua lkn ni pumbafu moja tu tena halina akili. We angalia michango Yake yote linaongea ujinga ujinga. Mafuasi ya makanisa ya kiroho ni shida sn! Misukule inayoburuzwa na mapambio na sebene za kikongo!
 

Hana lolote huyo mpuuzi tu mmoja linajifanya linajua lkn ni pumbafu moja tu tena halina akili. We angalia michango Yake yote linaongea ujinga ujinga. Mafuasi ya makanisa ya kiroho ni shida sn! Misukule inayoburuzwa na mapambio na sebene za kikongo!

Message well decoded...
 
Last edited by a moderator:
Huo ndiyo mchezo wa wasomi wa kiislam kujifanya hawaelewi akihojiwa Allah au Muhammad.huna jipya

Mi nashindwa hata kukuelewa mkuu,we umetowa kidokezo halafu ndiyo unasema umetoa historia!! Ni sawa na mie niseme kuwa Paulo alipoenda kwa watu wa mataifa(ambao walikuwa wakiwaita watu Miungu) ndipo aliporudi na idea ya kuwa Yesu ni Mungu. Hivyo hiyo nayo ndiyo itaitwa historia tena bila ushahidi wa kuthibitisha hayo niliyoyasema?

Nimekupa nafasi ueleze kwa vizuri na kutowa ushahidi wa historia yako, sasa sijui ni nini unachotaka zaidi.
 

Kwa kifupi tu nikuulize kwamba unaamini kuwa Qur'an ni maneno ya mtu tu na si maneno ya Mungu kama inavyojulikana na waislamu?
 
Last edited by a moderator:
Mungu mwingine anasema jifunge mabomu uue wasio na hatia uende mbinguni aliko. Huyo mungu jamani

Kweli hiyo? Nakumbuka Musa naye kwn biblia alipewa amri ya kuuwa hadi watoto,inaelekea naye alikuwa anataka kwenda mbinguni.
 

Nimeweka historia na evolution ya Islamic Allah. Short and clear
Nimeandika Makuraish kabla ya Uislam walikuwa wanaabudu kwenye madhabahu iitwao Kaabah iliyiko Makkah.
Ndani ya Kaabah ambapo ndipo Allah yalikuwa makazi yake na wasaidizi wake wapatao 360 wakiwepo pia mabinti zake watatu ndipo ilipokuwa sehemu takatifu ya Makuraish kabla ya Uislam
Muhammad alipokuja na alipoanzisha Uislam alikopi namba ya Ibada ya makuraish kwa kiasi kikubwa na kuongeza namna mpya pia, aliwaondoa wasaidizi wa Allah pamoja na mabinti zake akabaki na Allah pekee asiye msaidizi wala means an ndiye Allah unayemwabudu wewe
Unataka iwe kurasa ngapi ndipo uelewe ?

Ama kuhusu mtume Paulo nimekuruhusu andika chochote ulichokaririshwa nitakijibu.
Yesu Kristo kuitwa Mungu alianza mwenyewe Paulo mnamsingizia kwa kuwa ukweli wake unawachoma.
 

Hahahahahaaaaa! Kumbe ni she!!!

Ivi Nkwesa kule niliongelea utofauti na ufanano wa Yese na Issa or wa Uislamu na Ukiristo?
 
Last edited by a moderator:

Duh! Haya tuendele..sasa unathibitisha vp hayo uliyoyaeleza.
 
Kwa kifupi tu nikuulize kwamba unaamini kuwa Qur'an ni maneno ya mtu tu na si maneno ya Mungu kama inavyojulikana na waislamu?

Exactly. tofauti yake na biblia ni biblia ni kwamba imeandikwa na wengi thus why contadiction zake ni nyingi. (naomba unielewe vizuri ninaposema Qurani imeandikwa na mtu mmoja simanishi Muhammad alichukua peni na kuiandika mwenyewe but only maneno yake ndio yamo mle) Mungu hakushusha kile kitabu na ikiwa unapinga naomba unithibitishie kile kitabu kimeshushwa na Mungu na sio Muhammad.

Maneno ya Mungu hayawezi kuwa na uongo pia hayawezi kuwa unreasonable.

Quran kuruhusu ndoa kwa binti asievunja ungo na kuingiliwa ni zaidi ya ujuha (sorry kwa huo msamiati coz sikuona msamiati mbadala ambao ungenielewa hapo)

Then Mungu kusema aliumba ardhi na mbingu bila ya kusimamisha nguzo inaonesha Mungu haijui vizuri dunia. coz aliamini mbingu ni solid material yenye uzito kiasi kwamba bila ya nguvu zake mbingu isingesimama na ingedondoka.

Jee unaweza kunifafanulia mbingu ni nini according to Islam?
 
Nkwesa Makambo kwa uelewa wako biblia ni nini na ni maneno ya nani? Kwa misingi ipi?

Naomba twende kwa vifungu hapa sihitaji blaa blaa.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu lada tena nikuulize,yale mambo ya kisayansi yalielezwa kwn Qur'an na wanasayansi wamethibitisha hayo je,unaweza kuniambia kuwa Mtume muhammad alisomea wapi hiyo sayansi ktk zama zile tena akiwa hajui hata kusoma?


Nataka tuangalie kwanza dai la Qur'an kutungwa na binadamu.
 

Naona umeshindwa kuthibitisha..hapo makka watu walikuwa wakiabudu masanamu na ndiyo wakawa wameweka hao masanamu 360 ndani ya Al kaaba, Mtu alipofanikiwa kuuteka mji wa Makka akavuja hiyo misanamu.

Maelezo yako hayana uhalisia.
 
Hana lolote huyo mpuuzi tu mmoja linajifanya linajua lkn ni pumbafu moja tu tena halina akili. We angalia michango Yake yote linaongea ujinga ujinga. Mafuasi ya makanisa ya kiroho ni shida sn! Misukule inayoburuzwa na mapambio na sebene za kikongo!

Nkwesa Makambo means Nvuta Bangi....kavutishwa bangi ya ulokole huyu-na kalewa hasa pasi na kuelewa chochote,..anakwenda kwenda tu kama ling'ombe.

Ni miongoni mwa makondoo ya Gwajima huyo.
 
Anza wewe kuweka vifungu niige toka kwako. Ondoa hizi bla bla kwanza

Nimekuuliza biblia ni nini? maneno ya nani na kwa misingi ipi? umeshindwa kujibu. Sasa unataka mimi nifanyeje hapo. embu chukulia mimi sijui lolote kuhusu biblia sasa wewe unanipa somo. teh teh teh!!!
 

Hahahahaaaaa! Tz mbongo uwe unajibu na maswali ninayokuuliza. usitemee mimi kujibu ya kwako tu.

Mambo ya kisayansi ktk quran kweli yapo. but sio kigezo kwamba kujua mambo hayo kabla huu ni uungu.

Aristotle aliongelea gravitation force toka karne ya 4 but wanascience wameproof hilo karne ya 18! achilia mbali Quran ya karne ya saba. Sasa sijui utasemaje hapo.
Na hiyo tu but kunatheory nyingi za kisayans zilizozungumziwa miaka mingi iliyopita na kuwa proved miaka hii.

Naomba unijibu yale maswali niliyokuuliza.
 

Kumbuka hoja ni kwamba Qur'an imetungwa na binadamu na ina contradiction. Sasa mie nimeanza na kuangalia na jambo la kwanza kwamba Qur'an imetungwa na binadamu au la,tukishamaliza hapo ndiyo tuje ktk maswali yako yenye kuhusu contradiction. Kumbuka huko juu umesema kuwa hivi vitabu yapo mambo ya kweli na ya uzushi nakumbuka hilo,hata mie naamini kuwa biblia ina maneno ya kweli ya mungu na kuna ya uzushi ambayo ndiyo panapopatikana contradiction, sasa pia suala la Qur'an inabidi kwanza tujue ni kutoka kwa Mungu? halafu ndiyo tuje kwn contradiction. Kwa sababu kumbuka kitabu cha Qur'an ndicho ambacho pekee chenye kujieleza kwa uhakika kuwa hakina hata chembe ya kosoro kwa maana hakijatiwa mkono na binadamu na wala haitotokea hivyo.

Nafikiri umenielewa,sasa swali langu la sayansi kwn Qur'an haujajibu kama jinsi swali lenyewe lilivyo.
 
Kweli kabisa Quran imesema hivyo. na hiyo ni sababu nyengine ya mimi kuchopoka huko.
Nafikiri umenielewa,sasa swali langu la sayansi kwn Qur'an haujajibu kama jinsi swali lenyewe lilivyo.

Nakuelewa vizuri Tz mbongo. wewe tu hutaki kunielewa. Ok hapa nadhani nimeshakujibu dai la kisayansi kutokana na uwepo wa theory nyingi za kisayansi zilizotolewa na watu tofauti kabla ya kuproviwa miaka hii. Nadhani tuko pamoja hapo.

Qurani si Maneno ya Mungu na ikiwa ndio basi yamechanganywa na maneno ya watu waongo na wasioweza kufikiri sawa sawa!!!!! sadly Quran yenyewe imejieleza kwamba mle hakuna neno ata moja la mtu or kitu chengine chochote.

Kwa maana hiyo ule uongo na unreasonableness vilivyo mle ni vya Mungu mwenywewe. Narudia tena kutokana na hayo ndio nimechopoka huko coz Mungu hawezi kuwa na udhaifu huo. Usiniulize udhaifu gani coz nimeelezea huko juu na nikakuuliza but hukutaka kunijibu kwa madai kwamba tujadili whether ni maneno ya Mungu or ya mtu. ok. mimi nakuelewa vizuri tu.
Na hapa najikita kwenye hilo.

Qurani si maneno ya Mungu coz Mungu hakukishusha hiko kitabu bali Muhammad ndie aliekuwa akiongea na maswahaba wakaandika. So ikiwa unaushahidi kwamba Maneno hayo hayatoka kwa Muhammad naomba uweke huo ushahidi.

Hoja no: mbili.

Ukitoa ushahidi wa maneno kutoka ktk Quran yenyewe unijbu pia ikiwa Mungu ni unreasonable na pia unijibu ikiwa Mungu anaweza kusema uongo. coz hata hivyo vinapatikana kwenye Quran hiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…