A God can be a mere theory, nothing more

'....religion is opium of society...' Karl Marx. so it is not a theoru but ganja. Jinsi wanadamu wanavyozidi kuelewa na kuweza kuyatawala mazingira yao ulimwenguni dini zitakwenda likizo na hatimae kustaafu.

Inamaana watu wanaoamini dini hadi sasa bado hawajajua mazingira yao na kuweza kuyatawala? hebu tuthibitishie hilo.
 

Aone everlenk hii.
 
Last edited by a moderator:

Ya kaisha wapanga kwa maana wote wanaweza kwenda peponi au wote wanaweza kwenda motoni bila yeye kupungukiwa na chochote wala kuongezekewa na chochote.
Maana mungu si mdhurumaji!
Kashakupa machaguzi na kakupa matokeo ya machaguzi hayo.
Ukifata mafundisho yake utanda peponi.
Usipofata utaenda motoni.
Najua hata wewe unayajua haya.

Na kanuni hii ndio inayotumika duniani.mwenye kufuata sheria Fulani atakua Fulani.

Na vinginevyo ni dhuruma na upendeleo.

Mungu hadhurumu wala hapendelei.
 

Kama unakataa kuwa mwezi uligawanywa.

Je, unakubali bahari ya shamu ilipasuliwa katikati watu wakavuka?

Je, unakubali watu wanafikaga mwezini?

Unaziamini sayari zingine?

Kwa nini?
 
Aisee ktk dini watu wanadanganywa sana, wengi huingia uoga wakiambiwa habari za motoni na story za watu walioangamizwa.

Orodhesha wapi kwa ushahidi wa nukuu za maandishi na ueleze ulivyoelewa,NINI MUNGU KADANGANYA?
 
Ikiwa ni hivyo hao wanaedai yupo wamemtambuaje?

Soma point no. 9 ktk thread Mkuu.

Mkuu unaweza kuelezea shetani ni nani? ni kiumbe?

Sasa kama kweli wewe umefanya utafiti,
Hujaona maahali panapoonesha jinsi ya kumtambua mungu?
 
Ikiwa ni hivyo hao wanaedai yupo wamemtambuaje?

Soma point no. 9 ktk thread Mkuu.

Mkuu unaweza kuelezea shetani ni nani? ni kiumbe?

Shetani ni roho ifundishayo mafundisho yaliyo kinyume na ya mungu kupitia kwa wanadamu.
 

Kila unachokifanya unajiamulia?
 

Udhaifu wetu naam!
Ila si udhaifu wa mungu.
God is perfect.
 
Mkuu jamaa amesema ukiristo sio dini kwa mtazamo wake.

Unaliongeleaje hilo?

Yuko sahihi, sababu hata kwenye biblia hakuna palipo andikwa ukristo ni Dini.
Labda mwenye andiko atufundishe!
 

Vitu hivyo havijasababishwa na Dini. Ila vimesababishwa na watu wanaoitumia vibaya Dini kwa maslahi yao.

Dini gani inafundisha ubepari,umwinyi,ugaidi na ukafiri? Maandiko tafadhali kabla ya maelezo.
 
Last edited by a moderator:

Akili unazo sawa! Una utashi kweli wewe?
 

Mfano mdogo: Hata wanafunzi wamepangiwa kufaulu na kufeli.
Atakayefanya vizuri atafaulu,atakayefanya vibaya kafeli.waweza feli/kufaulu wote au baadhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…