Mashaxizo ukumbuke kwamba uwepo wa dini au imani nyingi ndicho kitu pekee kinachoweza kusaidia kujua imani ya kweli ni IPI na kwa vigezo vipi ? Hii inawezekana baada ya kuchuja kwa vigezo na matendo yanayofit squarely na zile ziitwazo ndizo Sifa za Mungu wanayemtumainia.
Mashaxizo kupitia tofauti hizo ukijibidisha kuzitafutia majibu zinaweza kukuongoza kufikia pahala ambapo unaweza kutambua nani ameandika uongo say kuhusu Yesu Kristo Kati ya Biblia na Quran then utakuwa umeanza safari na kuendelea na safari ya kuchuja hadi ubakie na itayostahili kwa vigezo vya wazi.
Mimi kama mimi nikilinganisha ukweli, uongo na unreasonable teaching between Quran and Bible naweza kusema Quran ni bora kuliko Biblia, hapo siangalii matendo ya waumini hao bali naangalia kile kilichoandikwa mle ndani. ukichunguza vizuri vitabu hivyo utagundua udhaifu uliomo ktk Qurani pia umo ktk bible then kunaform ya udhaifu ndani ya bible haupatikani ktk Quran!!!!
Kilichonifanya nitilie mashaka Quran ni kwamba wanasema mle ni pure maneno ya Mungu tu. na kwangu Mungu hawezi kusema uongo.
Uwepo wa dini nyingi unaweza kuwa kigezo cha dini sahihi but udhaifu wa dini hizo unauongeleaje? (coz zote zinaudhaifu)
Mimi kama mimi nikilinganisha ukweli, uongo na unreasonable teaching between Quran and Bible naweza kusema Quran ni bora kuliko Biblia, hapo siangalii matendo ya waumini hao bali naangalia kile kilichoandikwa mle ndani. ukichunguza vizuri vitabu hivyo utagundua udhaifu uliomo ktk Qurani pia umo ktk bible then kunaform ya udhaifu ndani ya bible haupatikani ktk Quran!!!!
Kilichonifanya nitilie mashaka Quran ni kwamba wanasema mle ni pure maneno ya Mungu tu. na kwangu Mungu hawezi kusema uongo.
Mkuu Mashaxizo tukiachana na habari za dini mie naamini kabisa uwepo wa nguvu za uumbaji ambazo lazima kutakuwa na chanzo chake. Hata mababu zetu kabla ya mapokeo ya hizi dini za Ukristo na Uislamu walikuwa na namna zao za kuabudu.
Hao mababu zetu walikuwa wakimuabudu nani?
Pasipo kutazama mafundisho ya dini yoyote ile ninaamini kabisa uwepo wa MUNGU, hizi dini zimekuja kutusaidia tu kuweza kumjua vizuri MUNGU japo mafundisho yake wakati mwingine yanachanganya.
Wao walikuwa wakiabudu mizimu ambayo kwayo waliamini ndio miungu yao, ila baada ya dini kuingia mambo yakabadilika.
Mkuu unataka kusema kwamba dini zimekuja hali ya kuwa tayari watu wanamjua mungu?
Mkuu nachelea kusema hivyo kwani yawezekana mada inataka kutufunga tutolee udhibitisho kati ya mafundisho ya kidini na uwepo wa MUNGU ambapo mie sikupenda kubishana ndani ya imani za kidini. Nimetoa tu jibu jepesi kuwa hata kabla ya kuja kwa hizi dini mababu zetu walikua na tamaduni zao za kuabudu na walijua kabisa hawapo duniani kwa bahati mbaya yupo aliyemkuu kuliko wao na ndiye waliyekuwa wakimuabudu kwa taratibu zao za kale. Kuja kwa hizi dini ni mapokeo mengine ya taratibu za kumwabudu MUNGU wa kweli na kuyaishi yaliyo mema.
Mkuu napata shida kuamini kwamba mababu zetu walikuwa na uelewa wa hayo uliyoyaeleza walipokuwa wakiabudu mizimwi yao.
Tatizo lako ni kwamba unatumia logic kwa mambo mabayo yanataka Metaphysical approach ili kuyaelewa.Ukitumia logic kwenye mambo ya kiimani ni sawa tu na kumbiza kuvuli chako mwenyewe....utapoteza muda tuu na hutapata majibu ya kufaa!Nakusoma vyema mkuu.
Embu tujaribu kueka inference hii:
Kwamba wewe unawatoto wako wawili, unawapenda sana, ukawambia kitu fulani msifanye (coz kinamadhara kwao) but watoto wakakengeuka na kufanya. Jee utawaacha tu kwa vile ulishawakataza?
Does it logically? If not, why?
Yawezekana ukawa sahihi, ila ukumbuke hata sie tunajazana makanisani na msikitini ila wengi wetu hatuna ufahamu na MUNGU tunayemwabudu.