A God can be a mere theory, nothing more

A God can be a mere theory, nothing more

Mashaxizo ukumbuke kwamba uwepo wa dini au imani nyingi ndicho kitu pekee kinachoweza kusaidia kujua imani ya kweli ni IPI na kwa vigezo vipi ? Hii inawezekana baada ya kuchuja kwa vigezo na matendo yanayofit squarely na zile ziitwazo ndizo Sifa za Mungu wanayemtumainia.

Uwepo wa dini nyingi unaweza kuwa kigezo cha dini sahihi but udhaifu wa dini hizo unauongeleaje? (coz zote zinaudhaifu)
 
Last edited by a moderator:
Mashaxizo kupitia tofauti hizo ukijibidisha kuzitafutia majibu zinaweza kukuongoza kufikia pahala ambapo unaweza kutambua nani ameandika uongo say kuhusu Yesu Kristo Kati ya Biblia na Quran then utakuwa umeanza safari na kuendelea na safari ya kuchuja hadi ubakie na itayostahili kwa vigezo vya wazi.

Mimi kama mimi nikilinganisha ukweli, uongo na unreasonable teaching between Quran and Bible naweza kusema Quran ni bora kuliko Biblia, hapo siangalii matendo ya waumini hao bali naangalia kile kilichoandikwa mle ndani. ukichunguza vizuri vitabu hivyo utagundua udhaifu uliomo ktk Qurani pia umo ktk bible then kunaform ya udhaifu ndani ya bible haupatikani ktk Quran!!!!

Kilichonifanya nitilie mashaka Quran ni kwamba wanasema mle ni pure maneno ya Mungu tu. na kwangu Mungu hawezi kusema uongo.
 
Ha ha ha nimecheka kwa kuwa Mimi nakuona ulikuwa ubatafuta similarities za apple na pineapple then ukahitimisha.
Quran inabaadhi ya mambo ambayo yapo pia kwenye Biblia, Quran ni tungo ya MTU mmoja, biblia na maandishi ya watu 40 hivi.... Ni saw a na kusoma habari iliyoandikwa na wanahabari 40 ukalinganisha na makala ya MTU mmoja yenye baadhi ya hoja za waandishi tofauti 40.
Nimekweleza tofauti "ndogo ndogo " kwa mtazamo wako kuwa ndizo zinazofanya tofauti uislam na Ukristo, sijui Kama umeziona na umeelewa tofauti na ulivyokuwa unawlewa.
Mimi naamini kwamba alitetumwa na Mungu anatakiwa awe morally juu ya wale anaowapa ujumbe wa Mungu.
Kinyume chake anayosema yanakuwa personal opinion. Ndivyo navyomwona Muhammad ambaye maadili yake ni utata mtupu kwa mtazamo wangu
 
Uwepo wa dini nyingi unaweza kuwa kigezo cha dini sahihi but udhaifu wa dini hizo unauongeleaje? (coz zote zinaudhaifu)

Udhaifu wako katika uelewa wa imani husika waweza kuwa ndiyo unachoona udhaifu imani.
Sawa na ulipoandika kwamba kuna tofauti ndogo za Sifa za Yesu kwenye Quran na Biblia wakati ukweli tofauti ni kubwa mmno kwa kuwa zinahusu misingi ya imani
Hapo udhaifu ni uwwzo wako wa kutafakari huwezi singizia imani ya Kukristo Mashaxizo
 
Last edited by a moderator:
Mimi kama mimi nikilinganisha ukweli, uongo na unreasonable teaching between Quran and Bible naweza kusema Quran ni bora kuliko Biblia, hapo siangalii matendo ya waumini hao bali naangalia kile kilichoandikwa mle ndani. ukichunguza vizuri vitabu hivyo utagundua udhaifu uliomo ktk Qurani pia umo ktk bible then kunaform ya udhaifu ndani ya bible haupatikani ktk Quran!!!!

Kilichonifanya nitilie mashaka Quran ni kwamba wanasema mle ni pure maneno ya Mungu tu. na kwangu Mungu hawezi kusema uongo.

Sasa bwana Mashaxizo umeongelea ukweli ama uongo na unreasonable teachings
Mimi Quran inapoandika Yesu Hakufa ! Huo ni uongo perse
Quran inapoandika Yesu atakana kwamba alijitambulisha yeye Mungu! Huo ni uongo mtupu
Quran inapoandika kwamba Mungu baba,Mungu mama na Mungu mwana ni fundisho la utatu la wakristo in uongo kabisa
Hayo ni machache ambayo waislam hufundishwa kwamba ni tofauti za maandishi lakini sio tofauti Bali moja ni uongo kamili, kwangu Quran ndiyo imeandika Uongo.
 
Last edited by a moderator:
Nkwesa Makambo naona ujibia imani rather than fact, nnaposema hivo vitabu vinasema uongo hata siongelei huku wameeleza kitu fulani hivi wakati kule kimeelezewa vile. hivyo mtabishana wenyewe. nimegundua waislamu hupewa sumu nyingi dhidi ya ukiristo na biblia pia wakiristo hupewa sumu dhidi ya uislamu na quran. nakushauri pitia vizuri hayo matabu. Mimi sitetei kitabu chochote hapo, na hata sipendi nitetee uislamu hapa.

Najua unaamini ukirosto ni dini sahihi. let us stick on that.

Kwani biblia inamaagano mawili?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mashaxizo ingekuwa vizuri kama ungejaribu kutaja vigezo ambavyo kwako unaona ni muhimu kwa kutambua dini iliyosahihi.
 
Last edited by a moderator:
"...Na hapo ndipo niliposema kwamba anaweza kuwepo but sie huyu anaeongelewa na Muslims and Christians."

Hapa umehit the spot sasa from my perspective na research yangu nliofanya first of all napinga sana ile story ya dunia ilivoumbwa, adam na hawa mara bustani ya edeni mara nyoka akawadanganya wakala mti wa kati , nyoka kulaaniwa na kutambaa sasa kama ni shetani alimwingilia nyoka kosa lake liko wapi na kama laana alipewa nyoka tu nin kilifanya wanyama wengine waache kuongea hizo ni story tu mtu aliandika kwa mtazamo wake a couple thousand years ago saivi kuna well elaboration ya theories kuexplain jinsi planet inavojitengeneza so kama dini ingeanza leo basi kuna namna wangelifitisha hili kwenye maandiko na yakaeleweka ila tatizo maandiko they're so old kwanin usiambiwe mafuriko yalitokea dunia nzima eti viumbe vili survive kisa kila kimoja kilibebwa kwenye boti flani!! Really?! ... Au mtu mweusi chanzo chake ni laana kuna mtu alimchungulia mzazi uzao wake uwe wa giza ndo ngozi hii nyeusi ilipoanzia seriously?! Ukieza kuamini hiyo story utaishi utumwani miaka yako yote sijawahi kuikubali hii kauli(chanzo cha mtu mweusi) kuanzia nlivokua mdogo nlivoeleZwa hivyo nlikataa mimi kua ni laana...haya lets drop that ninavoamini kama kweli Huyu Mungu ana exist basi sisi wanadamu pengine hatujajua ukuu wake if God is infinity how can his creation be less huu ukuu wa Mungu hautoshi kusmamiwa na vitabu vitatu vilivoandikwa karne ya kwanza kama Mungu kweli yupo na ukuu wake una exist hata sasa inabidi kuwe na a new body of knowledge inayoelezea ukuu wake currently na continuously
 
Mkuu Mashaxizo tukiachana na habari za dini mie naamini kabisa uwepo wa nguvu za uumbaji ambazo lazima kutakuwa na chanzo chake. Hata mababu zetu kabla ya mapokeo ya hizi dini za Ukristo na Uislamu walikuwa na namna zao za kuabudu.
 
Last edited by a moderator:
Pasipo kutazama mafundisho ya dini yoyote ile ninaamini kabisa uwepo wa MUNGU, hizi dini zimekuja kutusaidia tu kuweza kumjua vizuri MUNGU japo mafundisho yake wakati mwingine yanachanganya.
 
Hao mababu zetu walikuwa wakimuabudu nani?
 
Last edited by a moderator:
Pasipo kutazama mafundisho ya dini yoyote ile ninaamini kabisa uwepo wa MUNGU, hizi dini zimekuja kutusaidia tu kuweza kumjua vizuri MUNGU japo mafundisho yake wakati mwingine yanachanganya.

Mkuu unataka kusema kwamba dini zimekuja hali ya kuwa tayari watu wanamjua mungu?
 
Wao walikuwa wakiabudu mizimu ambayo kwayo waliamini ndio miungu yao, ila baada ya dini kuingia mambo yakabadilika.

Navyojua ni kwamba mababu zetu waliabudu mizimwi kwa kutaka kutimiziwa haja zao lakini sijui kama walikuwa na uelewa wa uumbaji na kuihusisha hiyo mizimwi yao na uumbaji.
 
Mkuu unataka kusema kwamba dini zimekuja hali ya kuwa tayari watu wanamjua mungu?

Mkuu nachelea kusema hivyo kwani yawezekana mada inataka kutufunga tutolee udhibitisho kati ya mafundisho ya kidini na uwepo wa MUNGU ambapo mie sikupenda kubishana ndani ya imani za kidini. Nimetoa tu jibu jepesi kuwa hata kabla ya kuja kwa hizi dini mababu zetu walikua na tamaduni zao za kuabudu na walijua kabisa hawapo duniani kwa bahati mbaya yupo aliyemkuu kuliko wao na ndiye waliyekuwa wakimuabudu kwa taratibu zao za kale. Kuja kwa hizi dini ni mapokeo mengine ya taratibu za kumwabudu MUNGU wa kweli na kuyaishi yaliyo mema.
 
Mkuu napata shida kuamini kwamba mababu zetu walikuwa na uelewa wa hayo uliyoyaeleza walipokuwa wakiabudu mizimwi yao.
 
Nakusoma vyema mkuu.

Embu tujaribu kueka inference hii:
Kwamba wewe unawatoto wako wawili, unawapenda sana, ukawambia kitu fulani msifanye (coz kinamadhara kwao) but watoto wakakengeuka na kufanya. Jee utawaacha tu kwa vile ulishawakataza?

Does it logically? If not, why?
Tatizo lako ni kwamba unatumia logic kwa mambo mabayo yanataka Metaphysical approach ili kuyaelewa.Ukitumia logic kwenye mambo ya kiimani ni sawa tu na kumbiza kuvuli chako mwenyewe....utapoteza muda tuu na hutapata majibu ya kufaa!
 
Laiti kama ungejua nguvu na Mamlaka ya Jina la Mungu unalolitaja taja Bila Heshima na Adabu usinge andika uzi wako huu.

Binadamu ni kiumbe dhaifu sana, Hata awe vipi upeo wake wa kutambua na kufikiri ni mdogo sana kuweza kutambua Mamlaka zote za Mungu.

Anyway you have free chance to choose either to believe on God or Devil.

Jiulize tu swali hili dogo,... Mtu anawezaje kufanya miujiza?? Kwa mfano wakina Chriss Angel, David Blain(Google kwa kujua zaidi) na wengine wengi...! Waliwahi kutamba ulimwenguni kwa kufanya miujiza kwa nguvu za shetani.

So kama mtu anaweza kutumia nguvu za shetani kufanya miujiza basi kwa namna yoyote Mungu anaetajwatajwa yupo na anatenda miujiza vilevile.

Back
Top Bottom