Mashehe waliokupa siasa hakujua ama labda hawakuwa na elimu juu ya hilo swala, lakini kwa taarifa moses waislam tunaita musa alikuwa mweusi, ingawa wengi hawajui hili. Na ndo maana Mungu alimpa miracle ya mkono wake akiweka kwenye kwapa akiachia unakuwa mweupe, kuna mtu anaitwa luqman kwenye Quran Mungu amemuelezea ukarasa mzima kwa wema wake aliofanya nae pia alikuwa mweusi ingawa hakuawa Mtume