A God can be a mere theory, nothing more

Je itakuwa vipi unamwamini mungu na kumbe mungu unayemwamini ni mpinzani wa uhalisia. Kumbe ambaye humwamini ndiye aliyekuwa anatakiwa. Itakuwa vipi?

Mi naamini Mungu ni mmoja. Hakuna Mungu Ukawa wala CCM.
 
Kwa nini kuna kitu chochote kilichopo na kinachoonekana? Sayansi imethibitisha kuwa vitu vyote tunavyoona vimewekwa hapo kwa nguvu msingi kuu nne;
  1. Strong force - Nguvu kubwa - Hii wakati mwingine huitwa nguvu ya kiini (Nuclear Force) na husababisha uwepo wa viini vya tonoradi (Atomic Nucleus)
  2. Electroweak forces - Nguvu dhaifu sana
  3. Electromagnetic forces - Nguvu ya umemesumaku
  4. Nguvu ya uvutano - Gravitation force
Sayansi bado inatafuta nguvu kuu inayounganisha nguvu hizo katika mifumo tofauti tofauti na kusababisha uwepo wa chochote kilichopo; kinachoonekana kwa macho na kisichoweza kuonekana kwa macho. Nguvu hiyo inatafutwa katika kipande kinachoitwa "Higgs Boson" inayosababisha "Higgs Field" ambayo ndo inaelezea uwepo wa tungamo (Mass). Vitu vyote vyenye tungamo (Mass) ndo tunavyoviita ulimwengu - Sayari, Nyota, Galaksia na Makundi ya Galaksia. Tonoradi ni sehemu ndogo sana ya sayari na tonoradi huweza kuvunjwa vunjwa na hatimaye unagundua kuwa tonoradi huundwa na nguvu tatu nilizozitaja hapo mwanzo (isipokuwa tu Nguvu ya uvutano). Bado sayansi inatafuta ni katika kiwango gani vipande vya chini kabisa vya tonoradi yaani kwaks zinapopata tungamo, kwani hapo ndo nguvu hubadirika na kuwa vitu. Uhusiano huu ukiweza kuelezeka; msingi wa uwepo wa vitu vyote vilivyopo utakuwa umepatikana. Uhai tunaoujua ni sehemu ya sayari (planets) kwa maana kuwa uhai huzuka katika sayari yoyote yenye mazingira wezeshi. Je huhai huzuka tu? Wengine wanasema uhai umeanzia kwa mungu na husema kuwa uwepo wa vitu vyote unawezeshwa na nguvu ya uumbaji - Mungu. Kwa kuwa utaalam wa utambuzi na ung'amuzi wa mazingira na vilivyomo na mahusiano yake; yaani sayansi haijaweza kuunganisha au kutoa majibu ya maswali yote - wengi bado wanaamini katika maarifa ya "kiroho" na maelezo yanayotolewa "kiroho".

Swali la mleta mada ikiwa Mungu yupo au hayupo, ni swala la kifalsafa. Kwa sasa hakuna jibu moja; kutegemea aina ya maarifa aliyonayo mtu kiroho. Hata hivyo, njia za kisayansi hazijaweza kuthibitisha uwepo au kutokuwepo kwa Mungu na wengi wanajiuliza ikiwa sayansi inao uwezo wa kutoa majibu. Njia za kisayansi ni njia bora zaidi za kujifunza maarifa yasiyojulikana bado. Kwa kuwa sayansi haijaweza kutupa majibu, tunachukulia majibu yaliyopo kuwa ni majibu sahihi mpaka hapo maarifa mapya yatakapopatikana.

Majibu yaliyopo leo yanasema Mungu huweza kujulikana tu kwa yeye mwenyewe kujidhihirisha vinginevyo mwanadamu hawezi kutambua (au kung'amua) uwepo wa Mungu. Maelezo ya kiroho hutuambia kuwa Mungu asipojidhihirisha kwako kamwe huwezi kumtambua (Au kung'amua uwepo wake). Katika biblia, kitabu cha Mwinjili Mathayo Yesu aliwauliza wanafunzi wake "watu husema mimi ni nani?" wanafunzi wake walitoa majibu mengi, hatimaye akawauliza nanyi mwaniita nani? Simulizi hili la Mathayo linatuambia kuwa Petro alimjibu yesu jibu sahihi - Yesu akamwambia jibu hilo lazima ameambiwa na nguvu kubwa zaidi kwani mwili na damu haviwezi kutambua hivyo. Kwa hiyo wakristo wanaomwamini Mungu kupitia kwa Yesu Kristo huamini kuwa hatuwezi kumtambua Mungu hadi yeye Mwenyewe ajidhihirishe kwetu - hapo huwa hatujiulizi tena.

Kwa hiyo, kwa kuwa muanzisha mada Mungu hajajidhihirisha kwako, ni vigumu sana kuwa utamjua au kung'amua uwepo wake. Siku akijidhihirisha kwako ama kwa hakika utamjua na hutahitaji kuuliza maswali. Kwa sasa unachoweza kufanya ni kuishi kama mwelekeo wa mawazo au fikra zinavyokutuma - ili mradi huvunji sheria za nchi.
 
Hahahahaaaaa! Your mind had blocked on wrong path, ukiwa mvivu wa kushindwa kutafuta ukweli utashikiliwa akili yako na mapasta mpaka unakufa.

Ningependa nikuswalike swali moja tu.
Ivi ungekuaje leo usingezaliwa na wazazi hao waliokupandikiza hiyo imani? let say ungezaliwa na waislamu.

Bwana yesu atukuzwe. Haleluya.
Cc: Karucee
Mashaxizo wewe unafikiri kwa vile binadamu tuko sawa hata viwango vya upumbavu ni sawa pia. Mkristo wa kukopi kwa wazazi hawezi kuwa na uwezo wa kujenga hoja au kujibu hoja.
Umedabganywa kuamini kwamba MTU kuwa Mkristo au kuwa na imani ni kwa sababu ya kurithi tu
Mimi numezaliwa na wazazi Wakristo tangu nikiwa na miaka 4 nimelelewa na familia ya kiislam kwenye ukoo lakini sikulazimishwa kuacha ukristo kwa kuwa nilikwisha batizwa.
Lakini hakuna wakati ambapo nimekoma kuuliza maswali kuhusu dini na Imani.
Kwangu Mimi uwepo wa Mungu hauna uhusiano na namna binadamu wanavyo mwabudu.
Hakuna pahala nikajibu kuhusu Mungu wangu kwa kunukuu andiko toka biblia kwa kuwa ninafahamu namna watu wanavyoshindwa kusoma na kuelewa biblia hivyo nahitaji muda kujibu maswali yatokanayo na uwezo mdogo wako kuielewa biblia na hivyo natumia broad picture ya Mungu kuhusu Uumbaji.
Kimsingj unaandika kilimbukeni huna hoja yoyote sawa na Mkuu wenu Kiranga na problem of evil ambapo akiulizwa evils kisayansi ndiyo madudu gani anashindwa kuelewa mantiki ya swali huku akiamini katoa swali gumu wakati linaonyesha hafikiri zaidi ya kukariri.
 
Last edited by a moderator:
Mi acha tu niamini Mungu yupo nikamkose kuliko niseme hayupo afu mwisho wa siku nakutana naye kwenye kiti cha enzi kakunja nne yake huku akimimina Safari Lager... Hakyamama ntakimbilia wapi mimi mdhambi??

Hahahahaaaaa! Babu Asprin kumbe unapitaga kona hizi!!!

Anyway. Mkuu Mungu anaweza kuwepo kwa maana ya super natural power, but huyu anaeongelewa na waislamu na wakiristo hayupo coz ni muongo sana na ni mbaguzi. A real God hawezi kuwa na udhaofu especially udhaifu huo. Anaweza akawepo lakini hawezi kuwa na pirika za kutaka waumini wake waende makanisani na misikitini, hawezi kufagilia sifa za viumbe dhaifu, hawezi kukomand watu wakae na njaa kutoka asubuhi kali mpaka jioni na kubwa zaidi hawezi kusema uongo.

Wee jiachie tu Asprin mpango wa kudanganywa na kukatazwa vitam ndio sipenda.
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo sababu ninakwambia ufiche upumbavu wako. Nionyeshe " young earth theory " kwenye biblia.
Kuna watu wapu.mbavu sawa wewe ndiyo wanahangaika na hizo theory lakinibiblia haina theory yoyote kuhusu umri wa dunia zaidi ya ilivyoandika kwwnye genesis 1.1 na genesis 1:2...
Mungu unayemwaminj wewe weka Sifa zake hapa nizione.
unapenda kuniita mpumbavu anyway najua uko desparate kumtete Mungu wako.

wakristo wana amini dunia ina umri kati ya miaka 6000-10000 mpaka sasa hiyo ndio young earth theory kwa nyie creationist.

naomba unijibu maswali yafuatayo.
1. una amini Mungu aliumba dunia kwa siku 6 na siku ya 7 akupumzika.
2. umeshawahi fuata vizazi vya Adamu mpaka Yesu kama alivyoandika luke na mark kwenye biblia.
3. hebu jaribu kujumlisha miaka yao uone kama utashindwa Rejea calculation za wachungaji wako Is the Earth 6,000 Years Old?

pia punguza jazba mkuu unatakiwa kuwa huru kutoka kwenye myth za bible na koran
 
Mi acha tu niamini Mungu yupo nikamkose kuliko niseme hayupo afu mwisho wa siku nakutana naye kwenye kiti cha enzi kakunja nne yake huku akimimina Safari Lager... Hakyamama ntakimbilia wapi mimi mdhambi??

Hahahahaaaaa! Babu Asprin kumbe unapitaga kona hizi!!!

Anyway. Mkuu Mungu anaweza kuwepo kwa maana ya super natural power, but huyu anaeongelewa na waislamu na wakiristo hayupo coz ni muongo sana na ni mbaguzi. A real God hawezi kuwa na udhaofu especially udhaifu huo. Anaweza akawepo lakini hawezi kuwa na pirika za kutaka waumini wake waende makanisani na misikitini, hawezi kufagilia sifa za viumbe dhaifu, hawezi kukomand watu wakae na njaa kutoka asubuhi kali mpaka jioni na kubwa zaidi hawezi kusema uongo.

Wee jiachie tu Asprin mpango wa kudanganywa na kukatazwa vitam ndio sipenda.
 
Last edited by a moderator:
Mashaxizo

Kadiri siku zinavyoongezeka na elimu inavyoongezeka ndivyo huyu mungu anavyozidi kuonekana si wa uhalisi na ametungwa tu.

Kuna maswali kuhusu logical consistency na the problem of evil nimeuliza hapa mpka leo sijapewa majibu ya kueleweka.

Yaa! kweli kabisa. But nimegundua ni wachache wanaotafuta kweli, watu ni wavivu wa kutafuta as a result wanabaki na uongo waliomezeshwa, ni afadhali nimegundua mapema coz nikifikia unreasonable viboko nilivyochapwa madrasa na kuekwa na njaa siku mzima kwa sababu ya imani naona aibu hata kuelezea!!!!

Cha muhimu ni kwamba umegundu ukwel na umekubali kutoka nje y box kribu sana katika ulimwengu huru Mashaxizo
 
Last edited by a moderator:
Biblia hajawahi kusema kuwa dunia ni tambalale au kuwaingilia watoto wadogo,kama unaushahidi juu ya haya mawili na Mimi leo nitajiunga na ukafiri kama wewe,nathibitishie kwa kutumia biblia na sio kitabu kingine

Kwanza tuanze kidogo kidogo
Earth without form
Genesis 1:2
And the earth was without form, and void; and darkness was upon the face of the deep. And the Spirit of God moved upon the face of the waters.

Earth has four corners

Is. 11:12 And he shall set up an ensign for the nations, and shall assemble the outcasts of Israel, and gather together the dispersed of Judah from the four corners of the earth.

Rev. 7:1 And after these things I saw four angels standing on the four corners of the earth, holding the four winds of the earth, that the wind should not blow on the earth, nor on the sea, nor on any tree.

Hebu nakuomba soma hapo kwanza

Foundations and Pillars

Ps. 104:5 Who laid the foundations of the earth, that it should not be removed for ever.

2 Sam. 22:16 And the channels of the sea appeared, the foundations of the world were discovered, at the rebuking of the LORD, at the blast of the breath of his nostrils.
Job 38:4 Where wast thou when I laid the foundations of the earth? declare, if thou hast understanding.

Zech. 12:1 The burden of the word of the LORD for Israel, saith the LORD, which stretcheth forth the heavens, and layeth the foundation of the earth, and formeth the spirit of man within him.

Ninakupa kazi ya kuanzakunieleza kutoka na maandiko hayo je biblia imesema dunia ikoje?
 
Kila mtu aandike mababu zake kwa kitabu wewe unahisi kutakua na vitabu vingapi na kwa faida gani? Then mfumo wa uzazi unajulikana. Sema wewe ikiwa Mungu alipeleka Manabii sehem nyengine. Haya madini yameletwa na wakoloni kuwafanya watu wawe watiifu ili dhumuni lao litimie. Narudia tena uislamu na ukiristo ni tamaduni za watu wa middle east zisizo na mahusiano yoyote na Mungu. Mungu hawezi kuwa muongo.
kumbe unaamini uwepo wa mungu sema hukubiliani na hizo imani katika maandishi yao
 
unapenda kuniita mpumbavu anyway najua uko desparate kumtete Mungu wako.

wakristo wana amini dunia ina umri kati ya miaka 6000-10000 mpaka sasa hiyo ndio young earth theory kwa nyie creationist.

naomba unijibu maswali yafuatayo.
1. una amini Mungu aliumba dunia kwa siku 6 na siku ya 7 akupumzika.
2. umeshawahi fuata vizazi vya Adamu mpaka Yesu kama alivyoandika luke na mark kwenye biblia.
3. hebu jaribu kujumlisha miaka yao uone kama utashindwa Rejea calculation za wachungaji wako Is the Earth 6,000 Years Old?

pia punguza jazba mkuu unatakiwa kuwa huru kutoka kwenye myth za bible na koran

Ungekuwa unaandika Kama MTU anayehitaji kujua na sio kujifanya mjuzi nisingekuona Una upumbavu. Mpaka utapoanza kuandika Kama MTU aliyenashaka na uelewa Fulani na anataka kujua nitakuwa unatumia hekima na uoumbavu kwako nitaufuta.

1.Umesoma wapi imani ya wakristo kuamini kwamba dunia Ina umri wa miaka 6000.
Mimi ni Mkristo na sijawahi kukutana na andiko linaloonyesha umri wa dunia naomba uniwekee, na hii ni moja ya vitu unavyoweza tumia kujithibitishia mwenyewe ulivyojawa na upumbavu ukifikiri ni ujanja.

2.Ni maana ya kufuata vizazi vya Yesu ? Nani kakwambia viliandikwa vikuwa ni kuthibitisha umri wa dunia ?

3.Mimi sifuata wasemacho wachumgaji nafuata maandiko nionyeshe hizo calculation katika maandiko.
Vinginevyo jitahidi kuficha upumbavu wako. Nasisitiza.
Ukiambiwa matatizo yako na upumbavu ulivyokujaa wewe unafikiri Mimi nina jazba, jitazame kwenye hoja zako hapo juu then jitathmini.
 
Hebu jamani someni hapa vitu vya kuchekesha vilivyoandikwa katika biblia

Genesis 1
9 And God said, Let the waters under the heaven be gathered together unto one place, and let the dry land appear: and it was so.
10 And God called the dry land Earth; and the gathering together of the waters called he Seas: and God saw that it was good.

11 And God said, Let the earth bring forth grass, the herb yielding seed, and the fruit tree yielding fruit after his kind, whose seed is in itself, upon the earth: and it was so.

12 And the earth brought forth grass, and herb yielding seed after his kind, and the tree yielding fruit, whose seed was in itself, after his kind: and God saw that it was good.
Eti nchi kavu ndio earth, halafu dunia imetengenezwa kutoka kwenye maji. Hii kali kweli.
 
Kwa nini kuna kitu chochote kilichopo na kinachoonekana? Sayansi imethibitisha kuwa vitu vyote tunavyoona vimewekwa hapo kwa nguvu msingi kuu nne;
  1. Strong force - Nguvu kubwa - Hii wakati mwingine huitwa nguvu ya kiini (Nuclear Force) na husababisha uwepo wa viini vya tonoradi (Atomic Nucleus)
  2. Electroweak forces - Nguvu dhaifu sana
  3. Electromagnetic forces - Nguvu ya umemesumaku
  4. Nguvu ya uvutano - Gravitation force
Sayansi bado inatafuta nguvu kuu inayounganisha nguvu hizo katika mifumo tofauti tofauti na kusababisha uwepo wa chochote kilichopo; kinachoonekana kwa macho na kisichoweza kuonekana kwa macho. Nguvu hiyo inatafutwa katika kipande kinachoitwa "Higgs Boson" inayosababisha "Higgs Field" ambayo ndo inaelezea uwepo wa tungamo (Mass). Vitu vyote vyenye tungamo (Mass) ndo tunavyoviita ulimwengu - Sayari, Nyota, Galaksia na Makundi ya Galaksia. Tonoradi ni sehemu ndogo sana ya sayari na tonoradi huweza kuvunjwa vunjwa na hatimaye unagundua kuwa tonoradi huundwa na nguvu tatu nilizozitaja hapo mwanzo (isipokuwa tu Nguvu ya uvutano). Bado sayansi inatafuta ni katika kiwango gani vipande vya chini kabisa vya tonoradi yaani kwaks zinapopata tungamo, kwani hapo ndo nguvu hubadirika na kuwa vitu. Uhusiano huu ukiweza kuelezeka; msingi wa uwepo wa vitu vyote vilivyopo utakuwa umepatikana. Uhai tunaoujua ni sehemu ya sayari (planets) kwa maana kuwa uhai huzuka katika sayari yoyote yenye mazingira wezeshi. Je huhai huzuka tu? Wengine wanasema uhai umeanzia kwa mungu na husema kuwa uwepo wa vitu vyote unawezeshwa na nguvu ya uumbaji - Mungu. Kwa kuwa utaalam wa utambuzi na ung'amuzi wa mazingira na vilivyomo na mahusiano yake; yaani sayansi haijaweza kuunganisha au kutoa majibu ya maswali yote - wengi bado wanaamini katika maarifa ya "kiroho" na maelezo yanayotolewa "kiroho".

Swali la mleta mada ikiwa Mungu yupo au hayupo, ni swala la kifalsafa. Kwa sasa hakuna jibu moja; kutegemea aina ya maarifa aliyonayo mtu kiroho. Hata hivyo, njia za kisayansi hazijaweza kuthibitisha uwepo au kutokuwepo kwa Mungu na wengi wanajiuliza ikiwa sayansi inao uwezo wa kutoa majibu. Njia za kisayansi ni njia bora zaidi za kujifunza maarifa yasiyojulikana bado. Kwa kuwa sayansi haijaweza kutupa majibu, tunachukulia majibu yaliyopo kuwa ni majibu sahihi mpaka hapo maarifa mapya yatakapopatikana.

Majibu yaliyopo leo yanasema Mungu huweza kujulikana tu kwa yeye mwenyewe kujidhihirisha vinginevyo mwanadamu hawezi kutambua (au kung'amua) uwepo wa Mungu. Maelezo ya kiroho hutuambia kuwa Mungu asipojidhihirisha kwako kamwe huwezi kumtambua (Au kung'amua uwepo wake). Katika biblia, kitabu cha Mwinjili Mathayo Yesu aliwauliza wanafunzi wake "watu husema mimi ni nani?" wanafunzi wake walitoa majibu mengi, hatimaye akawauliza nanyi mwaniita nani? Simulizi hili la Mathayo linatuambia kuwa Petro alimjibu yesu jibu sahihi - Yesu akamwambia jibu hilo lazima ameambiwa na nguvu kubwa zaidi kwani mwili na damu haviwezi kutambua hivyo. Kwa hiyo wakristo wanaomwamini Mungu kupitia kwa Yesu Kristo huamini kuwa hatuwezi kumtambua Mungu hadi yeye Mwenyewe ajidhihirishe kwetu - hapo huwa hatujiulizi tena.

Kwa hiyo, kwa kuwa muanzisha mada Mungu hajajidhihirisha kwako, ni vigumu sana kuwa utamjua au kung'amua uwepo wake. Siku akijidhihirisha kwako ama kwa hakika utamjua na hutahitaji kuuliza maswali. Kwa sasa unachoweza kufanya ni kuishi kama mwelekeo wa mawazo au fikra zinavyokutuma - ili mradi huvunji sheria za nchi.

Safi sana mkuu. always naaprishiate mtu mwenye ujuzi na maarifa na namkubali zaidi mtu anayeweza kureason.

Hapo umeongelea imani moja tu ya kikristo. Jee unaamini uislamu na dini nyengine sio sahihi? why?

Then ningependa kuuliza. Jee kwamtazamo wako unahisi Mungu anaweza kuongea uongo?
 
Hebu jamani someni hapa vitu vya kuchekesha vilivyoandikwa katika biblia

Eti nchi kavu ndio earth, halafu dunia imetengenezwa kutoka kwenye maji. Hii kali kweli.

Masikini ! Habu eleza namna unavyoelewa kinyume na hivyo ili uonyeshwe ulivyo mtupu umemezeshwa na umeshiba vitu ambavyo waliokumezesha wamevitapika na wrngine wanajisikia kuvitapika !
Bing bang ...
 
Wewe huna point yoyote ungekaa kimya ungekuwa na maana sana. Kwanza unapenda kutukana hovyo hovyo. Wewe siyo mstaarabu, kwa hiyo hufai kwenye mijadara. Matusi yamejaa mdomoni mwako.
 
Mashaxizo wewe unafikiri kwa vile binadamu tuko sawa hata viwango vya upumbavu ni sawa pia. Mkristo wa kukopi kwa wazazi hawezi kuwa na uwezo wa kujenga hoja au kujibu hoja.
Umedabganywa kuamini kwamba MTU kuwa Mkristo au kuwa na imani ni kwa sababu ya kurithi tu
Mimi numezaliwa na wazazi Wakristo tangu nikiwa na miaka 4 nimelelewa na familia ya kiislam kwenye ukoo lakini sikulazimishwa kuacha ukristo kwa kuwa nilikwisha batizwa.
Lakini hakuna wakati ambapo nimekoma kuuliza maswali kuhusu dini na Imani.
Kwangu Mimi uwepo wa Mungu hauna uhusiano na namna binadamu wanavyo mwabudu.
Mkuu hilo nimelielezea vizuri tu point no. 6 katika mada.
Hakuna pahala nikajibu kuhusu Mungu wangu kwa kunukuu andiko toka biblia kwa kuwa ninafahamu namna watu wanavyoshindwa kusoma na kuelewa biblia hivyo nahitaji muda kujibu maswali yatokanayo na uwezo mdogo wako kuielewa biblia na hivyo natumia broad picture ya Mungu kuhusu Uumbaji.
Jee unamanisha biblia huiamini?
Ikiwa unahisi ni wakiriato pekee ndio wanaweza kuitafsiri biblia vizuri huoni kwamba hata uislamu unaoukataa ni hivyo hivyo? coz hata Muialamu atawesema watu hawajui rules of interpretation pale wanapodoubt aya fulani imesema uongo or ni unreasonable! Hilo jambo nimelieleza point no. 5 ktk mada. Sasa itakuaje ikiwa wakiristo na waislamu wanataratibu zao za kutafsiri aya zao kiasi cha kupangua kila hoja mbele yao? jee hiyo itamaanisha uislamu ni sahihi na ukiristo ni sahihi pia? Hilo litawezekana vipi ukizingatia hizo dini zinatofautiana sana na Mungu wa wakiristo ni tofauti na yule wa waislamu?
Kimsingj unaandika kilimbukeni huna hoja yoyote sawa na Mkuu wenu Kiranga na problem of evil ambapo akiulizwa evils kisayansi ndiyo madudu gani anashindwa kuelewa mantiki ya swali huku akiamini katoa swali gumu wakati linaonyesha hafikiri zaidi ya kukariri.

Na aina hiyo ya kujadili mimi nahisi sio mzuri. utawaonanaje hawawezi kufikiri sawa sawa watu wanaopinga unachokiamini wewe?
 
Last edited by a moderator:
Cha muhimu ni kwamba umegundu ukwel na umekubali kutoka nje y box kribu sana katika ulimwengu huru Mashaxizo

Tuko pamoja mkuu. from now on sikubali neno "haram" but nitabesi kwenye harmful which has sufficient proof and reasonable one.
 
Last edited by a moderator:
kumbe unaamini uwepo wa mungu sema hukubiliani na hizo imani katika maandishi yao

Yah! na hiyo itatokana na maana ya Mungu anaeongelewa, if super natural power is God i just believe on it. Lakini Mungu wa kwenye matabu yenye uongo na many unreasonable teachings.
 
Tatizo ni huyo Mungu munayedai nyie ni muweza wa yote ana nguvu zote hana mwanzo wa mwisho ana upendo, mponyaji, anajua kila kitu huyo tunakataa ha exist.

mungu Yupi labda wewe unadhani ana-exist? ana sifa gani tofauti na hizo? alafu, hivi unajua maana halisi ya neno ''mungu''?
 
Mi acha tu niamini Mungu yupo nikamkose kuliko niseme hayupo afu mwisho wa siku nakutana naye kwenye kiti cha enzi kakunja nne yake huku akimimina Safari Lager... Hakyamama ntakimbilia wapi mimi mdhambi??

Wee Asprin wewe!!! unafikiria nini wakati mwingine wewe?????????? hapo kwenye red futa kauli aisee!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ungekuwa unaandika Kama MTU anayehitaji kujua na sio kujifanya mjuzi nisingekuona Una upumbavu. Mpaka utapoanza kuandika Kama MTU aliyenashaka na uelewa Fulani na anataka kujua nitakuwa unatumia hekima na uoumbavu kwako nitaufuta.

1.Umesoma wapi imani ya wakristo kuamini kwamba dunia Ina umri wa miaka 6000.
Mimi ni Mkristo na sijawahi kukutana na andiko linaloonyesha umri wa dunia naomba uniwekee, na hii ni moja ya vitu unavyoweza tumia kujithibitishia mwenyewe ulivyojawa na upumbavu ukifikiri ni ujanja.

2.Ni maana ya kufuata vizazi vya Yesu ? Nani kakwambia viliandikwa vikuwa ni kuthibitisha umri wa dunia ?

3.Mimi sifuata wasemacho wachumgaji nafuata maandiko nionyeshe hizo calculation katika maandiko.
Vinginevyo jitahidi kuficha upumbavu wako. Nasisitiza.
Ukiambiwa matatizo yako na upumbavu ulivyokujaa wewe unafikiri Mimi nina jazba, jitazame kwenye hoja zako hapo juu then jitathmini.

kweli nimepoteza muda wangu kujibozana na mtu asiyejua kitu wewe ni moja ya wakristo wengi wajinga niliokutana nao chuo na wengine niko nao kazini mkipigwa swali nyie ni kuruka ruka tu huyo mungu wa kwenye bible na koran hayupo uwe na akili mkuu.

nakuuliza tena
adamu aliumbwa siku ya ngapi?
nenda kwenye kitabu cha luka jumlisha umri walioishi watu waliotajwa kwenye kizazi cha yesu mpaka siku aliyoumbwa adamu wenzako walifanya calculation wa ujinga wako unataka kunifundisha mimi utanifundisha nini nilishatoka huko mkuu sitaki stori za talking snake.
 
Back
Top Bottom