A God can be a mere theory, nothing more

A God can be a mere theory, nothing more

Mashaxizo
Contradiction inaonekana na Lazy thinkers tu, critical thinker hawezi ona kile kinachoonwa na lazy thinker Kama contradiction simply ni kwamba critical thinker anasoma kwa kuangalia context na sio pretext sawa na lazy thinker Kama wewe

Matthew 5:17-18New International Version (NIV)

17 "Do not think that I have come to abolish the Law or the Prophets; I have not come to abolish them but to fulfill them. 18 For truly I tell you, until heaven and earth disappear, not the smallest letter, not the least stroke of a pen, will by any means disappear from the Law until everything is accomplished.
Nimekuwekea hadi mstari wa 18 ili nawe ujifunze kusoma sawa na critical thinkers.
Yesu anaposema ;
...until everything is accomplished
Kwa lazy thinker unaelewa nini ?
Je haikuwa kwamba everything had been accomplished ?
Kukuibia elimu kidogo, kufa kwa Yesu Kristo ilikuwa ni accomplishment, kufufuka ikawa ni new era.
Kufufuka kwake ilikuwa ni kutangaza Agano jipya.
Wake up man

At times unajidhalilisha wakati mwenyewe waona umeweka nondo kwa kuwa ni lazy thinker.

Sasa mkuu mbona umeacha kuongelea hapo waebrania 10: 9 ili kupata msimamo mmoja na hiyo matayo 5: 7-8 kama ulivyoelezea?

Critical thinker naomba utumie ucrical wako hapo.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mdau aliandika hivi;
Kama uwepo wa Mungu ni theory jiulize hiyo pumzi Binadamu aliipata wapi na je Binadamu ana uwezo kuidhibiti isimtoke? Amini Mungu aliyeumba mbingu na dunia yupo na tu hai na Mungu no Roho alituumba kwa mfano wa Roho yake kwa hiyo hijalishi u taahira kilema nk.
Wewe umemquote na kumjibu hivi;
Ndiyo maana nawaambiaga kuwa kusema hakuna mungu nayo ni Imani pia kama Imani zengine.
Kwanini ulimjibu hivyo wakati huyo ni muumini mwenzio?

Thus why mimi nikakuquote na kukuliza hivi;
What is this Mkuu?
Hivi umeisoma vizuri post ya mdau uliemjibu hivyo?

Hata kama uliemjibu hivyo anastahili uko wrong sana mkuu. Always we proof something which exist.

Sijakuelewa mkuu.

So, hujaelewa nini?
 
Hahahaaa! best everlink usijehuku! (joke) sjapinga uwepo wake infact Mungu yupo but sio huyu wa waislamu na wakiristo!!!!! Ukipitia mada hapo juu unaweza kupata jibu kwanini nimesema hivyo.

Then hizo ndio siasa nilizoelezea ktk moja ya point huko juu. kwamba waumini wakiona sehemu flani Mungu wao kawaingiza chaka basi watatafuta njia yoyote ili Mungu wao asionekane kakosea. Na hilo haliko kwa wakiristo tu bali hata kwa waislamu Mungu wao akisema dunia ni flati wanakuja na siasa namna hiyo!!! Ivi itawezekana vipi Waislamu wawe sahihi na wakiristo wawe sahihi pia ukizingatia hao ni imani mbili tofauti na hata miungu yao haifanani?

Maana mnaakt kana kwamba Mungu kuna maneno hayajui! ivi ni kweli Mungu hawezi kusema kasimamisha wakati?
Then pale kachanganya jua na mwezi sasa jee unataka kuniambia na mwezi hautembei? Or mwezi unahusika vipi na mambo ya wakati?

Then mimi au wewe au mtu yoyote anapoongelea kuhusu kuzama na kutoka kwa jua ni tofauti na akiongea Mungu. coz Mungu ndio kaumba hivyo vitu na yeye anaona tofauti na tunavyoviona sisi. Binadamu akiona jua linatembea ni sawa coz ndivyo anavyoliona. Jee unataka kuniambia yule aliemba jua na vitu vyote naye anaona hivyo hivyo? (tunavyoona sisi)
Mmmmmh! Haya bhan.

Kwanza Mungu hana dini naomba uelewe hilo ndo maana hata agano la kale huwezi kuta mahali wameeandika wakristo, jina la Wakristo lilitwa kwa mara ya kwanza huko Antiokia, waantiokia waliwaita wale mitume (wanafunzi) wa Yesu wakristo kwasababu walinena habari za Yesu Kristo wakaamua kuwaita kwamba wale ni Wakristo ndo kuanzia hapo ikawa hao wote wanaonena habari za Yesu ni Wakristo.

Dini ni mfumo tu wa kukutana na kuabudu pamoja na ili wanadam hawa wakae vizuri wakaweka sheria na taratibu mbalimbali, katika kukaa huko wengine wakawa na ubinafsi mtu anatoka na kuanza lake na kuweka mambo ambayo yatamfever mwenyewe ,totally dini ni ubinadamu tu na mambo yake katika hizo wapo ambao wako sahihi na wengine si sahihi, na ukiongozwa na dini totally utakuwa mtumwa na mjinga unayepotea, lakini ukimjua Mungu na ukimwambia nipo tayari hakika atakufundisha mengi na atajizihirisha kwako hutahangaika na udini.......hapa najua utasema kwanini asijifunue tu kwangu mpaka nimtafute........naweza kusema japo si mfano sahihi lkn angalau na usiuchukulie siriaz Sana yaani ni kama hesabu ambazo zipo tu hapa duniani lakini ili uzijue lazima uzisome na uamue kujifunza na kushika kanuni zake ndipo utazielewa.

Mungu alishajidhihirisha kwa wanadamu na hataacha kujidhihirisha na ndo maana kuna mahali anasema onjeni muone ya kuwa Bwana ni Mwema yaani utest tu .....

Sisi wanadamu ndo tunamfanya Mungu awe complicated....yaani kuna wakati akituangalia anatushangaa,kila mtu anajitahidi kumwelezea kwa jinsi anavyoweza, anatamani amwelewe kulingana na vipimo vyake vya kibinadamu anapoona afit kwa vigezo hivyo basi anaona hakuna huyo anayesemekana ni Mungu hakuna kitu kama hicho.

Chochote tu mwanadamu anaweza kukifanya ni mungu wake ndo maana leo hii wapo wanaoabudu ng'ombe, mawe, mwezi, jua, wanadamu wenzao n.k na ndio maana dini ni utaratibu wa mwanadamu tu.

Mwezi nao unasaidia kujua majira na wakati, kama vile jua linavyotumika kujua wakati kadhalika na mwezi pia, tena katika mwezi wengi wameweza kujua majira na wakati sahihi wa kufanya mambo yao, Joshua aliamuru jua na mwezi vitii kuna somo kubwa sana hapa kwanini haikuwa jua tu na si mwezi..... Duh!! Mvivu kuandika nitaendelea kama utapenda.
 
Last edited by a moderator:
Well Apologise lady, watu wamefungwa na nidhamu ya uoga, wanashindwa kutrace hata historia ya imani yao, wanashindwa hata kusoma matabu yao matakatifu na kuona walivyochanganyiwa pilau na mrenda. fikra zao zimefungwa.

utata na uhalisia wa hivi vitu mizizi yake ni hapo tu,kwa kuwa tuliaminishwa na kutishiwa kuhusiana na uwepo wa mungu, tumetengeneza imani ambayo ni zao la uoga.

Asili ya mwanadamu ni muhitaji wa faraja, sasa kwa kuwa mwanadamu mwenzie hawezi kuwa faraja milele, basi kikaumbwa kiumbe dhahania ili hicho kiwe faraja, kikapewa jina la Mungu.

Binadamu kukwepa majukumu yake duniani ya kutenda na kutimiza wajibu wake physically, ndipo akatengeza fikra dhahania ya uwepo wa huyo anayeitwa mungu ambaye hajawaji kuwa proved, au hata yeye kufanya self approval, so we can call him a failed god, or mythical god who doesnt real exist!
 
Mkuu tukisema haya matabu yenu matakatifu yanajikontradict sijui kwanini hamtaki kukubali. Yani vitabu vyenu vinajicontradict sana ila si ninyi si waislamu nyote mnasiasa hizo hizo za kumsadia Mungu maana ambayo mnahisi inasound. ok nisiongee sana naomba usome Matayo 5: 17. na hiyo ni agano jipya too.

Naomba uniweke sawa hapo waebrania 10: 9 na Hapo Matayo 5: 17.

Aya zote hizo zinapatikana ktk agano jipya.

Cc: everlenk

Hakuna mahali Biblia inajichanganya Bali sisi wanadamu ndo tunajichanganya na maandiko hayo tunataka yawe katika mpango tuutakao sisi wenyewe. Ukishasoma neno usiondoke na huo mstar moja kwa moja sema nipo hapa baba naomba nielewe Haya maneno, hakuna siasa hapo yoyote, lakini ukitaka vile upendavyo utaumia kisha utasema hakuna Mungu.

Mathayo 5:17 ni kweli Yesu hajatengua sheria yoyote Bali ameitimiza torati,endelea na 18 anasema... Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka hata yote yatimie... Sheria ni mfumo tu lakini Bwana ndiye Bwana wa sheria,Na kuna wakati Mungu anatutaka tutumie akili si katika kuongozwa na mwili ,ndo maana hata Mafarisayo wanalimuuliza Yesu je ni halali kuponya siku ya Sabato, Yesu naye akawajibu je ni yupi kwenu ambaye Punda wake akitumbikia kisimani siku ya Sabato hatamtoa? Torati na Mungu, torati hiyo isiwe ni kigezo cha kufanya usilifanye lile jema na lifaalo kwa wakati huo kisa torati imesema, kwetu sisi wabadamu hilo ni dhambi la kuponya siku ya Sabato lakini Kwa Mungu ni utukufu maana limeokoa nafsi ya yule mwanadamu.... Wanadamu tunayafikiri yaliyo ya kibinafsi kwa sababu halikuhusu ni none of our business, lakini lingekuwa linatuhusu usingeona ni dhambi wala kosa ,lingetendeka ili ujiponye.....

Waebrania 10:9 mbona iko strait kabisa labda sijui ungependa wapi kuelewa......ndiyo Yesu alikuja atimize mapenzi ya Mungu, agano la kwanza ilikuwa ni sadaka za kuteketezwa za wanyama lakini agano la pili ni yeye mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaaa! Mkuu unajikontradict sana! Ntuzu umesoma hapo underline?
Mkuu ikiwa ulitrace post zangu humu hata tusingezozana! Coz huo ndo msimamo wangu thus why hata ktk kichwa cha habari ya thiredi hii kinasomeka 'A God CAN BE....' Najua kuandika Mungu hayupo but sikuandika hivyo! naomba utafakari hilo mkuu. Mungu ninaemuamini ni kama alivyoeleza Asprin = hawezi kuwa na pirika za kuandika matabu coz si muandishi.
Lazima nikiri ukweli kuwa mi naamini Mungu yupo. Ila sikubaliani na hawa miungu tunaolazimishwa (sio kuaminishwa) tuwaamini.

Najaribu kujiuliza... hii dunia ina umri gani?? wazungu na waarabu wamekuja Afrika lini?? Kabla ya hapo Mungu hakuwepo?? Kinatokea nini kwa wale wazee waliokufa kabla ngozi nyeupe haijafika Afrika?? Kabla ya ngozi nyeupe haijaja, babu zetu hawakuamini uwepo wa Mungu?? Najua walimwamini.... Na huyu Mungu waliyemwamini hakuwa Mungu?? Kwanini?? Kwasababu ngozi nyeupe wamesema hakuwa Mungu??

Jiulize na ujijibu.

Mi naamini Mungu yupo, lakini Mungu nayemwamini si wa mwarabu wala wa Mzungu.

Ruva Mangi.....
 
Hakuna mahali Biblia inajichanganya Bali sisi wanadamu ndo tunajichanganya na maandiko hayo tunataka yawe katika mpango tuutakao sisi wenyewe. Ukishasoma neno usiondoke na huo mstar moja kwa moja sema nipo hapa baba naomba nielewe Haya maneno, hakuna siasa hapo yoyote, lakini ukitaka vile upendavyo utaumia kisha utasema hakuna Mungu.

Mathayo 5:17 ni kweli Yesu hajatengua sheria yoyote Bali ameitimiza torati,endelea na 18 anasema... Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka hata yote yatimie... Sheria ni mfumo tu lakini Bwana ndiye Bwana wa sheria,Na kuna wakati Mungu anatutaka tutumie akili si katika kuongozwa na mwili ,ndo maana hata Mafarisayo wanalimuuliza Yesu je ni halali kuponya siku ya Sabato, Yesu naye akawajibu je ni yupi kwenu ambaye Punda wake akitumbikia kisimani siku ya Sabato hatamtoa? Torati na Mungu, torati hiyo isiwe ni kigezo cha kufanya usilifanye lile jema na lifaalo kwa wakati huo kisa torati imesema, kwetu sisi wabadamu hilo ni dhambi la kuponya siku ya Sabato lakini Kwa Mungu ni utukufu maana limeokoa nafsi ya yule mwanadamu.... Wanadamu tunayafikiri yaliyo ya kibinafsi kwa sababu halikuhusu ni none of our business, lakini lingekuwa linatuhusu usingeona ni dhambi wala kosa ,lingetendeka ili ujiponye.....

Waebrania 10:9 mbona iko strait kabisa labda sijui ungependa wapi kuelewa......ndiyo Yesu alikuja atimize mapenzi ya Mungu, agano la kwanza ilikuwa ni sadaka za kuteketezwa za wanyama lakini agano la pili ni yeye mwenyewe.

everlenk nasoma vizuri.

Infact sijui unatumia biblia ipi (coz iko wazi biblia zinatofautian na huwezi kusema biblia flani ni origin coz lugha iliyotumika kushusha tourati na zaburi hazipo tena im not sure about injili but kati vitabu hivyo hakuna hata kimoja kilicho pure!)

Waebrania 10:9 Neno: Bibilia
Takatifu (SNT)

Kisha akasema, “Niko hapa,
nimekuja kutimiza mapenzi
yako.” Anaweka kando ule
utaratibu wa kwanza na
kuanzisha utaratibu wa pili.

Naomba utrace post no.397, 400, 405 then angalia hiyo matayo hapo juu.
Coz i know connecting factor ndio inafanya tusielewane.
Cc: yero
 
Katika Biblia ninayotumia kutoka Bible Society of Tanzania,Dodoma inasema "ndipo aliposema, tazama, nimekuja niyafanye mapenzi yako,aondoa la kwanza, ili kusudi alisimamishe la pili"

Hiyo yako ni kutoka tafsiri ya kiswahili cha kisasa, ok siyo mbaya tuendelee na hiyo yako wapi hapaeleweki penye utata? Naenda kulala hope ntalikuta asubuhi jibu lako, goodnight my dear.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza Mungu hana dini naomba uelewe hilo ndo maana hata agano la kale huwezi kuta mahali wameeandika wakristo, jina la Wakristo lilitwa kwa mara ya kwanza huko Antiokia, waantiokia waliwaita wale mitume (wanafunzi) wa Yesu wakristo kwasababu walinena habari za Yesu Kristo wakaamua kuwaita kwamba wale ni Wakristo ndo kuanzia hapo ikawa hao wote wanaonena habari za Yesu ni Wakristo.
Hapo tuko pamoja linabaki suala la kua pia si muandishi wa vitabu na wala hana pirika za kutaka wati wake waende makanisani na miskitini.
Dini ni mfumo tu wa kukutana na kuabudu pamoja na ili wanadam hawa wakae vizuri wakaweka sheria na taratibu mbalimbali, katika kukaa huko wengine wakawa na ubinafsi mtu anatoka na kuanza lake na kuweka mambo ambayo yatamfever mwenyewe ,totally dini ni ubinadamu tu na mambo yake katika hizo wapo ambao wako sahihi na wengine si sahihi, na ukiongozwa na dini totally utakuwa mtumwa na mjinga unayepotea,
Hahahahaaaaa! tuko pamoja kwa maelezo yote hapo juu. sjui tunatofautiana wapi wallah!!!
lakini ukimjua Mungu na ukimwambia nipo tayari hakika atakufundisha mengi na atajizihirisha kwako hutahangaika na udini.......hapa najua utasema kwanini asijifunue tu kwangu mpaka nimtafute........naweza kusema japo si mfano sahihi lkn angalau na usiuchukulie siriaz Sana yaani ni kama hesabu ambazo zipo tu hapa duniani lakini ili uzijue lazima uzisome na uamue kujifunza na kushika kanuni zake ndipo utazielewa.
Hahahahahaaaa!
Mungu alishajidhihirisha kwa wanadamu na hataacha kujidhihirisha na ndo maana kuna mahali anasema onjeni muone ya kuwa Bwana ni Mwema yaani utest tu .....
Hapa umequote kwenye kitabu. ningependa uniambie unaichkuliaje biblia.
Sisi wanadamu ndo tunamfanya Mungu awe complicated....yaani kuna wakati akituangalia anatushangaa, kila mtu anajitahidi kumwelezea kwa jinsi anavyoweza, anatamani amwelewe kulingana na vipimo vyake vya kibinadamu anapoona afit kwa vigezo hivyo basi anaona hakuna huyo anayesemekana ni Mungu hakuna kitu kama hicho.
Mi nahisi sometimes anacheka sana akiona waja wake wanajitoa muhanga kwa jina lake na wengine wakimpigia kelele mchana kutwa kwa makanisa.
Chochote tu mwanadamu anaweza kukifanya ni mungu wake ndo maana leo hii wapo wanaoabudu ng'ombe, mawe, mwezi, jua, wanadamu wenzao n.k na ndio maana dini ni utaratibu wa mwanadamu tu.

Mwezi nao unasaidia kujua majira na wakati, kama vile jua linavyotumika kujua wakati kadhalika na mwezi pia, tena katika mwezi wengi wameweza kujua majira na wakati sahihi wa kufanya mambo yao, Joshua aliamuru jua na mwezi vitii kuna somo kubwa sana hapa kwanini haikuwa jua tu na si mwezi..... Duh!! Mvivu kuandika nitaendelea kama utapenda.

Hapo kwenye mwezi naweza kukubaliana nawe (coz nilidadisi baharia kuhusu hilo) nnachopinga ni kudermine mda per day like a sun.

Huko juu nimekuuliza kuhusu biblia.
 
Kwanza Mungu hana dini naomba uelewe hilo ndo maana hata agano la kale huwezi kuta mahali wameeandika wakristo, jina la Wakristo lilitwa kwa mara ya kwanza huko Antiokia, waantiokia waliwaita wale mitume (wanafunzi) wa Yesu wakristo kwasababu walinena habari za Yesu Kristo wakaamua kuwaita kwamba wale ni Wakristo ndo kuanzia hapo ikawa hao wote wanaonena habari za Yesu ni Wakristo.

Dini ni mfumo tu wa kukutana na kuabudu pamoja na ili wanadam hawa wakae vizuri wakaweka sheria na taratibu mbalimbali, katika kukaa huko wengine wakawa na ubinafsi mtu anatoka na kuanza lake na kuweka mambo ambayo yatamfever mwenyewe ,totally dini ni ubinadamu tu na mambo yake katika hizo wapo ambao wako sahihi na wengine si sahihi, na ukiongozwa na dini totally utakuwa mtumwa na mjinga unayepotea, lakini ukimjua Mungu na ukimwambia nipo tayari hakika atakufundisha mengi na atajizihirisha kwako hutahangaika na udini.......hapa najua utasema kwanini asijifunue tu kwangu mpaka nimtafute........naweza kusema japo si mfano sahihi lkn angalau na usiuchukulie siriaz Sana yaani ni kama hesabu ambazo zipo tu hapa duniani lakini ili uzijue lazima uzisome na uamue kujifunza na kushika kanuni zake ndipo utazielewa.

Mungu alishajidhihirisha kwa wanadamu na hataacha kujidhihirisha na ndo maana kuna mahali anasema onjeni muone ya kuwa Bwana ni Mwema yaani utest tu .....

Sisi wanadamu ndo tunamfanya Mungu awe complicated....yaani kuna wakati akituangalia anatushangaa,kila mtu anajitahidi kumwelezea kwa jinsi anavyoweza, anatamani amwelewe kulingana na vipimo vyake vya kibinadamu anapoona afit kwa vigezo hivyo basi anaona hakuna huyo anayesemekana ni Mungu hakuna kitu kama hicho.

Chochote tu mwanadamu anaweza kukifanya ni mungu wake ndo maana leo hii wapo wanaoabudu ng'ombe, mawe, mwezi, jua, wanadamu wenzao n.k na ndio maana dini ni utaratibu wa mwanadamu tu.

Mwezi nao unasaidia kujua majira na wakati, kama vile jua linavyotumika kujua wakati kadhalika na mwezi pia, tena katika mwezi wengi wameweza kujua majira na wakati sahihi wa kufanya mambo yao, Joshua aliamuru jua na mwezi vitii kuna somo kubwa sana hapa kwanini haikuwa jua tu na si mwezi..... Duh!! Mvivu kuandika nitaendelea kama utapenda.

Mmmmmmh mtoto Wa kuhani huyo........! Kamata LIKE kibao!:thumbup:
 
Mkuu Mashaxizo, hapa nakubaliana na wewe na hili mimi niliishalizungumzia hapa;
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo Bila Kujijua!.

Ila hii hoja yako ya hakuna Mungu, ni kazi ya shetani!.

Mungu yupo ndio The Supreme Being!, Mwanza na Mwisho, Alfa na Omega, ambaye vitu vyote vimeumbwa nae.

Mungu yuko kwenye form ya spirit, God is Power, ndio nguvu inayowezesha kila kitu, ikiwemo uhai 'life force' na ana sifa kuu 4;

  1. Mungu ni omnipotent (all-powerful), Mungu ndio mwenye nguvu kupita nguvu nyingine zozote, ana emetupa sisi binadamu sehemu ya nguvu hizo kupitia 'WillPower'.
  2. Mungu ni omnipresent (in all places at the same time), yaani yuko mahali pote kwa wakati mmoja, ikimanisha Mungu yuko ndani yetu, na yote ambayo Mungu anayetenda anayatenda kutokea ndani yako!.
  3. Mungu ni omniscient (He knows everything), hivyo kila kinachotokea Mungu anakijua, yakitokea majanga, japo yanasababishwa na shetani, Mungu alijua na asipozuia inamaana ame approve, hivyo jambo lolote linalotokea, lilikuwa litokee, liwe zuri au baya ni kazi ya Mungu kwa sababu hata shetani yuko chini ya mamlaka ya Mungu.
  4. Mungu ni omnibenevolent (He only does things that are all good), yaani alipouomba ulimwengu na vyote vilivyomo alidhamiria yute yawe ni mema na mazuri tuu, ila shetani alipoasi, ndie mwenye jukumu la majanga, mateso na maovu yote!.
  5. Mungu alipomuumba binadamu, alimuwekea Uungu ndani yake, lakini pia akampa choice ya utashi wa kuamua au amfuate Mungu kwa kutenda yaliyo mema pekee, au amfuate shetani, kwa kutenda yaliyo maovu!.
  6. Tunaposema kutenda sio lazima matendo, actions, hata kwa kuwaza tuu mawazo maovu ni kumtumikia shetani, au kwa kusema maneno maovu, ni kumtumikia shetani.
  7. Shetani ana mission moja tuu duniani, kuyafanya yale yote yaliyo kinyume na Mungu, na utendani wa shetani ni kama ulivyo utendaji wa Mungu, yaani ile njia Mungu anayoitumia kumpa nguvu mwanadamu, ndio njia hiyo hiyo shetani anaitumia kumpoteza mwanadamu, tofauti pekee kati ya nguvu za Mungu na nguvu za shetani, nguvu za Mungu ni original na ziko ndani ya binadamu tangu siku ile ameumbwa, yaani ziko within, wakati nguvu za shetani ziko nje na ziliingizwa ndani kupitia kula tunda, hivyo ni aquired.
  8. Hivyo chochote kinachotokea duniani ni ama kwa nguvu za Mungu au nguvu za Mwanga, yaani Holly Spirit, ama kwa nguvu za shetani, nguvu za giza powers of the devil, na kuna wakati mwingine nguvu hizi hutumika kutenda mema au miujiza kama chambo, kwa shetani kuji disguise as God ili aweze kupata mavuno makubwa, hivyo kuna wahubiri kibao, wanafanya hadi miujiza kwa kutumia jina Mungu, lakini sii wa Mungu bali ni tricks za shetani. Majo ya kazi kubwa ya shetani ni kuwaaminisha binadamu kuwa hakuna Mungu kama anachofanya mtoa mada hii, anamtumikia shetani kwa kujua au bila kujijua, namna pekee ya kumsaidi ni maombi ili afunguliwe toka kwenye giza alimo aone mwanga.
  9. Tofauti pekee kati ya wema wa Mungu, na wema wa shetani, au miujiza ya Mungu na miujiza ya shetani ni conditionalities, kwa vile nguvu za Mungu ni original na kila mtu amepewa, miujiza ya Mungu au wema wa Mungu hutokea au huweza kufanyika naturally unconditional bila kuwekewa masharti yoyote, kwa Miujiza ya Mungu kutokea, unapaswa kuamini tuu. Lakini miujiza ya shetani au wema wa shetani ni conditiona una masharti lazima uyafuate!, ili itendeke au ataambiwa fanya hiki au kile!. Hivyo kuna wengi wanamtumikia shetani bila kujijua wakidhani wanamtumikia Mungu!.
  10. Ili uweze kujijua unamtumikia nani, au huko unakosali ni kanisa la Mungu au la shetani, kwanza ni wewe mwenyewe kutake your own initiative kutaka kumjua Mungu wa kweli, na hili unaweza kulifaniisha kwa kusoma vitabu vya dini kumjua Mungu kisha jifikirie kile kinachofanyika kwenye dhehebu lako ndicho Mungu alichofundisha?. Muulize Mungu aliyeko ndani yako kuwa hiki ni sawa?!, utaisikia sauti ikikuambia ukweli halisi!.

Jumapili njema.

Pasco

Hata mimi naamini mungu hayupo hapa duniani, Hawa wazungu wakituzidi tu akili, kuweza kuandika na kusoma na kuja kutuaminisha sisi waafirika kuwa kuna mungu, mi ninavyojua haya maandiko waliotuaminisha na hao wanaowaita mitume ni watu tu ambao walikuwa wa kawaida kama walivyokuwa machief wetu huku afrika, waganga wa kienyeji pamoja na watu wanaoogozwa na mizumi, hivyo basi kama sisi waafirika tungekuwa na akili ya kuweka kumbukukumbu ya matukio yaliyokuwa yanatokea na kuweza kusambaxa na kuaminisha wstu, hata sisi tungeaminisha dunia kuwa mungu alitokea huku tanzania.

Mi naungana na mleta mada kuwa mungu hayupo, na kama yupo huyo mungu kwa akili zako mwenyewe za kufikilika eti aliumba dunia, alikuwa amesimama wapi na ana ukubwa kiasi gan?.....mnasema aliumba adamu na hawa hawa walikuwa wazungu au waafrika....? Pia fikiria hayo makanisa na misikiti yanayotumia hilo jina mungu kujinufaisha yenyewe
 
Mkuu hata usijali you can call me any name that you wish to call me. iknow thats your habit to call somebody fool because he reject what you believe. nakumbuka hata Annael amekuambia hilo. So be free im not care at all coz i know as well as I see!

Unaposema Nasema or Naamini Mungu hayupo hunitendei haki mkuu!!!! nimesema Mungu anaweza kuepo kwa maana ya Super natural power but si huyu wa Quran na biblia. sijui kwanini hutaki kukubali hapo wakati wewe ni mmoja kati ya wachache walioona post zangu humu!!!!

Kama ni Super Natural Power na ndiye aliyefanya hii intelligible universe kwanini upate Shaka na issue ya kufanya Jua lionekane limetulia tuli pahala Fulani ?
Swali la aina yako linakuwa sahihi kwa MTU asemaye Mungu hayupo.
Kama wewe unacopy maswali ya wasemao Mungu hayupo na kuyaweka hapa unataka uitweje ?
Hata Hoja zako dhidi ya Mungu kwa rejea ya Biblia ni dhaifu Sana.umeonyeshwa makosa ya kimantiki katika hoja zako lakinj upo kwenye default position huna hoja yenye mashiko kusaidia msimamo wako.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mdau aliandika hivi;

Wewe umemquote na kumjibu hivi;

Kwanini ulimjibu hivyo wakati huyo ni muumini mwenzio?

Thus why mimi nikakuquote na kukuliza hivi;

So, hujaelewa nini?

Kumbe wewe ndiyo haujaelewa nilichokisema. Kusema kwamba hakuna Mungu hiyo nayo ni Imani.
Maneno hayo nimewaambia wasiyoamini mungu. Sasa sijui wewe ulijuwa napingana na muamini mungu mwanzangu.
 
Katika Biblia ninayotumia kutoka Bible Society of Tanzania,Dodoma inasema "ndipo aliposema, tazama, nimekuja niyafanye mapenzi yako,aondoa la kwanza, ili kusudi alisimamishe la pili"

Hiyo yako ni kutoka tafsiri ya kiswahili cha kisasa, ok siyo mbaya tuendelee na hiyo yako wapi hapaeleweki penye utata? Naenda kulala hope ntalikuta asubuhi jibu lako, goodnight my dear.

Yaa hata hiyo hajatofautina sana.

Issue hapa ni kwamba niliuloza kwanini kunamaagano mawili ktk bibli Mkuu yero alinipa maelezo mengi, kusema kweli nimemuelewa but aliitumia aya hiyo kumaanisha Yesu alikuja kurepeal agano kongwe. naomba utrace post nilizokutajia kwa post iliyopita.

waebrania 10: 9 inapinga hilo.

Hope you understand now.
 
Kama ni Super Natural Power na ndiye aliyefanya hii intelligible universe kwanini upate Shaka na issue ya kufanya Jua lionekane limetulia tuli pahala Fulani?
Kaazi kweli kweli!
Sijapata mashaka kwa jua kutulia sehemu fulani coz infact jua limetulia. mashaka ni kwamba ile aya inamanisha jua na mwezi vinatembea. ni kweli mwezi unatembea ila jua halitembei. kwa maana hiyo Mungu wako muongo.
Usichoelewa nini hapo?
Swali la aina yako linakuwa sahihi kwa MTU asemaye Mungu hayupo.
Kama wewe unacopy maswali ya wasemao Mungu hayupo na kuyaweka hapa unataka uitweje ?
Hata Hoja zako dhidi ya Mungu kwa rejea ya Biblia ni dhaifu Sana.umeonyeshwa makosa ya kimantiki katika hoja zako lakinj upo kwenye default position huna hoja yenye mashiko kusaidia msimamo wako.

Mmh! mi nahisi hapa tutarudia rudia tu vitu ambavyo tumesha jadili.

Nikushauri tu. Tafuta sababu zinazowafanya waislamu wakubali na kuamini Mungu wao ni wa kweli then compare na imani yako.
 
Kumbe wewe ndiyo haujaelewa nilichokisema. Kusema kwamba hakuna Mungu hiyo nayo ni Imani.
Maneno hayo nimewaambia wasiyoamini mungu. Sasa sijui wewe ulijuwa napingana na muamini mungu mwanzangu.

Mkuu kwa uelewa wako NINI MAANA YA IMANI?
 
u.

HAYA NI MAMBO NILIOYAONA KTK UTAFITI WANGU:

1. Dini ziko nyingi (ni zaidi ya 30 na hapo hujagusia madhehebu!!) but licha ya uwingi huo kila dini inajiona iko sahihi ZAIDI ya nyengine. It cant be all religions are true but there possibility all of them are wrong.
Mashaxizo nimekua nafatilia huu mjadala lkn nashindwa nichangie nini na kipi niache maana naona mnaenda tu na namna moja mada km iko upande Fulani!

Nilishauri hapo nyuma kwamba rudia kufanya utafiti wako upya maana hichi ulicho leta ni kipunje kiduchu ktk mambo ya Mungu! Samahai kwa kusema hivyo lkn Mimi ndio hali halisi niionavyo.

Nimekata hiyo hoja ya kwanza ili tuweze kuijadili mpk tupate muafaka then tutakwenda ktk hoja ya pili!

Kwanza kabisa kabla ya kuangalia hayo mambo ya dini nyingi Mimi ningependa kuuliza maswali machache!

Wanadamu wanapotengeneza vitu km Gari , sim TV or whatever huchapisha na vijitabu kwa (manual book) kwa ajili ya kumsaidia mtumia Wa hicho kitu kusoma na kuelewa kutumia hicho kitu! Sasa km wanadami wanafanya hivi, wewe unafikiri Mungu Baba hana uelewa Wa kutupatia manual book ya hii planet earth ili wanadamu tuweze kufaidi kuelewa matumizi na kufahamu yote yaliyomo ktk hii dunia?

Hiyo manual book ya hii planet earth inaweza kua kitabu gani? Biblia au Quran? Na ili kujua kua manual book yako ni sahii njia nzuri ya kuprove ni unabii! Nabii zilizomo ktk hizo manual book mbili zimetimia? Je zinalingana na history ya dunia hii?

Nijibu kwanza hayo ili tupate kujua ni manual book IPI tutumia ktk swala la hii hoja yako ya kwanza inayohusu Dini!

Karibu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom