Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
Tz mbongo ni vema tumjadili Mungu kwa hekima, uwazi na ukweli ili si Tu kwamba tujue ukweli kuwa Mungu anayeabudiwa na Wakristo na yule wa waislam ni tofauti; pia tujue imani ya Mungu wa kweli ni IPI Kati ya Allah kwa Waislam na Yhwh kwa Wayahudi na Wakristo.Unaongea kihisia sana kwa kudhani kuwa na imani sana kwa unachokiamini ndiyo usahihi wa hiyo imani. Yani unachotaka kueleza ni kwamba huo wingi wa wakristo kuwa atheists ni kwa sababu hawakuwa na imani ya sana,kuna watu wanaabudu masanamu na wanaimani kubwa sana na hiyo misanamu yao.
Kuna watu wanaelimu kubwa ya dini yao ila wanaupungufu wa imani na kuna wenye imani kubwa ya dini ila wanaupungufu wa elimu ya dini yao.wakristo wanajulikana kwa imani kubwa walizonazo ila kibaya imani zao si za kumjua sana mungu. Ukristo umeshindwa kueleza kwa kina kusudio la kuumbwa binadamu na unamueleza Mungu ktk hali ambayo imefanya atheists waulize maswali mengi juu ya uwepo wa Mungu.
Kama uko tayari Mimi nipo tayari .
Ninafahamu ukweli kwamba Waislam wanaamini Allah ya kuwa ndiye Mungu mmoja na aliyeumba vitu vyote lakini pia najua kweli kuwa kuamini Mungu mmoja na kuamini kuwa ndiye akiyeumba pasipo kuwa na maelezo ya kutosha kuhusu Mungu husika ambayo yanaweze kuelezeka kwa kuchinguza mwenendo wa kihistoria wa waumini na wafuasi wake ni sawa na kutoamini uwepo wa Mungu.
Mimi kwangu hakuna tofauti ya Muislam anayeamini mungu asiyekuwepo na Atheist anayeamini Mungu hayupo.
Wote ni sawa.
Tofauti ni kwamba Atheist ni thinker and not believers and Muslim are believers who don't think.
Wakristo tuna kaxi moja kuwasaidia Thinker kubelieve na believer Ku think ili wote wamjue Mungu wa Kweli, Mungu mmoja Mwenye nafsi Tatu.
Last edited by a moderator: