Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #181
Ipo ipo tuNchi haina malengo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo ipo tuNchi haina malengo
Daima siku zoteLissu alikuwa mbele ya muda.
HahahaNi aibu na nusu
Ngoja tuombe uzima mkuuHahaha
Shauri ya kuongozwa na jangiliIpo ipo tu
Hahah kazi kweli kweliShauri ya kuongozwa na jangili
Mimi bado naamini Mwenyezi Mungu ana mpango mwema na Tundu Lissu juu ya Taifa letu.Ngoja tuombe uzima mkuu
Tuombe haswa MUNGU haya majangili yapate upofuHahah kazi kweli kweli
SureMimi bado naamini Mwenyezi Mungu ana mpango mwema na Tundu Lissu juu ya Taifa letu.
mwamba anaamin politics za mkweresina hakika kama Mrahaba ulishawahi kufikia 100% hiyo, mpaka 2018 wakati Magufuli anapigania ilikuwa 4% from 3%.
Itakuwa ni Chawa wakemwamba anaamin politics za mkwere
Mwanyika alikuwa mtu wa Serikali na ndio aliyesaidia kunyonya Data zote za acacia ndio maana hawakuwa na ujanja, kwenye makampuni au mashirika au vyama vyote lazima Serikali inawatu wake,wapo kwa ajili kuripoti mambo Serikali inapoitaji jambo.Mwanyika nimtu wa wa Serikali yule ni usalama.ndio aina ya akina Zitto.Hii sijui ilikuwa kuwaje
Kwa hiyo Deo Mwanyika ndio alimdanganya Mzee Baba?Mwanyika alikuwa mtu wa Serikali na ndio aliyesaidia kunyonya Data zote za acacia ndio maana hawakuwa na ujanja, kwenye makampuni au mashirika au vyama vyote lazima Serikali inawatu wake,wapo kwa ajili kuripoti mambo Serikali inapoitaji jambo.Mwanyika nimtu wa wa Serikali yule ni usalama.ndio aina ya akina Zitto.
Akuna alichodanganya ila nyinyi hitter wa Magufuli ndio mnaona report za Mruma zilikuwa za uongo wakati kampuni ya accecia ilikufa kifo cha mende,hata haya madai mnayo sema tunadaiwa yameibuka Sasahivi, baada ya mwamba kuondoka hao matapeli wanashirikiana na akina Lissu, kuonyesha Magufuli hakufanya chochote kwenye sekta ya madini.Kwa hiyo Deo Mwanyika ndio alimdanganya Mzee Baba?
Nchi haina malengo