A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

Hii sijui ilikuwa kuwaje
Mwanyika alikuwa mtu wa Serikali na ndio aliyesaidia kunyonya Data zote za acacia ndio maana hawakuwa na ujanja, kwenye makampuni au mashirika au vyama vyote lazima Serikali inawatu wake,wapo kwa ajili kuripoti mambo Serikali inapoitaji jambo.Mwanyika nimtu wa wa Serikali yule ni usalama.ndio aina ya akina Zitto.
 
Kwa hiyo Deo Mwanyika ndio alimdanganya Mzee Baba?
 
Akuna alichodanganya ila nyinyi hitter wa Magufuli ndio mnaona report za Mruma zilikuwa za uongo wakati kampuni ya accecia ilikufa kifo cha mende,hata haya madai mnayo sema tunadaiwa yameibuka Sasahivi, baada ya mwamba kuondoka hao matapeli wanashirikiana na akina Lissu, kuonyesha Magufuli hakufanya chochote kwenye sekta ya madini.
 
Back
Top Bottom