A joke: Ampaka rangi mbwa wake afanane na Chui kuwatisha maafisa wa Benki

A joke: Ampaka rangi mbwa wake afanane na Chui kuwatisha maafisa wa Benki

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Mkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.

IMG-20241015-WA0010.jpg
 
Sasa kosa liko wapi hapo?

Basi na sie tunaopaka rangi ili tuwatishe wanaume mabahili tukamatwe

Coz watu wa mikopo wa siku hizi usipolipa wanakuua halafu wanaulizana
"OYA ashakufa tayari huyu"

OYA WAMETUFUNZA
 
Hu
Mkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
View attachment 3125652
Huenda nikweli mkuu. Lakini huyu mbwa uliyeweka Nina muda kibao namuona Facebook tangu 2016!!
 
Back
Top Bottom