A joke: Ampaka rangi mbwa wake afanane na Chui kuwatisha maafisa wa Benki

A joke: Ampaka rangi mbwa wake afanane na Chui kuwatisha maafisa wa Benki

Mkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
View attachment 3125652
Kwanza, sidhani kama hii ni story ya kweli maana haileti maana, na kama ni story ya kweli basi Tz tutakuwa na jeshi la polisi la kipumbavu zaidi kuwahi kutokea. Na sababu ziko hapa:
1. Maafisa wa benki huwa hawapaswi kudeal na mkopaji bali dhamana za mkopaji.

2. Ikiwa mkopaji ataonekana ni mhalifu jukumu la kumkamata linapaswa kuwa la Polisi na sio maafisa mkopo wa benki.

3. Hakuna kosa lolote alilofanya huyo mkopaji kwa kumpaka mbwa wake rangi ili aonekane ni chui. Nani anaweza kupima dhamira ya mkopaji na hapo hapo kupima utisho wa huyo mbwa kwa maafisa wa benki?
 
Mkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
View attachment 3125652
Nimecheka kifala🤣Ruge alisema muogope Mungu na technolojia "Ila mimi nasema Muogope mwanamke na black colour"
 
Na China pia wamefanya sana kwenye zoo
Na kuna mmoja huko japan aliwauza kondoo kama mbwa na walinunua sana
Mama mmoja akalalamika na kusema mbona hali nyama? 😆 😂 😆
Ni kweli ila mpaka u google ndio mtu ataamini
Jamaa baada ya kushtukiwa akajitetea kuwa watalii wengi waliokuwa wanakuja kwenye Zoo yake walikuwa wanamsumbua sana wanataka kuona pundamilia

Ikabidi ajiongeze🤣🤣
 
Mkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.

View attachment 3125652
Majirani zetu wa Kenya nao walishawahi mpaka rangi nyeusi chui ili tuu afanane na black panther

Wakati Black panther hawapatikani huku East Africa 😁
 
Attachments

  • 5f44805291cce9615675fdcb11eea72e.png
    5f44805291cce9615675fdcb11eea72e.png
    81.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom