Sasa hapo kuna kosa gani kisheria? Tuanzie hapo maana kwa nchi zetu hizi masikini polisi huwa wanajipa kazi hata sio zao kisheriaMkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
View attachment 3125652