Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kumpaka mbwa rangi ni kosa na kinyume na kifungu kipi cha sheria?Mkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
View attachment 3125652
Mkipata hilo kosa, najiuzulu ujaji.